Ma-house girls wawa miiba kwa ndoa Dar

Wakiviona vinanuka jasho wanaona havina madhara kumbe men wengine wanapenda huto tuharufu wanaita natural.

Wanaume wana saikolojia za ajabu sana. Sio wote wanapenda kwenye sura nzuri ukimletea kabayaa anaapa kukala Mara moja

Mkuu hii ID yako nimeipenda..sijui uliwaza nn
 
Only if you entertain her too much
Beki 3 akifunguliwa mlango tu .... huja juu kama maza hausi .... hapo ndo mwanzo wa kesi maza hausi akilalamika h/girl anambenulia midomo na dharau kibao ....

Sidhan kama kuna h/girl anaependa aendelee kuitwa hivyo .... nao wanataman privilege ya kuwa mamaza hausi .... so kosa dogo magoli 100
 
Wasema cjaielewa msg yako .... alright that over there is the msg concerned .... tafadhali nieleweshe nielewe
That's not the message concerned. Kwani wewe umenipongeza kwa sababu gani?
Ndo nikakwambia hujaelewa kile nilichoandika. Laiti ungeelewa usingenipongeza.
 
Hongera ya nini mamii
" ......ndoa ni nwanamke 150% ukifunga jicho kidogo tu ndoa huna" ......

hiyo ni sehemu ya msg yako .... nami nikakupongeza kwa kipande hicho mana umeonesha uelewa ni namna gani mwanamke ana play a very big role ama kuilinda ndoa yake au kuivunja .... sasa nieleze je bado ckupaswa kukupongeza?

By the way ww ukatumia neno "mamii" ktk msg yako ukini- address mie ..... na ndo nkakujibu pia mie ni dume na c "ke" .... naamin utakuwa ushanielewa
 
Beki 3 akifunguliwa mlango tu .... huja juu kama maza hausi .... hapo ndo mwanzo wa kesi maza hausi akilalamika h/girl anambenulia midomo na dharau kibao ....

Sidhan kama kuna h/girl anaependa aendelee kuitwa hivyo .... nao wanataman privilege ya kuwa mamaza hausi .... so kosa dogo magoli 100
Ma bek 3 anakusoma so muonyeshe clear nani ni mother house na nani ni mchepuko.

Akitambua nafasi yake hakusumbui.
 
" ......ndoa ni nwanamke 150% ukifunga jicho kidogo tu ndoa huna" ......

hiyo ni sehemu ya msg yako .... nami nikakupongeza kwa kipande hicho mana umeonesha uelewa ni namna gani mwanamke ana play a very big role ama kuilinda ndoa yake au kuivunja .... sasa nieleze je bado ckupaswa kukupongeza?

By the way ww ukatumia neno "mamii" ktk msg yako ukini- address mie ..... na ndo nkakujibu pia mie ni dume na c "ke" .... naamin utakuwa ushanielewa
Umesoma post nzima na kuielewa? Au umenyofoa tu hako ka kipande ndo unakomaa nako kunipongeza

Soma post nzima ndugu
 
Nyie wanaume na nyie mmezid tu wala hamna lolote mnapenda kutafuta visabb visivyo na mbele wala nyuma mwanaume kuweka dudu yake zaid ya mwanamke mmoja ni hulka yenu hamna cha uhouse girl wala nini mbona house boy anafanya kaz zaidi ya baba nawanawake hawashawishiki kutembea nao mxiuuuu. Mshazidi kusingizia wanawake hamtak kujikubali ndio mlivyo. Mijitu yenyewe siku hz mnataka mwanamke anayejishughulisha bado mnataka na kazi zote ndan afanye yy
Nimeipenda hii kwenye mijitu, dharau ndo inakoanzia!!!
 
Nashukuru mke wangu mjanja, kaleta house girl sura mbaya, flat screen alafu usafi wa mwili wake ni shida. Kuna wakati tulimleta mwingine mzuri zuri, aisee hakukaa, alifanya fitna mpaka akamtimua
 
Unahis kuwa mtumwa ndan ni fursa???
Hiyo fursa inaniingiza kipato gani zaid ya kutesana?? Maana kama ntaenda tafta pesa na kurudi Hom tena nifanye kaz za ndan mwanaume kakaa tu kama kigogo si kutesana huko
Kama ulikuwa unafahamu kunakutesana nini kilikupeleka kwenye ndoa?
 
Funguka madam mwaj .... je ww si muhanga wa hili janga?

Housegirl hajawahi hata kumsevia tu chakula mezani! ratiba yangu, jumatani(jioni)& jumapili asubuhi nafua ngui zangu na za King!, nazinyoosha freshh tunanyoosha naye, kama nipo msosi nampa mimi sipo anajichotea mwenyewe dada ni marufuku, chumbani hajawahi kuingia hata mtoto akilia, hajuagi hata kitanda kikoje upooo
 
Job description, terms & conditions kwa house girl .... si mchezo nmeipenda hiyo ....

By the way it seems the guy is the luckiest man in the world care ya kiwango cha juu na bado wamuita "King" interesting ....
 
Halafu wanakuwaga na mapaja soft sana kwa sababu hawavai vimini,full time ni nguo za heshima tu wakati mama mwenye nyumba anaacha mipaja yake inakomaa kwa vumbi na upepo,na papuchi zao za ma HG zinakuwaga original na pure smell
 
Back
Top Bottom