Maadhimisho ya miaka 35 ya CCM live Star tv

Jamani picha mnachakachua! Hii picha siyo ya leo. Pia naamini kuwa picha hii haikupigwa kwenye mazingira ya nji wa Mwanza! Na hata kama kama ni picha ya leo na ya mji wa mwanza, hawa watanzania wenzetu wanasherehekea nini? Ni nini wanachojivunia kwenye maandamano haya? Tanzania bila ccm inawezekana!
 
Mwenyekiti wa chama mkoa ametoa tamko kuwa baada ya sherehe hizo kutakuwa na chakula kinachowatosha watu wote waliopo uwanjani...hii ni ajabu na kweli wakuu.
Kitaliwa kwa siku ngapi?au leo ikiisha ndio mwisho wa stori!
 
watu wamesombwa na magari kutoka kila pande za kanda ya ziwa,dug izi pesa wangewapa awo vijana mitaji ya biashara kwani karibu wote awana ajira.
 
Nawaona hapa vijana wa ccm wanapita kwa 'ukakamavu'mbele ya mwenyekiti wao...na kwa utii wa hali ya juu...yaani kazi kweli kweli ukakamavu kama ndio vile ndio maana hata majimbo yao yametekwa nyara!!!
 
jamani si wamruhusu akae basi!?. hahahaaaa....!! hadi mwili unanisisimka jinsi atakavyo anguka bora wakwepeshe camera.
 
Mwenyekiti wa chama mkoa ametoa tamko kuwa baada ya sherehe hizo kutakuwa na chakula kinachowatosha watu wote waliopo uwanjani...hii ni ajabu na kweli wakuu.

Mmmmh,ndiyo maana sijamuona Faiza Foxy,Malaria Sugu,Rejao watakuwa wanasubiri ubwabwa
 
Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa mwanza ametangaza kuwa baada ya maadhimisho watu wote wa uwanjani wasiondoke kwa kuwa watapewa chakula na kila mtu atakula.

Nimepata jibu kuwa kilichowavutia watu kwenda kwa wingi uwanjani ni chakula.Hivi CCM wanapata wapi pesa za kuwalisha watu wote hao?

Hivi CCM wana jeshi lao?

Faiza Foxy atakuwa amekimbilia
 
Miaka 35 CCM hawana la kujivunia zaidi ya kwata? Aibu gani hii?
 
awana jeshi awa jamaa waputzi sana wanaeikiri kuja kufanyia sherehe mwz kutawabadilisha wanamwanza mtazamo!
 
mi ningefurahi; kama maadhimisho ya miaka 35 ya CCM yangeazimishiwa kijijini kama kule Kitonto-Kigoma, Vyadigwa-Tanga, Matombo-Morogoro au kule maeneo ya Bujugo-Kagera na siyo Mjini kama hii ya leo.
kwa taarifa yako hata mitume wa mungu hawakuwai kufanyia shughuli za vilage,eg madina maka,jesusalem nk think twice
 
awo vijana wote wanaocheza apo awana ajira bora izo pesa nyingi walizotumia wangetengeneza mazingira ya ajira kwa vijana.
 
Uwanja wa ccm kirumba leo ni kijani kinang'aaaaaaaaaaa,mkoa wa mwanza leo ni ccm,ccm ccm ccm ccm ccm.arusha,dsm dodoma iringa na mbeya,nchi nzima leo ni kijaaaaaaaaaaani
 
linasomwa shairi hapa baada ya hapo anakuja vicky kamata ambaye pia ni mbunge wa viti maalum.
 
sasa ndio najua tatizo letu watanzania ni CCM, ebu fanyeni hesabu, chama kilizaliwa 5/2/1977 leo tare 5/2/2012 ni miaka mingapi? mimi kwa kesabu zangu hii ni miaka 34! sasa wenzetuuu hiiii 35 yatoka wapi????

rudi madrasa 2012-1977=?
 
Back
Top Bottom