M4C msisahau kupita kwa wafuatao...

Makamanda msiache kupita majimbo yafuatayo...nna uhakika 2015 tunayachukua bila shida
1.Tarime
2.Bunda
3.Rorya(mbunge wa sasa keshanukuliwa akisema hatogombea tena)
4.Serengeti
5.Musoma vijijini(Hapa wagombea wa upinzani huwa wanalainishwa na pesa then wanajitoa na mh anapita bila kupingwa)
6.Mwibara

Kifupi natabiri mkoa wa mara wote kuongozwa na CDM 2015,Nipo huku na dalili zote naziona.....
 
endeleeni kudanganyana
 
Chadema bunge limeisha sasa,,majembe yetu mlioko bungeni tunawategemea kujiunga na jeshi la m4c...2015 tunayahitaji majimo yanayoongozwa na:
1.kayanza Pinda
2.Lukuvi.
3Wasira
4.Anne Makinda
5.Lusinde
6.Nchemba
7.na mengine mengi
napendekeza zile pickup zikaanze kufanya kazi huko

hawa ndio wanainyima chadema usingizi,na sasa ile noma ya jangwani na sumbawanga ndio inakuja rasmi.magwanda yatawaka moto
 
Msiache pia kupita jimbo la aliyekuwa mwenyekiti wa iliyokuwa kamati ya bunge ya nishati na madini (sulemani zedi) yaani jimbo la bukene, jirani na jimbo la dr.kigwa.
 
Bila kusahau kwa vijisenti pale Bariadi! kama CDM hamjachukua Bariadi mtakuwa bado hamjaikamata kanda ya ziwa sawasawa!
 
mufindi hapa kwa kina mgimwa na mwenzie nani cjui njooni bana wanatuwekea usiku tu hawa watu
 
Mimi najiandaa kwenda kufunga kazi pale Magu, kina Ngongoseke walilainika wakamwachia tena huyu dk, UCHWALA Limbu, sa hivi anazidi kuwafanyia kitu mbaya wakulima wa pamba bila kujali kilio chao cha bei mbaya. safari hii hatoki, ule moto wa Ilemela na Nyamagana lazima ummalize kabisa. ngoja nimalizie kuweka mambo sawa wadau. kama vipi tukutane January Magu kwenye M4C (kwa mujibu wa ratiba)
 
Chadema bunge limeisha sasa,,majembe yetu mlioko bungeni tunawategemea kujiunga na jeshi la m4c...2015 tunayahitaji majimo yanayoongozwa na:
1.kayanza Pinda
2.Lukuvi.
3Wasira
4.Anne Makinda
5.Lusinde
6.Nchemba
7.na mengine mengi
napendekeza zile pickup zikaanze kufanya kazi huko

Kamanda na sisi wa Da'Slaam tunawahitaji...Hasa huku Temeke kwangu, tunajitahidi ila tunahitaji nguvu ya M4C ifike...
 
Back
Top Bottom