Maajabu ya mwanaume niliyenae

So angekuwa anampa hilo hitaji no moja (i assume ulimaanisha kupetiwa petiwa) kisha kichapo na fedha hovyo ingekuwa poa tu?
Upande mwingine wa shilingi ni muhimu tena sana.
Otherwise huyu dada akija kupata kazi nzuri na kujiweza kiuchumi yuko likely kumuacha jamaa.

Hitaji la kwanza la mwanamke katika uhusiano wa kimapenzi si pesa wala vitu
 
f8151535234edfee16fda47c2bf5b5c3.jpg
Mbona umeandika kama jemsi delishaz
haaahaaaaaa
 
Upande mwingine wa shilingi ni muhimu tena sana.
Otherwise huyu dada akija kupata kazi nzuri na kujiweza kiuchumi yuko likely kumuacha jamaa.

Hitaji la kwanza la mwanamke katika uhusiano wa kimapenzi si pesa wala vitu
Ngoja aje apate huyo mtaalam wa kupet pet lakini kwenye pochi kuna buku tu, kama atashiba hayo mapet pet! Si amekiri anakazwa kisawasawa sasa pet pet ya nini? Kama anakazwa bila kifikishwa kileleni hapo tatizo! Lakini anasema jamaa anamkaza kisawa sawa maana yake kileleni anafika! Kama hafiki kileleni basi asingesema anakazwa kisawasawa!
 
kuna mtu alinwah kuniambia dunia ya leo you just care for your own hapness the rest achana navyo
Kuna mwingine alisema nimetoa pesa zangu ili nifaidi Mimi! Kama anataka kushikwasshikwa na petipeti basi na yeye anipe pesa! Yeye akiingia kumwaga ni uhakika halafu anasepa!
 
U r vr right!!! Ampe vyote lkn bila kumpa mda, atention na care... Ipo siku atakutana na kisebengo atamtamkia tu nakupenda mara mbili tatu then bint atajiona amepata malaika na jamaa atabwagwa na pamoja na pesa zote anazompa...
Halafu baada ya muda mfupi atagundua kuwa maneno matamu hayaliwi! hayalipi kodi ya nyumbs nk
Jamaa mwenye pesa hatishiwi nyau! Anavuta mzigo mwingine fasta!
 
Habari zenu wana JamiiForums,

Jamani leo nimekuja na stori inayonihusu, inshort nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa niko home tuu no job, sasa jamani tangu nikutane nae ni 2 years sasa ananihudumia kwa kila kitu mpaka credit jamani.

Kanipangia na analipa kodi na matumizi yote napata ila haniambiagi ananipenda wala kanimiss au kamiss mashamsham yangu hadi nimwambie ninahamu nae ndipo atume nauli ndio niende na ananikaza kisawasawa nikienda.

Sasa nimweleweje kuna upendo apo?

Matumizi yote napata ila hanipeti peti nimweleweje?

Wewe achana na maneno matamu, maana ndo yameifikisha nchi hapa ilipo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom