M4C ndani ya Nanyumbu, hamasa ni kubwa

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,558
25,323
Wanajamvi, nimesikia matangazo ule mkutano wa hadhara utakaohutubiwa na KUB ambaye pia ni mwenyekiti wa chadema Kamanda wa anga Mh. Freeman A. Mbowe MB. katibu mkuu Dr. Wilbrod P. Slaa, Cheaf whip wa kambi ya upinzani bungeni Mh. Tundu Lissu MB.

Kipenzi cha vijana wa tanzania Godbless Lema, pamoja na timu nzima ya makamanda kwenye msafara wa okoa kusini katika movement for positive change kusini mwa tanzania.

Hamasa ya wananchi iko juu sana kwani nao wanapenda kuwa sehemu ya ukombozi, wana hamu ya kuwakomboa ndugu zao wa Singida, Dodoma na Morogoro. nawaahidi kuwapa live coverage kutoka eneo la tukio.
 
mkuu tatizo lenu mda wa kazi ukifika mnaingia mitini. je usipo update invisible akufanyeje?
Mimi imani itarudi kwako ukiupdate.
Asante kwa tarifa

Mkuu, nisipotimiza ahadi yangu, ban iniangukie.
 
Yale magari ya PA yameingia hapa na kushangiliwa na vijana, gumzo limeanza!
 
Msafara mzima wa m4c umekaribia namatumbusi ukieleka nanyumbu.
 
Timu imetawanyika kwenda kata za sengenya, chipuputa . . . . . kabla ya kurejea hapa nanyumbu
 
Timu imetawanyika kwenda kata za sengenya, chipuputa . . . . . kabla ya kurejea hapa nanyumbu

Apdate: Magari ya PA ndio yameingia viwanjani tunawasubiri makamanda.
 
Dr. Slaa kawasili, ufunguzi unafanywa na diwani wa chadema kata ya nanyumbu.
 
Dua inafuata, sheikh maneno anasoma dua, kisha sala ya kikristo. sheikh maneno kawaomba wananchi waiunge mkono chadema kwani yeye awali alikuwa ccm.
 
Back
Top Bottom