Lwakatare Video: Metadata Information Can Easily Reveal Secret

mwisho wa ubaya ni aibu, cheki sasa mlivyoaibika kwa ubaya wenu. kila siku mnajitahidi kujinasua lakini wapi.

The only way to work out on this political ambiguity!

Metadata usually hide information that can embarrassingly lead to revelation of secrets resulting in leakage of business deals, hidden agendas and other crucial information, and hence a danger of exposing secrets which can be very costly!

It is known that (I will not put refs for now) even for reputable companies with server-based metadata removal, 10% of all information (provided they are in electronic form) going out of company server have metadata.

Metadata can reveal how an electronic file was created. Metadata for example can tell you whether this video was taken continuously from one place or just a combination of parts taken from different places in different times. It provides plenty of other information as well.

"One of the factors that distinguishes electronic documents from their paper counterparts and contributes to the complexity of electronic document records management is that electronically stored data is accompanied by metadata. Metadata "describes" the underlying data. It may include information such as what language it’s written in; where the data is stored; number of characters, pages and words; what tools were used to create it; when the data was created/modified and by whom." Reference: (E-discovery: What does your metadata reveal? : Municipal Association of SC)

I'm certain for large percentage, that this video is a forgery. The only way to clear this dilemma is to work it the clever way by extracting the meta information associated with the video file!

I'm convinced that there is little chance for people (who may also be not intelligent enough) who created this video to have ever thought of the meta info hidden in the file. And because the video is posted on internet, that means they cannot take it all back in order to remove metadata. Metadata can be extracted by just executing a small piece of code in the command prompt.

Yes, information should be submitted to the court as an evidence or let some geek do it before the public in the court so that everyone can witness!

Alternatively: Extract images from a video, then get EXIF (exchangeable image file) to analyze.
 
Hvi jamani kama ilevideo inge kuwa fogery si viongozi wa chadema karibu wote wagesha toka na kuipinga na hata kutafuta mtalamu wa kuichunguza. Chadema ni ijuavyo mimi ukiwasingizia kitu we moyo wake mtakoma ila kwa hili ali ongea tu dk silaa kukanusha nadhani alikuwa anapractise public relation ku safisha image yao bada yahapo wafuasi wa chadema ndio wamebaki waki toa maoni kwamba ni fake ila viongozi wako kimya hapa lazima hii video ni ya ukweli
 
Nikumbushe, umesema interview ya sales ni lini!?
 
Hvi jamani kama ilevideo inge kuwa fogery si viongozi wa chadema karibu wote wagesha toka na kuipinga na hata kutafuta mtalamu wa kuichunguza. Chadema ni ijuavyo mimi ukiwasingizia kitu we moyo wake mtakoma ila kwa hili ali ongea tu dk silaa kukanusha nadhani alikuwa anapractise public relation ku safisha image yao bada yahapo wafuasi wa chadema ndio wamebaki waki toa maoni kwamba ni fake ila viongozi wako kimya hapa lazima hii video ni ya ukweli

Kuna Jipya nimelipata mtaani: Kama si jipya humu JF tafadhali mtanijuza wanajamvi.

Video ya Rwakatare eti ni ya kweli. Mtu aliyeitengeza alikuwa katika chumba akipanga njama na Rwakatare.
Eti alitumia simu ya Camera ilikuwa mfuko wa shati mkono wa kushoto.

Kutokana na kumuamini sana, Rwakatare alifunguka na huyu mwanachadema wa YouTube akawa anauliza
maswali ili kumingiza zaidi Mkenge Rwakatare.

Kwa maana hiyo Video ni Kweli, na aliyei-upload ni Mwanachadema. Af sijaiona hiyo clip. naiomba basi
tafadhali wanajamvi. Em mtu anipe link tafadhali....

Kama ingekuwa kweli jana wasinge toa mashitaka ya ugaidi. Hii serikali yetu ni 'penny wise and pound foolish' kwa maana ya kufuatilia vitu visivyo muhimu kwa taifa.
 
Kama ingekuwa kweli jana wasinge toa mashitaka ya ugaidi. Hii serikali yetu ni 'penny wise and pound foolish' kwa maana ya kufuatilia vitu visivyo muhimu kwa taifa.

Baluma, nadhani hawakutoa mashtaka, bali walihamisha mashtaka hayo ya ugaidi kuyapeleka High Court. Kwa hiyo bado yapo. Uwezekano upo kwamba ile video ilirekodiwa kwa simu na conspirator ambaye alijifanya mwanachadema mtiifu. Inaweza ikawa kama kesi ya kukojolea Qur an. Yaani mwenye kurekodi alim lead Rwakatare kwenye matamshi haya akiwa na lengo la ku-upload atachopata. Kwa lugha nyingine idara ya red brigade ina MOLES mule ndani.

WITO: Chadema wekeni tangazo wanachama wanaotaka kujiunga Red Brigade wajitokeze watu wenye mawazo kama ya kwangu, tuje, tutengeze magaidi ukweli sasa zianze kupigwa. Tuachane na hao magaidi wa kufikirika kwenye YouTube. Tumechoka na huu upuuzi unaoitwa CCM. Jana mwandishi ameuawa mchana kweupe, hakuna tatizo. Leo kuna mpango tu wa kumdhuru mwandishi, kesi inaanza leoleo!

Double Standards hizi zinalenga nini kama si kuleta haki ya ugaidi? Chadema pigeni la mgambo tupanue njia za kuondoa utawala dhalimu.
 
Hivi kweli kuna mtu anadhani serikali ya Tanzania ikitaka kujua mtu aliyeiweka ile video YouTube itashindwa?

Kuna watu wako so illiterate na kompyuta wanadhani kuwa uki-uplaod video Youtube na ID feki basi huwezi kuwa tracked down.

Everything that people do on the Internet, including on YouTube, can be tracked down so easily. I mean everything.

Sioni ugumu wowote wa kum-track aliyeweka ile video.

Na kwa vile ile video inaongelea conspiracy to kill someone na kwa vile terms na conditions za YouTube zinakataza ku-upload video za aina hiyo, Google watakuwa tayari ku-cooperate na Tanzania kumpata aliyeiweka ile video ya conspiracy to commit a deadly crime.
Mmmmmmhhhh mkuu hata wanaotumia internet cafe ku upload?
 
Mkuu Mungo Park, katika hili kundi hapa chini, hivi wewe mwenzangu unaweza kunisaidia kumtambua mwenye capacity
ya strategic analysis hapa?

RAIS MWISLAM, MAKAMU WA RAIS MWISLAMU, JAJI MKUU MWISLAMU, MKUU WA USALAMA WA TAIFA MWISLAM,
IGP MWISILAM, WAZIRI WA ULINZI MWISLAM, WAKUU WA MIKOA 19 KATI YA 28 NI WAISLAM,
78% YA WAJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM NI WAISLAM, 81% YA WAJUMBE WA TUME YA KATIBA MPYA NI WAISLAM.
66% YA WAKUU WA WILAYA NI WAISLAM.

Unaona mwenye capacity ya strategic analysis hapo? Mbona mimi sioni?!
Sidhani kama Uislamu wao unawanyima fursa ya kufanya ' strategic analysis' au unawaondolea busara-kwani baadhi yao wana hazina tele ya wataalamu wa aina mbalimbali, ila ukosefu wa nia njema kwa baadhi yao wakati wa kusukuma ajenda binafsi fulani fulani.
 
:nono:Sikiza Mkuu. Elimu zipo aina mbili. Kuna elimu ya darasani kwa upande mmoja, na elimu ya makuzi pamoja na na darasa la mtaani kwa upande mwingine. Elimu ya Darasani ina mchango mdogo sana katika kuunda personality ya mtu. Hilo kundi hapo ndilo haswa linaloendesha nchi ya Tanzania kwa sasa, na kinachoongoza siyo elimu ya Darasani, bali makuzi ya watu hawa. Wewe unaona akili katika yanayoendelea Tanzania hii leo? Mi sioni akili katika mengi sana nchini kwa sasa. Naona uharo tu mie......m.a.v.i kila kona yaani!
 
Back
Top Bottom