Ma-house girls wawa miiba kwa ndoa Dar

Nyie wanaume na nyie mmezid tu wala hamna lolote mnapenda kutafuta visabb visivyo na mbele wala nyuma mwanaume kuweka dudu yake zaid ya mwanamke mmoja ni hulka yenu hamna cha uhouse girl wala nini mbona house boy anafanya kaz zaidi ya baba nawanawake hawashawishiki kutembea nao mxiuuuu. Mshazidi kusingizia wanawake hamtak kujikubali ndio mlivyo. Mijitu yenyewe siku hz mnataka mwanamke anayejishughulisha bado mnataka na kazi zote ndan afanye yy
sasa house boy yuko kwenye mabanda ya nguruwe, kuku na kusombelea maji kutoka nje bomban mda wote jasho linamtiririka hapo kavaa na ile rain but bado hajaenda kukata majani ya ng'ombe wa maziwa, sasa wewe mama mwenye kaya utamtan sa ngapi house boy chumba chenyewe analala cha nje
 
Baadhi ya wanawake ndani ya ndoa wamebweteka na kujisahau kabisa. Kiguu na njia, yeye na marafiki muda mwingi kuliko muda anaokuwa na mumewe, mitandaoni pia muda mwingi kila kitu nyumbani kinafanywa na HG mama mwenye nyumba hajui chochote ndani ya nyumba yake na hata kumtimizia mumewe yale mambo yetu matamu hana muda kachoka au yuko busy. Kwenye Hali kama hii ndoa ni lazima iyumbe na hata kuvunjika.

Hawa wadada ni hard-working kuanzia jikoni hadi Ku take care watoto. Wake za watu wanashindia WhatsApp na TV kuangalia mapishi na fasheni. Kile kinachofanywa na mahouse girls ndicho waume walichotarajia Kwa wake zao na ndio asili ya kiafrika. Pia mabinti hawa hawana makuu Ni very humble . Ukiweka ktk mizani utaona moyo WA mwanaume asiyetaka complication ukivutatwa kirahisi.
 
Mke ukimuwekea house girl mchapa kazi basi shughuri zote anamuachia yeye, anakuwa busy na simu vikoba na mengineyo, baba muda mwingi unakuwa na h/g kweli chochote kinaweza kutokea.

Wakati mkigegeda maHG wake zenu nao wako busy kusaka mabuzi huko nje na ndio vikoba vyenyewe. Tembeleeni rahatupu.blogspot.com muone jinsi wake zenu wanavyoharibiwa minduku na wahuni huko mitaani!!!
 
Mi sioni shida...hg akifanya kazi...kwani anafanya akiwa uchi au??wanaume acheni kuhalalisha usaliti. ..Kama mwanaume ni Malaya Malaya tu....hata kama hg asipofanya kazi atamtamani....
 
Baadhi ya wanawake ndani ya ndoa wamebweteka na kujisahau kabisa. Kiguu na njia, yeye na marafiki muda mwingi kuliko muda anaokuwa na mumewe, mitandaoni pia muda mwingi kila kitu nyumbani kinafanywa na HG mama mwenye nyumba hajui chochote ndani ya nyumba yake na hata kumtimizia mumewe yale mambo yetu matamu hana muda kachoka au yuko busy. Kwenye Hali kama hii ndoa ni lazima iyumbe na hata kuvunjika.
Katika mazingira kama hayo mwanamke anachangia kiasi kikubwa sana kuivuruga ndoa yake .... but the rest mume na h/girl nao wanakuwa wameshiriki kwa kias flan kuisambaratsha hii ndoa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
wanaume ni viumbe waajabu sana imagine anasema mke hafanyi chochote ili hali mkeo na wewe wote mnaenda kazini mnatoka usiku halafu unataka mkeo afike aanze kupika na kufanya shughuli zote za ndani. apike si mtakula sa nane usiku
Shemeji leo umeniangusha. Ebu edit hii comment yako pls....
 
Back
Top Bottom