Lugha Rasmi Bungeni: Wabunge watumie Kiswahili au Kiingereza

Leo Bunge Linachagua watu watakaoliwakilisha Bunge katika Pan African Parliament, Kulikua na mvutano mkubwa kuhusu kanuni ya uchaguzi na lugha itakayotumika katika kujieleza na kuomba kura, hatimaye ikaonekana kanuni inalazimisha mgombea kutumia kingereza katika kujieleza, kujibu maswali na kuomba kura.

Wengi wameenda poa ingawa kulikua kuna kujikanyagakanyaga kidogo kwa baadhi ya wabunge lakini LUHAGA MPINA ye aliharibu kabisa - AIBU!

Kila mtu alikua anaulizwa maswali matatu, swali moja aliulizwa
Swali:What is your personal opinion on issues happening in Ivory cost, and if elected, as a member of PAN what will you do to stop what have happened in IC to repeat in another African country?
Jibu:Watara is president

jamaa akapigwa swali tena
Swali:UN council voted for resolution 1973 calling for no flying zone, do you think the no flying zone was correctly executed?
Jibu: I don't understand, did you repeat? (hapa alitaka kusema can you repeat plz?)

hapa spika akaomba swali lirudiwe na liliporudiwa mambo yakawa hivi
Jibu:I don't understand may be because you are not 'STLET' hapa alikusudia kusema 'straight' but if you ask me about Libya I say what foreign countries is doing is not fairly at all

Jamani Bunge tamu!

Ulikuwepo? Hii ni kuonyesha kuwa Wabunge wetu wanakuja humu jamvini kwa majina tofauti. Mgefanya angalau kama Dr Slaa na Zitto kuwa na angalau nafasi moja zenye majina yenu ya kweli ili tuwafikie kiurahisi.
 
Hata mimi nilifuatilia...Lakini nadhani ni tatizo la ama mfumo wa mawasiliano pale bungeni, ama masikio yake kuwa na hitilafu ya kusikia vizuri, kwani alikuwa anaonekana dhahiri kujaribu kusikiliza kwa makini lakini alikuwa hasikii kinachoulizwa, hali ambayo hata wagombea wengine wawili walionekana kutatizwa hivyo. Ung'enge alioumwaga mwanzo usingemfanya ashindwe kujibu maswali yale.
 
mi mwenyew nilishanga kuona leo bungeni wanatema mayai nilijua tu itakuwa balaa mayai sio mchezo (mayai - kiingereza) ila mi ningeshauri watumie kiswahili kama lugha yao kwan hata huko si kina tumika au ndo hulka zetu wabongo kujifanya wataalam kumbe ushuzi kunuka...GOD BLESS US!!!!!!!!
 
Leo Bunge Linachagua watu watakaoliwakilisha Bunge katika Pan African Parliament, Kulikua na mvutano mkubwa kuhusu kanuni ya uchaguzi na lugha itakayotumika katika kujieleza na kuomba kura, hatimaye ikaonekana kanuni inalazimisha mgombea kutumia kingereza katika kujieleza, kujibu maswali na kuomba kura.

Wengi wameenda poa ingawa kulikua kuna kujikanyagakanyaga kidogo kwa baadhi ya wabunge lakini LUHAGA MPINA ye aliharibu kabisa - AIBU!

Kila mtu alikua anaulizwa maswali matatu, swali moja aliulizwa
Swali:What is your personal opinion on issues happening in Ivory cost, and if elected, as a member of PAN what will you do to stop what have happened in IC to repeat in another African country?
Jibu:Watara is president

jamaa akapigwa swali tena
Swali:UN council voted for resolution 1973 calling for no flying zone, do you think the no flying zone was correctly executed?
Jibu: I don't understand, did you repeat? (hapa alitaka kusema can you repeat plz?)

hapa spika akaomba swali lirudiwe na liliporudiwa mambo yakawa hivi
Jibu:I don't understand may be because you are not 'STLET' hapa alikusudia kusema 'straight' but if you ask me about Libya I say what foreign countries is doing is not fairly at all

Jamani Bunge tamu!

Bagosha mami! Huyu ni mbunge wa lijimbo gani ngosha anayetaka kuwakilisha linchi letu kwenye mabunge ya nga'mbo?
 
... hii inanikumbusha simulizi ya swali alopewa mTU mmoja kwamba kama Rais wa zamani wa Kenya alikuwa Kenyatta wakati huo, basi taja jina la yule wa Zambia. Jibu alotoa ni, ZAMBIATTA!!

Haya mambo ya Mjengoni yanaweza kuwa ya kuchekesha sana LAKINI matokeo yake ni GHALI sana kwa Taifa hili. Wabunge wa namna hii (kama yule wa Bunge lilopita aliyeshauri wenye AIDS wawekwe alama usoni... (Yono Kivela)) wanapoteza nafasi na muda wa UWAKILISHI wa majimbo yao na Taifa kwa ujumla. Sana sana wao ni namba tu kwenye upigaji kura wa kambi yao pale mjengoni. Simaanishi kwamba kupigwa chenga na u-mombo ni ishara ya ujinga. Hapana.
 
Dah kumbe wengi tuliipataile. Dah yan ni aibu coz nilikua barazani na masela tulicheka sana
acha ndugu yangu, mi nilikua naona noma, halafu kuuwa aibu akawa analeta maneno ya kuchekeshachekesha eti 'when you receive voting paper, don't think just find name Luhaga Mpinda and write strong V shaaaaaa!''
 
... hii inanikumbusha simulizi ya swali alopewa mTU mmoja kwamba kama Rais wa zamani wa Kenya alikuwa Kenyatta wakati huo, basi taja jina la yule wa Zambia. Jibu alotoa ni, ZAMBIATTA!!

Haya mambo ya Mjengoni yanaweza kuwa ya kuchekesha sana LAKINI matokeo yake ni GHALI sana kwa Taifa hili. Wabunge wa namna hii (kama yule wa Bunge lilopita aliyeshauri wenye AIDS wawekwe alama usoni... (Yono Kivela)) wanapoteza nafasi na muda wa UWAKILISHI wa majimbo yao na Taifa kwa ujumla. Sana sana wao ni namba tu kwenye upigaji kura wa kambi yao pale mjengoni. Simaanishi kwamba kupigwa chenga na u-mombo ni ishara ya ujinga. Hapana.

hapo kwenye red, hata sie hatujasikia hivyo, ila kama jamaa ni wazi yuko mbali sana na mambo yanavyoendelea, Juma Mkamia alimuuliza swali kuhusu UN resolution ambayo council ilivote for no fly zone, yaani anajikanyaga tu, si tu alishindwa kujieleza kimombo bali yuko nnje kabisa ya hivyo vitu, halafu ni mbunge, yaani lile swali hata angeulizwa, sio kwa kiswahili, ila lugha yako ya asili bado angejigongagonga
 
Leo Bunge Linachagua watu watakaoliwakilisha Bunge katika Pan African Parliament, Kulikua na mvutano mkubwa kuhusu kanuni ya uchaguzi na lugha itakayotumika katika kujieleza na kuomba kura, hatimaye ikaonekana kanuni inalazimisha mgombea kutumia kingereza katika kujieleza, kujibu maswali na kuomba kura.

Wengi wameenda poa ingawa kulikua kuna kujikanyagakanyaga kidogo kwa baadhi ya wabunge lakini LUHAGA MPINA ye aliharibu kabisa - AIBU!

