M4c - busega

Bukutonaga

JF-Expert Member
Jan 18, 2011
246
46
Kwa wana Busega wapenda maendeleo/mabadiliko naomba sasa tuungane katika suala hili nyeti.Mimi nimeanza na kata yangu ya Nyaluhande nimefanikiwa kufanya mkutano wa ndani kwanza then Jumamosi hii nina kikao kingine kwa ajili ya kupanga safu ya uongozi wa CDM kata afu baada ya hapo nimepanga kufanya Ligi ya mpira wa miguu (M4C league)then siku ya final tutavamia vijiji vyote vi5 kufungua matawi na mkutano mkubwa pale Nyaluhande na kupokea wanachama kwani hata hiyo mikutano ya ndani magamba yamevuliwa na nimechukua wana -CUF wote wamesilimu na kuja CDM.So tuungane kuitoa Busega hapa ilipo leo.

Nawasilisha!
 
Aisee Hongera sana kwa ujasiri wako na kujitolea kwa moyo! uwe mfano wa kuigwa kabisa!!! peoplessssssssssssssPowerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!
 
Hapo kwenye RED haijakaa vizuri.
Stori imetulia isipokua hapo.

QUOTE=Bukutonaga;4298874]Kwa wana Busega wapenda maendeleo/mabadiliko naomba sasa tuungane katika suala hili nyeti.Mimi nimeanza na kata yangu ya Nyaluhande nimefanikiwa kufanya mkutano wa ndani kwanza then Jumamosi hii nina kikao kingine kwa ajili ya kupanga safu ya uongozi wa CDM kata afu baada ya hapo nimepanga kufanya Ligi ya mpira wa miguu (M4C league)then siku ya final tutavamia vijiji vyote vi5 kufungua matawi na mkutano mkubwa pale Nyaluhande na kupokea wanachama kwani hata hiyo mikutano ya ndani magamba yamevuliwa na nimechukua wana -CUF wote wamesilimu na kuja CDM.So tuungane kuitoa Busega hapa ilipo leo.

Nawasilisha![/QUOTE]
 
Mkuu, badugu utafika? Safi sana.

Kamanda Badugu tutafika ila tumeanza na Lubugu na sasa Nyaluhande! Lazima tufike mkuu tuungane wana CDM maana nchi yetu inaangamia na sasa sakata hili la Mifuko ya Jamii hii ni kete nzuri sana kwetu maana watu wamejaa upepo vibaya.
 
Hapo kwenye RED haijakaa vizuri.
Stori imetulia isipokua hapo.

QUOTE=Bukutonaga;4298874]Kwa wana Busega wapenda maendeleo/mabadiliko naomba sasa tuungane katika suala hili nyeti.Mimi nimeanza na kata yangu ya Nyaluhande nimefanikiwa kufanya mkutano wa ndani kwanza then Jumamosi hii nina kikao kingine kwa ajili ya kupanga safu ya uongozi wa CDM kata afu baada ya hapo nimepanga kufanya Ligi ya mpira wa miguu (M4C league)then siku ya final tutavamia vijiji vyote vi5 kufungua matawi na mkutano mkubwa pale Nyaluhande na kupokea wanachama kwani hata hiyo mikutano ya ndani magamba yamevuliwa na nimechukua wana -CUF wote wamesilimu na kuja CDM.So tuungane kuitoa Busega hapa ilipo leo.

Nawasilisha!
[/QUOTE]

RED- Wanachama wote waliokuwa CUF kwa kata ya Nyaluhande wamehamia CDM
 
Mkuu,
Amini kabisa kwamba kazi yenu tunaipenda mno, na tuko pamoja sana!
Mioyo yetu ilishachafuka kitambo, M4C ndiyo tumaini litakalotuokoa!
 
Hongera kamanda,fanyeni kwa maendeleo ya busega ila msifike hatua ya kugombea jimbo kwa kuutaka ubunge na kupigana majungu hamtaeleweka na wananchi,until victory forever
 
Kwa wana Busega wapenda maendeleo/mabadiliko naomba sasa tuungane katika suala hili nyeti.Mimi nimeanza na kata yangu ya Nyaluhande nimefanikiwa kufanya mkutano wa ndani kwanza then Jumamosi hii nina kikao kingine kwa ajili ya kupanga safu ya uongozi wa CDM kata afu baada ya hapo nimepanga kufanya Ligi ya mpira wa miguu (M4C league)then siku ya final tutavamia vijiji vyote vi5 kufungua matawi na mkutano mkubwa pale Nyaluhande na kupokea wanachama kwani hata hiyo mikutano ya ndani magamba yamevuliwa na nimechukua wana -CUF wote wamesilimu na kuja CDM.So tuungane kuitoa Busega hapa ilipo leo.

Nawasilisha!
safi kamanda,hakikisha unaweka ligi pia ya wadada maana hawa bado wako nyuma kidogo ili waitambue CDM
 
naona kama ni enzi za TAA na TANU kupata uhuru 1961, yaani naona 2015 inachelewa big up, tupe namba ya M-pesa, Tigopesa, Airtel money au eazy pesa tukuunge mkono, naamini Dr.Chegeni atavua gamba - je hio ndio kata o jamaa? kama sio je utafika lini huko? peoopleeeeeeeeeeeeeee
 
Hongera sana Kamanda kwa kazi nzuri tengeza njia makamanda wa nchi kavu na Anga wakija nikumaliza kabisa.Wakati wewe ukipiga Busega Heche na makamanda wengine nao wanapeleka ujumbe kijiji kwa kijiji.Pande zile za Arachuga Kamanda Lema,Milya,Nanyaro na wengine ratiba yao hipo hivi:
Julai 25.Kata ya Themi
Julai 26.Kata ya Kaloleni
Julai 27.Kata ya Sombetini
Julai 29.Kata ya Elerai
Julai 30 Kata ya Daraja mbili
Agosti 1.Kata ya Kimandolu

Hii inaitwa twanga kote kote
 
Back
Top Bottom