M4C Masasi yadoda, yahitajika nguvu ya ziada

Mkuu ,
Mimi binafsi nilikuwepo kwenye huo mkutano watu ni wachache muamko bado upo chini na jitihada za haraka zinahitajika ili kuwang`oa magamba hapa Masasi ila waliokuwepo walionesha kuunga mkono M4C na wamenunua kadi wapatao wanachama 20
jambo la msingi watu waikuli hoja ya mabadiliko kwanza idadi ya wanao chukua kadi si issue kihivyoooo
 
Hata mikoa mingine ilianza taratibu hivyo mkuu kwani kuna sehemu nyingine strategy zinatakiwa ziwe zinabadilika badilika. Hata hapo Masasi wata take off kidogo kidogo
 
Kwa sehemu kama hizo, mabadiliko hayaji ghafla. Ni kweli nguvu ya ziada inahitajika, lakini ikumbukwe kuwa, hii haitakatisha tama kamwe!
 
Mkutano wa chama pinzani kupata watu 500 Masasi si hatua ya kubeza hata kidogo!!labda kama ulimaanisha 50 hapo ningejiuliza mambo mawili matatu viva CDM pamoja tutashinda.

Watu 500 sio haba tena anae hutubia kumbe ni mwkt wilaya angeenda Lisu jee??? Big up CDM
 
Wadau ile timu ya main M4C inahitajika sana kwa hapa Masasi kwani uelewa wa vyama vingi bado ni mdogo mno Ule moto uliowashwa awali haukupaswa kuzimwa .Infact watu wa huku ni wa kubadilika taratibu
 
Wakuu mnakomaa hadi raha ina maana 2015 hamtawaachia hata kajimbo kamoja,
nilipita maeneo ya katoro hadi chato juzi huwezi amini hakuna mahali kuna bendera ya sisiem na wanakuambia wakiiona wanaichoma moto.
 
Back
Top Bottom