Angebaki tu ili awe anavujisha bahari za Ccm
Anagombea?
Makapi lakini, hivi mtu kama Guninita ana madhara gani?
Angebaki tu ili awe anavujisha bahari za Ccm
Long time no see bro...
Hawa CCM Ibada ya kwanza inaisha tu na ushindi unaenda UKAWA..
Wewe shida yako nini?
Mkuu kumbe upo upande wa kweli na haki,basi nimekusamehe kule uliponiropokea.
Hao kinana sijui kindovu hao tutawaachia hatutaki kuwa walafi sanabado tunawasubili kinana na mangula mwaka huu ccm itabakiwa na mwenyekiti na familia yake pamoja na watoto wake wa mkopo nape na makonda
Unataka ujue madhara ya Guninita, subiri Oktoba 25, kwani idadi ya kura watakazopata CCM ondoa kura yake pamoja na wafuasi wake halafu ziongeze ukawa..
Mimi nasubiri kwa hamu ujio wa Dr. John Pombe Magufuli UKAWA!
Mimi nashangaa hao ndiyo walikuwa watendaji wakuu wa chama na sasa ndiyo sera zao zile zile na uzoefu wao uleule ndo wanaamishia chadema