Lwakatare Video: Metadata Information Can Easily Reveal Secret

Daah! JF mwisho!!. Unajua ***** you made a nice kick. Kudos. Tuambizane tu Tanzania si ya majuha. Nimekuwa naifuatilia clip ile hakika imetengenezwa na beginners. Makosa kibao. Baada ya kuiona nikarudi zangu kwenye shule ya MPEG ( hasa ISO/IEC Moving Picture Experts Group) hasa 7. Kwa faida ya wana JF MPEG 7 inaweza kusaidia kutambua au kuelezea vitu kama video au picha zilivyochukuliwa, lugha na uhusiano na picha, mtandao uliotumika, nk. Nilipowamaliza ni kwenye EAD (Encoded Archival Description), hii una trace mpaka ilikofichwa kabla ya kuwekwa online kwa kutumia mtandao alioutumia kuiweka(post) mtandaoni. Hahaaaa! ***** nitarudi na MPEG 21 kabla ya kushuka na shule nyingine.
 
Summing up:

The person who uploaded this video must be found so that he personally presents an evidence as to where, when and how he filmed Lwakatare, how he could arrange for filming, how did he knew or where did he got information that Lwakatare was going to plan for killing conspiracy, where did he got the filming equipments; and why he personally didn't immediately hand the video to the police for further investigation? And how possible that a mentally health person can publicly plan a conspiracy to kill?

1. CHADEMA administration should deal with this conspiracy seriously. It should never ever agree on conviction of Lwakatare based on a mere eye examination of the 99.99% likely to be planned video. Instead, CHADEMA should incorporate top PRIVATE IT investigators, if possible, ones specialized in metadata technology to scientifically falsify the allegation. There is no way that this video file misses metadata.

Let's be patient. I'm sure there are people working hard and more cleverly on this matter than we think! I think it is wise if the decision to apply meta analysis should be carried for the purpose of witnessing to the other side which purports this fraudulent action, before the court. Do not just do it, you may unknowingly benefit your enemies!

2. A person who uploaded this video uses Gmail account. His location can easily be traced using IP address (IP address can be static but it will always stay within the same range; fortunately, they are generally allocated to an ISP in blocks); and/or Geographical Information System (GIS) in terms of coordinates with the help of Google. Google would as well help to retrieve metadata stored in its servers during uploading exercise and log file for the activities he had been doing on internet (like posting on JF).

In short, with the help of Google, things are pretty more easier. Google knows him: when he was registered, where he was registered, which information he submitted during registration, what he does with the email account: e.g., when/where he was when logging in/out and so on.

Even if he uses fake names, fake IDs, fake email account, fake location or deletes all his email communications, or deletes his email account; all his records are stored in Google servers.

You will be surprised to note that:

a) although he uses fake identities, he can sometimes reveal his true identity,

b) although he uses fake anonymous (I mean known to him only, though not possible) email account, his account is connected to other accounts such as JF (it is possible that he has registered with the same email account on You Tube and JF, for example). In this way, his account will have informative details, together with other circumstantial evidences, means he identifies himself,

c) although he operates secretly, he sometimes forgets and sends, receives or processes email messages which identify him and other people; and the way he is related to them,

d) He gets internet connection from an ISP (which can be one of the telecom company(s)). In this way he is identified/located through IP address via a mobile phone, a modem or any other device. If he uses mobile phone for internet activities, his phone number is connected to other information via IP. He does not even need to register since his service provider knows who he is because of inter-connections through phone calls and messaging.

How funny is it to find that video pieces were transmitted through his email for compilation somewhere? May be outside Tanzania! Whatever he does including expunging his account, all information still resides within Google servers!


CHADEMA should seek for legal procedures if it needs Google involvement into this investigation. Here, Google is a good starting point which will provoke a series of other steps. Google Tech Team can help CHADEMA administration in many more sophisticated ways including but not limited to the above mentioned ones:

However, CHADEMA administration can adopt one or several methods to disambiguity this nightmare.

For alternative two, CHADEMA Administration can directly contact various Google offices located here: http://www.google.co.tz/about/jobs/locations/#region=middle-east-africa

I recommend they contact Google office at Nairobi:

Google Nairobi
7th Floor, Purshottam Place
Westlands Road,
P.O. Box 66217 - 00800
Westlands
Nairobi, Kenya
Phone: +254 20 360 1000

Link: http://www.google.co.tz/about/jobs/locations/nairobi/

Or Google office at Johannesburg:

Google Johannesburg
Ground Floor, Twickenham Building
The Campus
Cnr Main & Sloane Street
Bryanston, Johannesburg
02021 South Africa

Link: http://www.google.co.tz/about/jobs/locations/johannesburg/

or Google office located at any country of their convenience.
 
Sioni ugumu wowote wa kum-track aliyeweka ile video.
.

Sio rahisi kihivyo....

Kwanza wata Trace IP address....
Itawaonyesha ni mji ilkuwa mji gani...(Tufanye ni DAR ES SALAAM)..
ISP provider atamtaja mteja ....(TUFANYE mteja ni JJ INTERNET CAFE)...

Baada ya hapa unaweza kujua nini kitaendelea....


(KUMBUKA unaweza kutumia IP za UK hata Kama Upo BONGO....)


Kwa hiyo kukamatwa labda atake mwenyewe huyo jamaa
 
The only way to work out on this political ambiguity!

Metadata usually hide information that can embarrassingly lead to revelation of secrets resulting in leakage of business deals, hidden agendas and other crucial information, and hence a danger of exposing secrets which can be very costly!

It is known that (I will not put refs for now) even for reputable companies with server-based metadata removal, 10% of all information (provided they are in electronic form) going out of company server have metadata.

Metadata can reveal how an electronic file was created. Metadata for example can tell you whether this video was taken continuously from one place or just a combination of parts taken from different places in different times. It provides plenty of other information as well.

"One of the factors that distinguishes electronic documents from their paper counterparts and contributes to the complexity of electronic document records management is that electronically stored data is accompanied by metadata. Metadata "describes" the underlying data. It may include information such as what language it's written in; where the data is stored; number of characters, pages and words; what tools were used to create it; when the data was created/modified and by whom." Reference: (E-discovery: What does your metadata reveal? : Municipal Association of SC)

I'm certain for large percentage, that this video is a forgery. The only way to clear this dilemma is to work it the clever way by extracting the meta information associated with the video file!

I'm convinced that there is little chance for people (who may also be not intelligent enough) who created this video to have ever thought of the meta info hidden in the file. And because the video is posted on internet, that means they cannot take it all back in order to remove metadata. Metadata can be extracted by just executing a small piece of code in the command prompt.

Yes, information should be submitted to the court as an evidence or let some geek do it before the public in the court so that everyone can witness!

Alternatively: Extract images from a video, then get EXIF (exchangeable image file) to analyze.


BLR Bad Lip Reading - Wikipedia, the free encyclopedia

Angalia hiyo halafu pata jibu kuhusu video ya Lwakatare. Link hapo juu ni muhimu kuiangalia wadau.
 
kwa mtu mwelewa wa editing ataipinga kwa asilimia mia moja hiyo clip, ila kwa wale wasiojua ama washabiki tu wa siasa wataendelea kuamini udanganyifu huu.

kwa kuwasaidia polisi au wachunguzi wajambo hili wafanye yafuatayo.

1. kuanzia mwanzo wa clip yenyewe mpaka dk 1:43 (hapo wanaposalimiana) ndio pana majibu yote na hakuna haja ya kwenda zaidi ya hapo. Ile MARAHABA ALIITIKIA LWAKATARE ILA IKAKATWA KWA KUINGIZA YA UONGO, siju habari za siku nyingi..na kadhalika..

2.Pili, wamefanya kosa kubwa kwa kutokujua kuwa sasa si enzi za mwalimu, huyo MTU ALIYESALIMIA (RICH), ANAWEZA KUWA SHAHIDI NA NIRAHISI KUMPATA KWA SURA TU, kama kweli wachunguzi wapo makini.

3. Na mwisho, source ya video yenyewe, najua imewekwa youtube then ikawashared JF. LAKINI WAKIKUBALI KUMTAFUTA ALIYEIWEKA NI KITU CHA SIKU AU MASAA. LABDA PAWE TU NA MKONO WA SERIKALI NDIO ZOEZI LITASITISHWA, maana ni aibu kwao.

Sina ushabiki wowote wa kisiasa ila kutokana na uvivu wa jeshi la polisi la kutegemea kuchukua tu vitu bila kuwa na source maalum itawapa shida sana, na hapa ndipo wataona umuhimu wa kuwa na polisi wasomi kweli na si hawa wa kwenda kwata kwa miezi tu.
 
umeonae, Polisi anapigwa kwata miezi 3 halafu adeal na complex issues namna hii. Ajabu la 4 Tz
 
Hivi FBI si bado wapo Tanzania? wao inawachukuwa dakika 10 tu kuielewa hiyo video, maana nashauri FBI wafunguwe branch Tanzania maana hawa Polisi tulionao ni mgogoro mtupu.
 
Hata aliyefanya hiyo editing yaa video naona ndo katoka juzi china kujifunza final cut!
 
Wamechezea angle mbovu safari hii, yaweza kuwa ndo tiketi ya kuipaisha chadema maradufu ya ilivyokuwa, wakishindwa na hii propagnda yao wamekwisha!
 
