Urani
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 288
- 98
Daah! JF mwisho!!. Unajua ***** you made a nice kick. Kudos. Tuambizane tu Tanzania si ya majuha. Nimekuwa naifuatilia clip ile hakika imetengenezwa na beginners. Makosa kibao. Baada ya kuiona nikarudi zangu kwenye shule ya MPEG ( hasa ISO/IEC Moving Picture Experts Group) hasa 7. Kwa faida ya wana JF MPEG 7 inaweza kusaidia kutambua au kuelezea vitu kama video au picha zilivyochukuliwa, lugha na uhusiano na picha, mtandao uliotumika, nk. Nilipowamaliza ni kwenye EAD (Encoded Archival Description), hii una trace mpaka ilikofichwa kabla ya kuwekwa online kwa kutumia mtandao alioutumia kuiweka(post) mtandaoni. Hahaaaa! ***** nitarudi na MPEG 21 kabla ya kushuka na shule nyingine.