Maadui wangu wa3 Jf, hawa hapa...,...

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,780
Wadau nataraji mmeamka salimini.
Najua vema hapa si jukwaa la malalamiko.
Bt nimeileta hapa kwani najua kule malalamikoni wadau ni nadra kuvinjari hadi member anapokua na tatizo ndiyo huzuru kule.
Naamini hapa nitapata michango toshelevu tofauti na kule.

Wadau ni wiki ya tatu sasa natatizwa mno na hivi vitu vitatu ambavyo kwangu nimeona ni kama maadui wa kutaka kunitenganisha na Jeiefu.
Maadui hawa ni :-
1. CONNECTING
2. PROCESSING
3. LOADING
generally maadui hawa wanaendana na NETWORK, inafika neno connecting au processing au loading linang'ang'ania ku'search kwenye screen dkk 5- 10 na kifupi maana yake Netwk within 10 min. netwk inakatika kwa 8 minutes.

Imefika sasa kuiona Jf si pahala pa burudani tena sababu ya hii makitu.
Hivi wadau nanyi tatizo la maadui hawa wangu nanyie linawapata?
Au mie ndo nna KIMAVI ?
 
kaka pole sana kwa masahibu hayo, kwanza msamehe adui yako, pili wasiliana na mshenga wako al-maarufu kama service provider... ama msaidizi wake "your IT ADMNISTRATOR" I hope hawa, watakupatanisha na JF
 
Mhe. Kiongozi SS asante kwa pole, na kwa ushauri ulionipa
mf. Kuifungua hii comment yako kumengharimu dkk zisizopungua 10! Imagine!
Na hii matatizo sikua nayo previously.
 
Mbona kwangu kawaida ila inakuwa kama homa ya vipindi..presha inapanda presha inashuka. Nafikiri kwanza tatizo linaanzia kwenye haya makampuni ya simu lakini pia JF kuna jam kubwa kwa sababu tofauti na website nyingine kwangu Jf ndio inaongoza kwa mwendo wa kinyonga
 
Mhe. Kiongozi SS asante kwa pole, na kwa ushauri ulionipa
mf. Kuifungua hii comment yako kumengharimu dkk zisizopungua 10! Imagine!
Na hii matatizo sikua nayo previously.

pole, lakini kaka umeangalia salio kwenye modemu yako? au ka-bundle unatumia ka bei chei?
 
Aisey nakuonea gere!
Na ndiyo maana hukawii kulealea! Hucheki na abiria! Abiria havinjari kunako 18 ukalala usingizi !
Vipi jana abiria wako wa jana alikamata Hiace? Au alikua abiria Siafu ?
Debe la Kaizer nadhani lilikuongezea mwendo.
 
Kaizer hukumuelewa? alikuwa ananichora tu......ila abiria mbona yuko tunduni ni mimi kuamua tu ni wakati gani nimwage asali
 
Last edited by a moderator:

Umeonaeeh! Uyu jamaa yangu kbs
 
Kabla hujamlaumu mpenzi wako jeiyefu kwa matatizo yenu ya ndoa tazama kwanza kama wewe ni msafi. ikiwa ulimsaliti kwa kutembea na site zingine ambazo zinatembea na users wa hali mbali mbali huenda ulipata kaswende huko nje, na ndio chanzo cha jeiyefu kukunyima raha. suali ni je, unapotembea huko nje unajikinga? unatumia condom a.k.a antivirus gani? maana zingine hazifai, sababu sinapasuka wakati wa tukio na malware zinakuingilia, au tena hata zikitumika sawa sawa zinaishia kupunguza prformance yako unapo kutana na jeiyefu wako. naomba mdogo wangu Young_Master atoe ufafanuzi hapa.

Update:
Mambo mengine ya kutazama ni pamoja na mtandao unao tumia... (pun intended)
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha, namtaka Roulette wangu wa zamani, huyu kaharibiwa na nani?

Kabla hujamlaumu mpenzi wako jeiyefu kwa matatizo yenu ya ndoa tazama kwanza kama wewe ni msafi. ikiwa ulimsaliti kwa kutembea na site zingine ambazo zinatembea na users wa hali mbali mbali huenda ulipata kaswende huko nje, na ndio chanzo cha jeiyefu kukunyima raha. suali ni je, unapotembea huko nje unajikinga? unatumia condom a.k.a antivirus gani? maana zingine hazifai, sababu sinapasuka wakati wa tukio na malware zinakuingilia, au tena hata zikitumika sawa sawa zinaishia kupunguza prformance yako unapo kutana na jeiyefu wako. naomba mdogo wangu Young Master atoe ufafanuzi hapa.
 
Last edited by a moderator:
Kaizer hukumuelewa? alikuwa ananichora tu......ila abiria mbona yuko tunduni ni mimi kuamua tu ni wakati gani nimwage asali

Alaaa! Ina maana Kaizer alikua anampiga anakuongezea kukutobolea tundu kwenye Chandarua ?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom