Kyakashombo
Senior Member
- Oct 13, 2018
- 150
- 232
Hii tabia tunayoisikia ya tunamshukuru sana Mhe. Rais na hata kupiga magoti, this is not right (hii si sawa) kwa kuwa hatuwezi kumshukuru Rais.
Kwa kuwa Tanzania tuna culture (utamaduni) ya shukrani basi tuishukuru serikali na tusimshukuru mtu kwa kuwa hizi fedha na rasilimali ni fedha zetu sisi wananchi, sio matumizi yake ni matumizi ya fedha zetu wananchi na hivyo hatuwajibiki kumshukuru an individual (mtu).
Na siku hizi tumeanzisha tabia ya kujikomba na kujipendekeza nafikiri haitusaidii sana kwa kuwa haitupeleki mbele inaturudisha nyuma.
Pale kwenye ukweli tuseme ukweli, tusiwe wachochezi wala tusiweke chumvi kwenye yale tunayoyazungumzia. Kama fact tuseme tu na tusiogope kusema" Ludovic Utouh, CAG mstaafu
#Nukuu