M-PESA.TIGO PESA na MAHUSIANO...

Mi napenda kwa kununua umeme,kulipa bili,na kusaidia panapobidi ndugu,jamaa,na marafiki....
Wanafunzi wa yuo na sponsors kulipa fees za aina mbalimbali..
Ila na makampuni ya usafirishaji nayo,ndege,meli/boti,mabasi ya mikoani.. Isiwe lazima kwenda ofisini kufanya booking..
 
ongezea iwe point ya 7 hapo na id theft ipi hiyo?? dats ma idea roughly speakin....kama ni id ya bank a/c yangu....still itakuwa useless cz password naijua mwenyewe....in case wakiniibia simu hawatoweza fanya nayo chochote !!

kuna software za kuiba mpaka password
 
Mi napenda kwa kununua umeme,kulipa bili,na kusaidia panapobidi ndugu,jamaa,na marafiki....
Wanafunzi wa yuo na sponsors kulipa fees za aina mbalimbali..
Ila na makampuni ya usafirishaji nayo,ndege,meli/boti,mabasi ya mikoani.. Isiwe lazima kwenda ofisini kufanya booking..

kaka ndio tunakoelekea huko....one step at a time !!! kila kitu kina muda wake....naamini itafika a point itakuwa very rare mtu kutumia cash labda kwa mahitaj madogo madogo sanaaaa !!! umeme tayari watu wananunua kwa system hii....hawa ma wakala wa tanesco wana kiama chao mda si mrefu !!! Usishangae mpaka sadaka makanisani zitatolewa kwa mfumo huu....rapid changes in technology na janga la unemployment litazidi kuongezeka tu. Cz kila kitu kitakuwa automated.....ni swala la kujifunga mkanda !!!! huko mbele tunakoelekea ni pabaya sana.....sijui kama mshashtukia......???
 
Back
Top Bottom