Lulu na Ngwala ya ukombozi

Mizizi

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,275
391
Poleni sana watanzania wote kwa msiba mkubwa, hasa kwa wale wapenzi wa Tasnia ya Filamu nchini, kwa kuondokewa na kipenzi chetu, kaka yetu, The Great Steve K!! Tulimpenda, ila mungu amempenda zaidi:
Tukiangalia namna ingine ya kifo chake kilivyotokea. Kila mmoja amejaribu kuelezea vile alivyoona inafaa na anavyodhani imekuwa ni sababu ya kifo hicho kutokea!
Yote kwa yote Steve ndio hivyo, amelala! Amekufa na hakuna uwezekano wa kuwepo nasi kimwili tena hapa ulimwenguni.
Kwa maelezo ya Seth, mdogo wake Kanumba, ni kwamba, kaka yake alikuwa na ugomvi chumbani, na "mpenzi" wake Lulu. Walikuwa wanagombeana kuhusu simu! Tumezoea kuona wanaume wanapenda sana kulazimisha kuchukua kwa nguvu simu zetu sisi wanawake, kutaka kujua ni akina nani tunaongea nao, kina nani tunaandikiana sms, wanafanya hivyo kwa ubabe, nguvu na bila ridhaa zetu. Mara nyingi ugomvi kama huo hutokea, ila huwa hausababishi vifo. Bahati mbaya imemtokea Lulu! Ngwala yake imemuua steve! Ila ngwala yake itakuwa na maana kwa wanaume wenye tabia ya kudhani wao wana haki ya kujua privates za wenzao bila ridhaa na makubaliano juu ya jambo hilo, huku wao wakiwa na maovu kibao na hata bila ya kufuatiliwa na wapenzi wao! Ikumbukwe ya kwamba, kwenye ugomvi huo yeyote angeweza kufa, aidha Kanumba ama hata Lulu. Ila ahadi ndio ilikuwa ya Steve!
 
Bahati mbaya imemtokea Lulu! Ngwala yake imemuua steve! Ila ngwala yake itakuwa na maana kwa wanaume wenye tabia ya kudhani wao wana haki ya kujua privates za wenzao bila ridhaa na makubaliano juu ya jambo hilo, huku wao wakiwa na maovu kibao na hata bila ya kufuatiliwa na wapenzi wao! Ikumbukwe ya kwamba, kwenye ugomvi huo yeyote angeweza kufa, aidha Kanumba ama hata Lulu. Ila ahadi ndio ilikuwa ya Steve!

Mizizi leo umeamkia wapi? Hujui ya kuwa kulingana na taarifa za kamanda Kinyela Lulu ni mtuhumiwa wa mauaji? Taarifa zako hizi ambazo Lulu kwa maelezo yake mwenyewe anazikanusha kuwa si sahihi zaelekea kumtia kitanzini hata kabla ya Post Mortem taarifa kujulikana....................soma Lulu atoa maelezo yake mwenyewe polisi
 
Nawashuri hii iwe fundisho kwa wakaka wanaoshobokea simu za wakina dada bila ridhaa yao!!
 
Fundisho?? Pumbaavu uko nyumbani kwangu halafu unaongea na kidume kingine mi nakuangalia tu,kama kuna mapenzi ya kweli hakuna siri ya kuficha kwenye simu,sema wengi wenu ni vicheche,hamna msimamao,mambumbu na hamna true luv.
 
Hako katoto kamembulia tu wakaachie huru kanumba ilikuwa imetimia ahadi yake.
 
duh, kuna watu na viatu.

Kama hutaki simu yako ishikwe, ifanye iwe mpenzi wako yenyewe achana na binadamu.
 
Poleni sana watanzania wote kwa msiba mkubwa, hasa kwa wale wapenzi wa Tasnia ya Filamu nchini, kwa kuondokewa na kipenzi chetu, kaka yetu, The Great Steve K!! Tulimpenda, ila mungu amempenda zaidi:
Tukiangalia namna ingine ya kifo chake kilivyotokea. Kila mmoja amejaribu kuelezea vile alivyoona inafaa na anavyodhani imekuwa ni sababu ya kifo hicho kutokea!
Yote kwa yote Steve ndio hivyo, amelala! Amekufa na hakuna uwezekano wa kuwepo nasi kimwili tena hapa ulimwenguni.
Kwa maelezo ya Seth, mdogo wake Kanumba, ni kwamba, kaka yake alikuwa na ugomvi chumbani, na "mpenzi" wake Lulu. Walikuwa wanagombeana kuhusu simu! Tumezoea kuona wanaume wanapenda sana kulazimisha kuchukua kwa nguvu simu zetu sisi wanawake, kutaka kujua ni akina nani tunaongea nao, kina nani tunaandikiana sms, wanafanya hivyo kwa ubabe, nguvu na bila ridhaa zetu. Mara nyingi ugomvi kama huo hutokea, ila huwa hausababishi vifo. Bahati mbaya imemtokea Lulu! Ngwala yake imemuua steve! Ila ngwala yake itakuwa na maana kwa wanaume wenye tabia ya kudhani wao wana haki ya kujua privates za wenzao bila ridhaa na makubaliano juu ya jambo hilo, huku wao wakiwa na maovu kibao na hata bila ya kufuatiliwa na wapenzi wao! Ikumbukwe ya kwamba, kwenye ugomvi huo yeyote angeweza kufa, aidha Kanumba ama hata Lulu. Ila ahadi ndio ilikuwa ya Steve!

Mkuu neno NGWALAlinamaanisha nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom