Tugutuke
JF-Expert Member
- Apr 21, 2011
- 501
- 165
Nilikutana na Lulu pande za Mlimani City mwaka jana. Akawa anatoka sehemu ya Mr Price,nikamwita tukapiga piga story. Mara akaniuliza "unatembelea gari aina gani"? Nikamjibu mimi nasukuma guta maeneo ya Mwenge. Acha aninyalii "mmxxxx" mara ghafla akaona nafungua Gx 100 Mark II 6 Cylinder,mara huyoo akaja.. Na kusema Kaka kama unaenda Tabata tuongozane.. Nika....!
To be Continued.
To be Continued.