inols JF-Expert Member Sep 22, 2010 283 95 Apr 29, 2011 #2 ALLEX said: View attachment 28571 KAUSHA KAMA HUTUMII.......:tape: Click to expand... Yaaaaani we acha tu! Hiyo kitu tamu, mbuzi katoliki haioni ndani, hapa nilipo udenda umenijaa mdomoni, inapatikana vijiwe gani? nichome mafuta kuja kuikwapua?
ALLEX said: View attachment 28571 KAUSHA KAMA HUTUMII.......:tape: Click to expand... Yaaaaani we acha tu! Hiyo kitu tamu, mbuzi katoliki haioni ndani, hapa nilipo udenda umenijaa mdomoni, inapatikana vijiwe gani? nichome mafuta kuja kuikwapua?
boma2000 JF-Expert Member Oct 18, 2009 3,280 310 Apr 30, 2011 #5 kula mwenyewe tafadhari, hiyo ni 'share' yako na 'share' ya mtu hailiwi, kula sharti ulipe. angalia tu usivimbiwe
kula mwenyewe tafadhari, hiyo ni 'share' yako na 'share' ya mtu hailiwi, kula sharti ulipe. angalia tu usivimbiwe
jockey emmanuel JF-Expert Member Mar 23, 2011 330 50 Apr 30, 2011 #6 nime-admire ur meal...we ni wa ukwekwe...:frusty:
G gracious86 JF-Expert Member Mar 25, 2011 437 54 Apr 30, 2011 #7 mbona inatoa harufu hivyo? Hahahahaha
Ringo Edmund JF-Expert Member May 10, 2010 4,879 1,125 Apr 30, 2011 #8 njombe au?mtumie jamaa yangu anaitwa msigwa.