Maadhimisho ya miaka 35 ya CCM live Star tv

Ni hali isiyopingika kuwa watu wengi waliokuwepo uwanjani hapa wanaondoka kwa kasi japokuwa kuna pilau na ng'ombe kadhaa waliochinjwa.
 
vicky kamata anaimba eti" mageuzi usiniguse nimeolewa...mume wangu ccm nimekolea". mageuzi usinishe wewe unashombo mume ccm anaweza mambo. hahahaaaa...
 
nappe anasema eti imekula kwao leo, tumejaza kirumba. hahaaa..
 
mwanza kuna vijana wafanya biashara ndogo ndogo wapatao 3000 na zaidi,wanasema walidanganywa sasa wamejitambua
 
Huu wimbo ulioimbwa na wanawake CCM kirumba hivi sasa,ni AIBU KWA WANAUME WA CCM
 
Si walishadaka chao wanarudi kwenye itikadi zao na biashara zao!!!!!
 
liberatus makene,mwenyekiti wa wamachinga mkoa wa mwanza anasoma risala ya wamachinga kwa Mwenyekiti wa CCM
 
Back
Top Bottom