Lukuvi avamia ghorofa linalohatarisha usalama

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
<table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"><tbody><tr><td width="10">
</td> <td width="606">

</td> <td align="right" width="139">photos</td> <td align="right" width="12">
</td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">
pix.gif
</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh. William Lukuvi, mchana huu, alitembelea jengo la ghorofa saba lililopo Mtaa wa Mafia na Swahili, Kariakoo jijini Dar, lililopigwa marufuku na Halimashauri ya jiji, kuendelea kujengwa kutokana na ujenzi duni unaotishia usalama wa wakazi wa enoe hilo. Mh. Lukuvi akiwa na Bodi ya wakandarasi wa Halmashauri ya jiji walilitembelea jengo hilo na kulikagua sehemu mbalimbali. Baada ya ukaguzi huo, nyumba zaidi ya tano zenye miradi mbalimbali ikiwemo Hoteli na maduka na wakazi wake walitakiwa kuhama mara moja kuepuka jengo hilo linalotishia kuanguka wakati wowote. Je, katika suala hili, nani wa kulaumiwa iwapo jengo hilo litaanguka na kuwadhuru wengine na pia gharama za kuhama na usumbufu wake kwa majirani, nani atazibeba? Ni baadhi ya maswali tata yakujiuliza katika kadhia hili..!

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
...hili ndilo Jengo linalotishia usalama

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
...Mh. lukuvi akishuka ghorofani baada ya kulikagua.

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
..Mh. Lukuvi (katikati) na ‘mainjinia’ wa Halmashauri ya jiji wakiziangalia nyumba za jirani na jengo hilo ambazo wamewapiga stop wakazi wake kuendelea kuzitumia.

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
...Nyumba hizi tatu za mbele zote wakazi wake wametakiwa kuhama mara moja.

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
...Umati wa watu ukilitazama jengo hilo.

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
Nyumba hii nayo wakazi wake wametakiwa kuhama mara moja.

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
mpaka jengo linafikia hatua hii, mamlaka husika zilikuwa wapi?

</td></tr></tbody></table>
 
Jengo la aina hii lazima litakuwa na Consultant na Registered Contractor. Ilikuwaje likafika hapo lilipofika? Nchi yetu hii, Uhandisi na udaktari tumeufanya umekuwa rahisi sana. Ni ngumu kufanya kazi za accountants na Lawyers lakini siyo kazi za kujenga madaraja, majumba au kutibu watu maana utabibu unafanyika mpaka uchochoroni. Sidhani kama kuna qualified medical personnel kwenye hizi pharmacy zilizozagaa kila kona ya nchi yetu
 
Hili jengo liko katikati ya Jiji, haingii akilini kwamba CRB siku hizi wanafuatilia ujenzi wa majengo makubwa hadi vijijini lakini wameshindwa kuliona hili. au ndiyo ule mtindo wa mambo kuishia ofisini badala ya saiti?
 
hili jengo liko katikati ya jiji, haingii akilini kwamba crb siku hizi wanafuatilia ujenzi wa majengo makubwa hadi vijijini lakini wameshindwa kuliona hili. Au ndiyo ule mtindo wa mambo kuishia ofisini badala ya saiti?


unaufahamu utamu wa asali ya mdudu rushwa?
Inatia upofu, unapumbaza akili..
 
Lukuvi nae anaingia kwenye jengo linalotarajiwa kuanguka saa yoyote, lingembomokea je. Kweli hatuko safety conscious.
 
Siasa bwana! Yaani kaingia jengo linaloanguka ili apate photo op! Lukuvi ni Engineer?
 
Hivi mpaka jengo linafika hatua hiyo walikuwa wapi??????????????
aaaaggggggggggggh
 
Naona watu wanazungumza sana kuhusu hii hali ya majengo hafifu ambayo ni hatari. Kuna kitu kilitakiwa kufanywa baada ya ghorofa la Chang'ombe. Kulikuwa na tume iliundwa na ikachunguz amaghrofa mengi na inaaminika hapana inasadikiwa ahh nayo hapana lakini taarifa za kuaminika hii ndiyo haswaa kuna ghorofa zaidi ya 200 sijui dar pekee lakini hapa nchini ambayo yanatakiwa kuporomoshwa. Hiyo ripoti haipo tamisemi wala ofisi ya waziri mkuu sijui kama bodi ya wakadarasi wanayo lakini hii ripoti kwanini isiwe wazi na kila mtu aseme. Mimi nadhani tukikipata kile kama cha Haiti, Chile au Uchina kutabaki uwanaj wa kuchezea mpria uliuojengwa na wachina pale Temeke, graundi nzima itakuwa ni ya vyuma chakavu na miili chakavu.; Nyie ngojeni tu! ujenzi gani huu mfano pale kariakoo wa maghorofa yale ambayo yanapishana kwa futi moja kutoka moja hadi jingine?
Unaweza kuzungumza mengi kuhusu udhaifu wa utendaji na ufuatiliaji na halafu jamaa wanajibu hoo hii ni kazi ya wewe unayejengewa kuangalia unafanyia kweli je sheria haisemi kwamba jengo hilo linatakiwa kukaguliwa?Watu wanakaa maofisini wanajaza vitambi vyao mafuta kwa kutotembea halafu tunasubiri mfuko wa maafa wa waziri mkuu utengeneze bajeti ya kutuokoa.
Saawasawa kufa kufaana , lakini niseme kitu kimoja tunatakiwa kuiangaloia ripoti hiyo hata kama majumba yanayohusika ni ya mawaziri wakuu,maraisi au wake zao.Lakini sheria itazame, tutaaibika.
 
Back
Top Bottom