Kila mtu alikua anaulizwa maswali matatu, swali moja aliulizwa
Swali:What is your personal opinion on issues happening in Ivory cost, and if elected, as a member of PAN what will you do to stop what have happened in IC to repeat in another African country?
Jibu:Watara is president

jamaa akapigwa swali tena
Swali:UN council voted for resolution 1973 calling for no flying zone, do you think the no flying zone was correctly executed?
Jibu: I don't understand, did you repeat? (hapa alitaka kusema can you repeat plz?)

hapa spika akaomba swali lirudiwe na liliporudiwa mambo yakawa hivi
Jibu:I don't understand may be because you are not 'STLET' hapa alikusudia kusema 'straight' but if you ask me about Libya I say what foreign countries is doing is not fairly at all

Jamani Bunge tamu!

Navyojua mimi kiingeleza ni lugha ya pili kitaifa na ya kwanza kwa kufundishia, na ndiyo maana inatumika toka darasa la tisa na kuendelea, Sasa cha kujiuliza huyu mweshimiwa alisomasomaje?

Ni aibu na hakuna kumtetea eti si lugha yake wakati kaanza kuitumia secondary school, unless mniambie huyu mbunge kaishia darasa la saba - maana hata majibu yake yanaonyesha TATIZO si lugha tu bali hata kutofahamu anachoulizwa.

Sasa hivi naona yupo hoi - Kweli kiingeleza ni tatizo la kitaifa lakini hili na mbunge limevunja record ya 2011.
 
ngoja nicheck profile yake, narudi
 
Ulikuwepo? Hii ni kuonyesha kuwa Wabunge wetu wanakuja humu jamvini kwa majina tofauti. Mgefanya angalau kama Dr Slaa na Zitto kuwa na angalau nafasi moja zenye majina yenu ya kweli ili tuwafikie kiurahisi.

Unataka awepo wapi mbona TBC wamerusha live we vipi acha ushabiki
 
Navyojua mimi kiingeleza ni lugha ya pili kitaifa na ya kwanza kwa kufundishia, na ndiyo maana inatumika toka darasa la tisa na kuendelea, Sasa cha kujiuliza huyu mweshimiwa alisomasomaje?

Ni aibu na hakuna kumtetea eti si lugha yake wakati kaanza kuitumia secondary school, unless mniambie huyu mbunge kaishia darasa la saba - maana hata majibu yake yanaonyesha TATIZO si lugha tu bali hata kutofahamu anachoulizwa.

Sasa hivi naona yupo hoi - Kweli kiingeleza ni tatizo la kitaifa lakini hili na mbunge limevunja record ya 2011.

You will not believe this, Jamaa ni GRADUATE! kasoma mzumbe ni accountant dah! profile yake hii hapa chini kwenye link

Parliament of Tanzania
 
Inawezekana kuna point, lakini kuna wakalimani ambao kazi yao ni kuondoa kikwazo cha lugha, na uwakilishi hautakiwi kuwekewa vikwazo vya lugha. Kinachotakiwa ni uwezo wa uwakilishi. Ukiangalia bungei kwetu kuna wabunge wengine kazi yao ni kuhudhuria tu na si kuwakilisha. So what matters most ni uwezo wa uwakilishi na kuondoa vikwazo vya lugha. Si kuongea kiingereza.

It is absolutely stupid to think that inability to express in English is a tragedy and shame, unless you there is something wrong in your head. We have so many people in Tanzania who are very fluent in English and speak like someone in oxford, but what they utter is absolutely crap. Kuna vijana wa clouds walikuwa wanaongea vizuri sana kiingereza lakini walikwenda chuo Kikuu mlimani wali-disco uwezo wao ulikuwa kuongea kiingereza tu, lakini kichwani hakuna kitu.We have plenty people who can not even express themselves well in Kiswahili, but they are are full of intellect and wisdom, hata ukisikiliza sentensi moja tu wanaongea utajua kuwa ni mtu mwenye akili timamu anaongea.

Try to listen Medvedev speak English or Hugo Chavez for that matter, unaweza kuona hata huyo mbunge yuko better. I may be wrong, lakini sioni kama kujua au kutojua kiingereza ni aibu.