Ukitaka kuamin kuwa swala hil bado lina utata mkubwa, anzisha thread yoyote yenye jina "Lwakatare", hazitapita dk 10, karibia nusu ya wana Jf watakuwa wameshaiView.

Hii ni kwasababu watu wana kiu ya kuupata ukweli

Nadhan hata ukiandika tu jina "Lwakatare" bado watu watamiminika tu.

Kwel tuna kiu na hil swala, lakn tusitegemee polis kutupa majibu mapema mana hawako huru kiutendaji (wanasubir amr za watawala) na teknolojia yao ipo chini sana.
 
Dua la kuku limepishana njia na mwewe,CHADEMA hakitakufa kirahisi hivi.Mwenyewe nimeona hicho kitu na hata yule dada aliyekwenda dirishani,utagundua ni distance ndogo kutoka kwa Lwakatare lakini bado tu mazungumzo yalikuwa yanaendelea kitu ambacho hakileti mantiki
 
Hii serikali yakichovu haiwezi kukubali kuwa na tawi la FBI hapa kwasababu yataumbuka kilasiku nayatashindwa kuwadanganya wale wasio elewa!
 
Mambo ya binadamu hayoooo!! Hii nchi bana inaendeshwa watakavyo kwanza viongozi wanalindana xna nimesoma maneno aliyo sema RAISI WILBORD SLAA yanaukweli mtumpu ni mambo mengi sana serekali yetu wanayafumbia macho kama inshu ya ulimboka,yule mwandishi wa habari wa chanel ten yote kapuni sijui wanamalengo gani! Walahi watanzania tuamke sasas 2015 kuwa makini kuchagua. Samahani kwa yeyote nilie mkwaza 7babu ya kumwita slaa raisi mm ndie najua anastahili kuwa raisi wangu over
 
kwa mtu mwelewa wa editing ataipinga kwa asilimia mia moja hiyo clip, ila kwa wale wasiojua ama washabiki tu wa siasa wataendelea kuamini udanganyifu huu.

kwa kuwasaidia polisi au wachunguzi wajambo hili wafanye yafuatayo.

1. kuanzia mwanzo wa clip yenyewe mpaka dk 1:43 (hapo wanaposalimiana) ndio pana majibu yote na hakuna haja ya kwenda zaidi ya hapo. Ile MARAHABA ALIITIKIA LWAKATARE ILA IKAKATWA KWA KUINGIZA YA UONGO, siju habari za siku nyingi..na kadhalika..

2.Pili, wamefanya kosa kubwa kwa kutokujua kuwa sasa si enzi za mwalimu, huyo MTU ALIYESALIMIA (RICH), ANAWEZA KUWA SHAHIDI NA NIRAHISI KUMPATA KWA SURA TU, kama kweli wachunguzi wapo makini.

3. Na mwisho, source ya video yenyewe, najua imewekwa youtube then ikawashared JF. LAKINI WAKIKUBALI KUMTAFUTA ALIYEIWEKA NI KITU CHA SIKU AU MASAA. LABDA PAWE TU NA MKONO WA SERIKALI NDIO ZOEZI LITASITISHWA, maana ni aibu kwao.

Sina ushabiki wowote wa kisiasa ila kutokana na uvivu wa jeshi la polisi la kutegemea kuchukua tu vitu bila kuwa na source maalum itawapa shida sana, na hapa ndipo wataona umuhimu wa kuwa na polisi wasomi kweli na si hawa wa kwenda kwata kwa miezi tu.
la muhimu zaidi wamkamate Nchemba na kumuuliza CD aliyonayo inafanana na hiyo kama akisema ni yenyewe yeye Nchemba ndio atatakiwa atoe maelezo ya kina.kama hakisema siyo basi alazimishwe kuitoa hiyo aliyonayo. tatizo liko wapi wakati hiyo ni kazi ya siku moja
 
Mambo ya binadamu
hayoooo!! Hii nchi bana inaendeshwa watakavyo kwanza viongozi
wanalindana xna nimesoma maneno aliyo sema RAISI WILBORD SLAA yanaukweli
mtumpu ni mambo mengi sana serekali yetu wanayafumbia macho kama inshu
ya ulimboka,yule mwandishi wa habari wa chanel ten yote kapuni sijui
wanamalengo gani! Walahi watanzania tuamke sasas 2015 kuwa makini
kuchagua. Samahani kwa yeyote nilie mkwaza 7ababu ya kumwita slaa raisi
mm ndie najua anastahili kuwa raisi wangu over

mkuu hujakosea hata kidogo dr.slaa kumwita rais wetu make sote tunajua kuwa ndiye rais wa JMT aliyeshinda uchaguzi wa 2010 na ndiyo maana usalama wa taifa wanaripoti kwake kwa7bu wanajua jak nzoka na genge lake walimchakachua.
 
Back
Top Bottom