M/kiti wa CCM Shinyanga, Khamis Mgeja na John Guninita wajivua uanachama CCM na kujiunga CHADEMA

Mimi nashangaa hao ndiyo walikuwa watendaji wakuu wa chama na sasa ndiyo sera zao zile zile na uzoefu wao uleule ndo wanaamishia chadema
 
Naskiaaq rahaa sanaaa nikiskiaaa habar kama hizii , nahisi ushindi unanukiaa ukawaa ,oct 25 bishara asubuhi imeshaishaa jion mahesabau
 
Mwenykiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja, anazungumza na waandishi wa habari asubuhi hii MAELEZO.

Habari za uhakika ni kwamba anatangaza kujiunga Ukawa.

Kazi kweli kweli.


========================

Update;
Wote hao wachumia tumbo. Hawana jipya mbali ya kutafuta fursa (opportunities) za kuwanufaisha matumbo yao. Mtu kama Guninita ambaye mwaka 2000 alijiunga na CHADEMA, baada ya kufilisi mradi wa mabasi ya wanafunzi chini ya UVCCM, alikikandia CCM akidai kuwa chama cha wezi. Ilikuwaje akarudi huko na sasa tena anakimbia!! Tusiwashangae bali tueliwe siasa kwao siyo kuhudumia wananchi bali matumbo yao kwanza kwa gharama yoyote, ikiwa ni pamoja na kuunga mkono UFISADI wa akina Team Lowasa.
 
Mbona ni raaaaaaaaaaaaha kwelikweli. Yale magamba ya nyoka yanajivua anabaki nyoka mpya. Hawa jamaa ndio walikuwa wavurugaji wa chama. Magufuli akishatangazwa Rais, Ccm itaanza na viongozi wa kweli,wasiorndekeza makundi.. Pesa waliomlia mamvi kabla ya kusulibiwa ndiyo hiyo fadhila wanarudisha. Wakwende zao fankuuuuuro.
 
Hivi kweli hawa wanaohama CCM na kuhamia CHADEMA kwenye hizi dakika za mwisho mwisho kabla ya uchaguzi wataendelea kweli kuwa wana CHADEMA baada ya uchaguzi ikitokea mgombea wa CHADEMA anashindwa urais?

hawa wanaotoka sio mambulula, ni watu wenye muono wa mbali sana wamesha pima kwa uzoefu wao mwelekeo wa kushinda kama viongozi ndani ya chama.

Na wamesha gundua lichama linaenda kumchachia mzee wa Msoga,
 
Hajawahi kuwa public candidate nikiongozi wa chama na alikuwa anachaguliwa na chama hana wafuasi nje ya CCM nyny ndiomtakuwa wafuwasi wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom