Mrbwire
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 200
- 51
Kwa wana Busega wapenda maendeleo/mabadiliko naomba sasa tuungane katika suala hili nyeti.Mimi nimeanza na kata yangu ya Nyaluhande nimefanikiwa kufanya mkutano wa ndani kwanza then Jumamosi hii nina kikao kingine kwa ajili ya kupanga safu ya uongozi wa CDM kata afu baada ya hapo nimepanga kufanya Ligi ya mpira wa miguu (M4C league)then siku ya final tutavamia vijiji vyote vi5 kufungua matawi na mkutano mkubwa pale Nyaluhande na kupokea wanachama kwani hata hiyo mikutano ya ndani magamba yamevuliwa na nimechukua wana -CUF wote wamesilimu na kuja CDM.So tuungane kuitoa Busega hapa ilipo leo.
Nawasilisha!
NIMEKUWA NIKIJIULIZA KILA SIKU KWA NINI CDM IMEKUWA NA MAFANIKIO MAKUBWA KIASI HIKI? ..... KUMBE NI KWA KUWA NA WATU THINKERS KAMA WEWE!! NIMEIPENDA SANA HII MKUU..... HESHIMA YAKO!:israel: