Lusinde: Wembe ni ule ule Arusha!

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
804
Amesema yupo tayari kwenda kumnadi mgombea ubunge wa ccm katika chaguzi ndogo wenye mashaka Arusha.
 
mwache aje kwani ataturahisishia ushindi. Pia Wassira, Mkapa, nape nao wasikose kuja. CHD hatuna hata haja ya kukampeini.
 
...yeye tu ndie kabaki kwenye chama "letu", tutamtumia kudadadeki!
 
Jamaa anafuata Per Diems to hakuna kupiga kampeni. Akikuta machalii wamepata CHA ARUSHA halafu awaambie wanapewa viroba na ndumu na CDM ili watukane wazazi wao, machalii watamdunda
 
Kama anataka kurudi Mtera akiwa ameongezewa jina la tatu(marehemu)aende A-Town akaongee maneno yake aliyoyatoa huko Arumeru Mashariki.
 
watu wanawaza magomvi na matusi....halafu wanasema chaguo la mungu..!
 
Back
Top Bottom