Sasa mkubwa,

wabongo wengi wetu kizungu hakipandi ni janga la kitaifa. Harafu tumtume mwakilishi kwenye chombo kikubwa kama AU ambaye na yeye lugha ni mgogoro. Sasa jamani itakuwaje? si taifa litabaki nyuma? Hapana jamani tuache visingizio. Kila taifa ninalolijua mimi ikija maslahi ya taifa wanatuma their best minds available. Maana huko ndo mnakutana na vichwa. Hapana jamani...lets get best people to represent us. Harafu ujue hao ndo sura ya taifa letu. So we need smart and eloquent people who can express themselves confidently.

Ila wa nyumbani Luhaga leo kaniabisha..duhhh..si angeipotezea tuu hiyo nafasi? Sasa watu wameshaanza eti wasukuma hatujui kizungu....

Masanja
 
Leo Bunge Linachagua watu watakaoliwakilisha Bunge katika Pan African Parliament, Kulikua na mvutano mkubwa kuhusu kanuni ya uchaguzi na lugha itakayotumika katika kujieleza na kuomba kura, hatimaye ikaonekana kanuni inalazimisha mgombea kutumia kingereza katika kujieleza, kujibu maswali na kuomba kura.

Wengi wameenda poa ingawa kulikua kuna kujikanyagakanyaga kidogo kwa baadhi ya wabunge lakini LUHAGA MPINA ye aliharibu kabisa - AIBU!

Kila mtu alikua anaulizwa maswali matatu, swali moja aliulizwa
Swali:What is your personal opinion on issues happening in Ivory cost, and if elected, as a member of PAN what will you do to stop what have happened in IC to repeat in another African country?
Jibu:Watara is president

jamaa akapigwa swali tena
Swali:UN council voted for resolution 1973 calling for no flying zone, do you think the no flying zone was correctly executed?
Jibu: I don't understand, did you repeat? (hapa alitaka kusema can you repeat plz?)

hapa spika akaomba swali lirudiwe na liliporudiwa mambo yakawa hivi
Jibu:I don't understand may be because you are not 'STLET' hapa alikusudia kusema 'straight' but if you ask me about Libya I say what foreign countries is doing is not fairly at all

Jamani Bunge tamu!
Jamani si wangemuweka Pro Maji Marefu yeye ni professor ati
 
Mimi sina tatizo saaana na kushindwa kwake kujieleza kiinglishi!!! Yaani ahta current burning issues, hawezi kumung'unya hata neno moja!!!

Taratibu zinawahitaji wajieleza kiinglishi, sasa huy mtu akienda huko si atashindwa hata kuongea na wenzake wakati wa tea break!!!

Hivi ni vioja, kwa hiyo ina maana hata makabrasha aliyopewa ya muswaada alikuwa hayaelewi pia, duh!!!
 
Kwani huko PAN hawatafsiri lugha kwa watu kama yeye kuambiwa kwa kiswahili anajibu kiswahili then wakatafsiri?

Ila duh kama ni kiingereza tu basi ameulwa
Ila naamini nchi zinazoongea ki Portugese kifaransa kwani wanalazimishwa kiingilishi tu
 
You will not believe this, Jamaa ni <u><b>GRADUATE</b></u>! kasoma mzumbe ni accountant dah! profile yake hii hapa chini kwenye link<br />
<br />
<a href="http://www.parliament.go.tz/bunge/mpcvs.php?vpkey=443"
target="_blank">Parliament of Tanzania</a>
<br />
<br />
Unachoshangaa nini!graduates wa hicho chuo ni ma-bogus wa kutupa..hata ukimuuliza dr na cr ni nini hawezi kujibu na ni taaluma aliyosomea..
 
Humu nafurahia kiingereza cha akina Pundit (sijui yuko wapi siku hizi!), Nyani Ngabu, MzeeMwanakijiji, Ogah, Invisible na wengine wengi waliotoka kidogo. Tulioko humu nchini ni matatizo matupu kama huyu Mbunge.
 
Back
Top Bottom