Maajabu ya mwanaume niliyenae

Mnapokuwa nae faragha unashindwa nini kumwomba awe anakupeti peti. Kama anakupa vingine vyoo-o-te kwani hiyo peti-peti atashindwa? Mbona hujifunzi kuridhika? Wanawake! Du!
 
Habari zenu wana JamiiForums,

Jamani leo nimekuja na stori inayonihusu, inshort nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa niko home tuu no job, sasa jamani tangu nikutane nae ni 2 years sasa ananihudumia kwa kila kitu mpaka credit jamani.

Kanipangia na analipa kodi na matumizi yote napata ila haniambiagi ananipenda wala kanimiss au kamiss mashamsham yangu hadi nimwambie ninahamu nae ndipo atume nauli ndio niende na ananikaza kisawasawa nikienda.

Sasa nimweleweje kuna upendo apo?

Matumizi yote napata ila hanipeti peti nimweleweje?

Hi, mrembo nilichokiona wewe unampenda sana huyu jamaa. sasa tulia muhifadhie huo upendo usijirahisishe kwake, kama anakupenda akija mpe huo upendo, pia jiongeze kwa kufanya biashara kama anakuwezesha asije kukukimbia ukabaki zero.
ila kikubwa jiongezee mwenyewe usipende vya watu hawa :D
 
Hakupendi, anakununuaga tuu, hujijui
 
Hi, mrembo nilichokiona wewe unampenda sana huyu jamaa. sasa tulia muhifadhie huo upendo usijirahisishe kwake, kama anakupenda akija mpe huo upendo, pia jiongeze kwa kufanya biashara kama anakuwezesha asije kukukimbia ukabaki zero.
ila kikubwa jiongezee mwenyewe usipende vya watu hawa :D
asante sana dear
 
Mnapokuwa nae faragha unashindwa nini kumwomba awe anakupeti peti. Kama anakupa vingine vyoo-o-te kwani hiyo peti-peti atashindwa? Mbona hujifunzi kuridhika? Wanawake! Du!
akiwepo na mm ananipet akiondoka imetoka
 
Huyo mwanaume atakuwa na mke wake kwahiyo wewe ni mchepuko wake na anakupa kila kitu kukufumba sawa tunaitaji pesa lakini uwepo wake karibu maneno matamu ndo kila kitu
 
unaweza kuwa na point hapa....nitafatilia
 
Upande mwingine wa shilingi ni muhimu tena sana.
Otherwise huyu dada akija kupata kazi nzuri na kujiweza kiuchumi yuko likely kumuacha jamaa.

Hitaji la kwanza la mwanamke katika uhusiano wa kimapenzi si pesa wala vitu
MMMMH HAMUELEWEKI NYIE SASA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom