NATA
JF-Expert Member
- May 10, 2007
- 4,492
- 1,311
Jamaa imempendeza amtaje Mwapachu bila kujali umri wake. Anashindwa kuelewa kwamba Mwapachu alishafikisha umri wa kustaafu miaka mingi iliyopita na teuzi zake zimekuwa zinazingatia umuhimu wake kuliko umri wake. Lakini la kujiuliza ni kwamba kuna tatizo gani kwa mtu kupewa nyongeza ya mkataba kama anafanya kazi nzuri? Luhanjo aachwe aendelee kuchapa kazi kwa maslahi ya Taifa, labda Rais mwenyewe aamue kwamba sasa ni wakati wa kumpumzisha.
your right!
Huyu baba anafaa kuendelea hana tabia ya ufisadi.
Lakini atuandalie mrith kabla hajaondoka.