Lusinde: Wembe ni ule ule Arusha!

mimi nadhani huyu bwana mdogo itabidi afunzwe kwa kuwekwa ndani ajue alifanyalo,
akimaliza kufudwa achezewe ngoma ya kumtoa MKAPA awe mgeni rasmi
 
anamchango sana kwenye chama chetu kama kawa tutanza kwa matusi na tutamaliza kwa ushindi kama igunga arumeru tulitukana sana ndio maana tulishindwa kwa sasa punguza kidogo.
 
Ni uamuzi wa busara sana Lusinde. Karibu Arusha uje utumwagie sera zako na tunaamini wewe ni nguzo muhimu kwenye chama tawala CCM.
 
mwache aje kwani ataturahisishia ushindi. Pia Wassira, Mkapa, nape nao wasikose kuja. CHD hatuna hata haja ya kukampeini.

Mwache aje huyu jamaa huwa anatoa pumba zenye ladha sana maana anajua jinsi ya kuzipangilia
 
Mh. Lusinde karibu sana Arusha maana wewe ni mtaji mzuri sana kwa CDM!!!
 
Lusinde wanachadema tunamkubali sana kwani ni jembe zaidi hata ya lema na cha zaidi alisaidia ushindi wa CCM arusha, jamaa anafaa awe Rais wetu. BIGUP KAMANDA LUSINDE MPAKA KILEWEKE KILAZA WETU.
 
Tunamtaka, Mwinyi, Mkapa, Karume, Salmin, Mangula, Makamba, Malecela, Kingunge, Sumaye, Lowassa, na Sisi tutasimama na
B6lAnSs6g1+XAAAAAElFTkSuQmCC
waone kama hatujashinda
 
hakuja jembe kama lusinde ccm kwa hiyo ni lazima aende arusha kwani alifanya nini arumeru?mimi nawaambia nyie hamumjui lusinde kile kichwa (ila cha chini)
 
Jamani hivi hakuna mwa Jf aliyepata Cv ya huyu jamaa inaonekana ni kilaza mbaya, sijui watu wa mtera wanajisikia aje? nashauri watangaze kuwa ni jimbo huru huwezi kuwa na mbunge wa ainaya Lusinde, kazi yake ni kuwalamba wenzie kudadadeki.
 
najua kama cdm wakiamua kurudia uchaguzi (kitu ambacho siafiki) huyu jamaa ataletwa ili kuwaghadhabishwa wafuasi wa cdm Arusha. Sasa kwa kuwa wana cdm wakimwona watapatwa na kichefuchefu, valangati llaweza kutokea na ccm wakapata cha kusemea. Hii ni tahadhari tu
 
Eti Lusinde utakija kwelii? Ha nimesahau sio Great Thinker hawezi kuingia humu. Nape Vipi chizi wenu mtampeleka Arusha tucheke manake tumemzoea sasa na wendawazimu wake.
 
Back
Top Bottom