Hii niliiona kwenye Facebook. Nadhani ni watu wametengeneza.
Sidhani kama mwanafunzi wa mwaka wa tatu tena kozi ya computer science anaweza kupewa mtihani huo
small and big computer halafu mtu anapewa 8/10 mmmmh! Halafu majibu yako shallow mtu anakula 34/40 nadhani hata sinnon college wanaweza wakawa juu sana...
Mimi huwa napendekeza bora tungekuwa na vyuo vichache tena vyote viwe vya serikali lakini viongezewe ubora na uwezo wa kudahili hata wanafunzi laki mbili kuliko kuruhusu hivi vyuo vya kichovu vinavyozuka kila kukicha!! Jana nimeona chuo kingine kinatangaza nafasi za kazi sijui kinaitwaje vilee!! Haya bhana ngoja tupelekwepelekwe tu!
View attachment 82960
huuu ndo mtihani wa mwanafunzi wa mwaka wa tatu........!!! kwa computer science kwa hali hii kweli tutafika....... ingekuwa pouwa sana kama serikali itavifungia vyuo vya kizembe kama hivi coz havina tija kwa watanznia