Maajabu ya kaskazini

Atakayepinga hili akapimwe akili.
Fuatilieni tangu kuumbwa kwa ulimwengu kaskazini ndiyo iliyoinuliwa.wakati ibrahim akiachana na ndugu yake alimwambia achague kaskazini au kusini angalia ibrahim alielekea wapi?
Nitatoa mifano ya kaskazini menginemtatafuta wenyewe.
1.duniani maendeleo yalianzia kaskazini.
2.afrika maendeleo yalianzia kaskazini.
3.tanzania maendeleo yalianzia kaskazini.
4.mkoa wangu maendeleo yalianzia kaskazini
5.wilaya yangu maendeleo ya lianzia kaslkazini.
6.kijiji changu maendeleo yalianzia kaskazini.
7.ofisi ya bosi wangu ipo kaskazini.
8.nyumbani kwangu chumba changu kipo kaskazini.

naomba hapo ulipo fuatilia wewe upo wapi?na maendeleo yako yanatokea wapi?

Nipo UK, malkia anatoka kusini, mji mkuu London uko kusini, maendeleo ya nchi yako zaidi kusini ..... LOL!!!!!
 
Inategemea upo wapi, nchi gani. ukiwa SA au Botswana maendeleo mengi yapo kusini. Ukiwa nchi za ulaya au Amerika hususani Canada utaona nadharia yako inakataliwa.
 
Kilimanjaro na Arusha ni Kusini mwa Mara na Kagera, nadhani maendeleo yako zaidi Kilimanjaro na arusha ambazo zipo kusini mwa mara na kagera?????? anyway rais wa kwanza na baba wa taifa alitokea mara, kaskazini zaidi mwa tanganyika
 
Taratiiiibu mmeanza kuvua ile Ngoz ya kondoo mliyojistiri,Kumbe ile Nadharia ya Joshua Nassari ina maana kweli,Sasa Nimeelewa Kwann Zitto amekuwa Zitto kwenu!!!! Haina haja ya kutuzuga kuanzisha majimbo,nyie tangazen Taifa lenu la Kaskazin tuachane na ule ujambaz,utapeli,wizi na Ufisad wa kutupwa,Hata Gray Mgonga,Lowassa,Mramba na Daniel Yona wanatoka kusin mwa jumuia ya Afrika Mashariki!!
 
Ni sawa lakini pia kuna upande wa pili............

Ushoga umeanzia kaskazini......Wizi umeanzia kaskazini...........Watumwa walipelekwa kaskazini........Ubaguzi ulifanywa/unafanywa na watu wa kaskazini................Biashara ya ngono imeanzia kaskazini.............Vita ya dunia imeanzia kaskazini...............N.K

"to every action there is an equal and opposite reaction"
ukipenda unaweza ukaisema hivi!
Action and reaction are equal and opposite
 
Nipo UK, malkia anatoka kusini, mji mkuu London uko kusini, maendeleo ya nchi yako zaidi kusini ..... LOL!!!!!

Waambie mkuu! Hata Nigeria maendeleo yako Kusini na si Kaskazini, amekosa hoja huyu jamaa. Ni mbinu zilele za kudhoofisha harakati za Cdm.
 
Ringo Edmund, kama utakuwa umefikiria kama ninvyofikiria sasa lazima kuakuwa na akili sana.
ebu angalia, watu wngi (majority) wako wanajadlili kaskazini badala ya maendeleo ambayo uko unaongelea.
majority wako wanajadili Tanga, Kilimanjaro, Arusha, na Manyara (TAKIMA) kama ndiyo kaskazini, wakati wewe unaeleza mpaka kaskazini ya kiwanja chako (iliko nyumba yako) ofisi ya boso wako, na kijijiji kwenu na mengine mengi
hoja ni hii hapa
Kasikazini ni relative, inatemea uko wapi, au hiyo kaskazini unaielezea ukiwa wako. kwa mfano, ukiongelea dunia, reference point ni ikweta, hapo ndipo unaanza pande za dunia, ukiongelea TZ, reference point ni Dom, kwahiyo pande zinafuata. sasa angalia ukiongelea small maeneo. kwamfano mimi niko Burundi, Tanzania yote itakuwa Mashariki, mpaka kigoma ambayo nyie mnasema ni magharibi, mi ntasema ni mashariki. nikiwa Arusha, Moshi haiwezi kuwa kaskazini ya Arusha, wala Manyara haiwezi kuwa kaskazini, kwahiyo ntakuwa na kaskazini kenya.
nikiwa rombo, ni wazi kuwa mashati ndo intakuwa kaskazini, kama niko pale mkuu.
Dah kweli watu mko wabaguzi badala ya kufikiria kwa mapana, manafikiria ukanda tu, shame on you
 
Atakayepinga hili akapimwe akili.
Fuatilieni tangu kuumbwa kwa ulimwengu kaskazini ndiyo iliyoinuliwa.wakati ibrahim akiachana na ndugu yake alimwambia achague kaskazini au kusini angalia ibrahim alielekea wapi?
Nitatoa mifano ya kaskazini menginemtatafuta wenyewe.
1.duniani maendeleo yalianzia kaskazini.
2.afrika maendeleo yalianzia kaskazini.
3.tanzania maendeleo yalianzia kaskazini.
4.mkoa wangu maendeleo yalianzia kaskazini
5.wilaya yangu maendeleo ya lianzia kaslkazini.
6.kijiji changu maendeleo yalianzia kaskazini.
7.ofisi ya bosi wangu ipo kaskazini.
8.nyumbani kwangu chumba changu kipo kaskazini.

naomba hapo ulipo fuatilia wewe upo wapi?na maendeleo yako yanatokea wapi?

Wakuu hapo penye red ndo kiini cha hoja, na si kujadili ukilimanjaro na uarusha, au kwingine,
 
Atakayepinga hili akapimwe akili.
Fuatilieni tangu kuumbwa kwa ulimwengu kaskazini ndiyo iliyoinuliwa.wakati ibrahim akiachana na ndugu yake alimwambia achague kaskazini au kusini angalia ibrahim alielekea wapi?
Nitatoa mifano ya kaskazini menginemtatafuta wenyewe.
1.duniani maendeleo yalianzia kaskazini.
2.afrika maendeleo yalianzia kaskazini.
3.tanzania maendeleo yalianzia kaskazini.
4.mkoa wangu maendeleo yalianzia kaskazini
5.wilaya yangu maendeleo ya lianzia kaslkazini.
6.kijiji changu maendeleo yalianzia kaskazini.
7.ofisi ya bosi wangu ipo kaskazini.
8.nyumbani kwangu chumba changu kipo kaskazini.

naomba hapo ulipo fuatilia wewe upo wapi?na maendeleo yako yanatokea wapi?

Maliwatoni kwangu kupo kaskazini.
 
UNAWEZA KUFIKIRI ZAIDI KULIKO HAPO. Maana ukiwa point A unaweza kuwa kaskazini ya point B lakini kusini ya point C mashariki ya point D au magharibi ya.... ikiwa ni kuanglia North Pole unamaanisha the farther you move from north the poorer you become au? Afrika kusini na Tanzani Je? haya bara la Australia na Afganistan. marekani na Canada, ujerumani na Norway n.k Hakuna wa kupinga ila wewe unaweza kupima zaidi kisha utagundua kitu fulani usiweke kwannza maambo ya imani. subjectivity must be avoided
 
Hata mi mpenzi wangu anaishi kaskazini mwa nyumba yetu. Raha hiyo pia hata Tabora yetu ipo kaskazini mwa singida.
Raha hiyo....
 
Back
Top Bottom