M4C ndani ya Nanyumbu, hamasa ni kubwa

Mwenyekiti wa chadema tanga kapewa nafasi kusalimia, analaumu wanatanga kwa kuibeba ccm kwa muda mrefu, mwishowe amewapongeza kwa kubadili mwelekeo kwani wamefanya vizuri kwenye uchaguzi s/m.
 
M/kiti cdm tanga anawatahadharisha wananchi dhidi ya propaganda za udini, amewaomba wananchi waiunge mkono chadema.
 
M/kiti cdm tanga ameponda utaratibu wa power tiller, kwani haziwezi kukatua ardhi kisawasawa. elimu imedorora kwa makusudi ya ccm. afya ilikuwa matibabu kwa wananchi bure, kwa kutokuchaguliwa cdm mateso yamewaangua wananchi.
 
Dr. amewaonya vibaraka wa ccm walioko police, usalama wa taifa wakae chonjo. Kwani wananchi wamepigika ile mbaya. wananchi wanashangilia sana
 
Nami naanzisha C2C2bS yaani Come to christ to be saved.
The unseen is illustrated by the seen.
 
Mwenyekiti kamanda mbowe amefika, wananchi wamefurahi sana.
 
Slaa, anashangaa iweje mbunge wa nanyumbu hafahamiki jimboni
 
Dan mkapa alimuuliza dr. slaa mnapataje maji jimboni kwako. akapewa mbinu za kuandika miradi ya maji kwa wahisani, na hatokei, kwa hiyo ni uzembe wa makusudi.
 
Dr. amekumbusha ahadi ya maji waliyochangishwa kwa ahadi ya kikwete. wananchi wamesikitika mno
 
Dr. udini si jambo la kulipa nafasi. kama huna maji, dini yako haikusaidii.
 
Dr. amewakumbusha kanali mahawa alivyowacharaza bakora wananchi. amewataka wananchi kuwa wajasiri.
 
KUB. chama si mama yako wala baba yako, vyama vya siasa vinapita
 
Back
Top Bottom