Ludovick Utouh: Tusijikombe sana, fedha ni za Umma sio za Rais

Kyakashombo

Senior Member
Oct 13, 2018
150
232
Hii tabia tunayoisikia ya tunamshukuru sana Mhe. Rais na hata kupiga magoti, this is not right (hii si sawa) kwa kuwa hatuwezi kumshukuru Rais.

Kwa kuwa Tanzania tuna culture (utamaduni) ya shukrani basi tuishukuru serikali na tusimshukuru mtu kwa kuwa hizi fedha na rasilimali ni fedha zetu sisi wananchi, sio matumizi yake ni matumizi ya fedha zetu wananchi na hivyo hatuwajibiki kumshukuru an individual (mtu).

Na siku hizi tumeanzisha tabia ya kujikomba na kujipendekeza nafikiri haitusaidii sana kwa kuwa haitupeleki mbele inaturudisha nyuma.

Pale kwenye ukweli tuseme ukweli, tusiwe wachochezi wala tusiweke chumvi kwenye yale tunayoyazungumzia. Kama fact tuseme tu na tusiogope kusema" Ludovic Utouh, CAG mstaafu
#Nukuu

20231216_205021.jpg
 
Kuna siku watu watakuja kumshukuru mpishi wa Samia kwamba anafanya Samia anenepe!

Cc:Lucas Mbwa Wa Shamba.
Kuna mwingine anaitwa Choice

View attachment 2844336
kuna mwingine anaitwa Choice Variable
 
Kuna siku watu watakuja kumshukuru mpishi wa Samia kwamba anafanya Samia anenepe!

Cc:Lucas Mbwa Wa Shamba.
Asitupangie hapa
Sisi ni lazima tumpongeze na kumtia moyo mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania kwa kuwa pasipo uzalendo wake basi angeweza kutapanya pesa hovyo kwa mambo yasiyo na tija kwa wananchi. Lakini tunaona namna Rais wetu ambavyo amekuwa akitoa hela kupeleka katika kutoa na kusogeza huduma karibu na mtanzania. Kama anaumia sisi kumpongeza Rais wetu basi achukue Fomu agombee aone kama hajakosa kura hadi ya mtoto wake.
 
Asitupangie hapa
Sisi ni lazima tumpongeze na kumtia moyo mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania kwa kuwa pasipo uzalendo wake basi angeweza kutapanya pesa hovyo kwa mambo yasiyo na tija kwa wananchi.lakini tunaona namna Rais wetu ambavyo amekuwa akitoa hela kupeleka katika kutoa na kusogeza huduma karibu na mtanzania. Kama anaumia sisi kumpongeza Rais wetu basi achukue Fomu agombee aone kama hajakosa kura hadi ya mtoto wake.
Kwahiyo Samia alipigiwa kura?

Hiyo ilikua ni lini na kura zilipigwa wapi?

Umeuza hadi akili sasa umebaki na nini ?
 
Alipigiwa kura uchaguzi wa 2020 akiwa pamoja na hayati Dr John Pombe Joseph Magufuli.Alizunguka pia Nchi nzima kufanya kampeni na kuomba kura .
Mwaka 2020 hakukua na uchaguzi ulikuwepo uchafuzi.

Samia chini ya tume huru ya uchaguzi na bila upendeleo wa polisi na usalama wa taifa hashindi hata udiwani.

Hana ushawishi, hana sera, yupo hapo kwa ajali hata mtangulizi wake alipatikana kwa ajali tu.

Ndio maana anatumia mikakati mingi ya kuwalipa chawa kama nyie mumpigie mapambio mitandaoni.
 
Hii tabia tunayoisikia ya tunamshukuru sana Mhe. Rais na hata kupiga magoti, this is not right (hii si sawa) kwa kuwa hatuwezi kumshukuru Rais.

Kwa kuwa Tanzania tuna culture (utamaduni) ya shukrani basi tuishukuru serikali na tusimshukuru mtu kwa kuwa hizi fedha na rasilimali ni fedha zetu sisi wananchi, sio matumizi yake ni matumizi ya fedha zetu wananchi na hivyo hatuwajibiki kumshukuru an individual (mtu).

Na siku hizi tumeanzisha tabia ya kujikomba na kujipendekeza nafikiri haitusaidii sana kwa kuwa haitupeleki mbele inaturudisha nyuma.

Pale kwenye ukweli tuseme ukweli, tusiwe wachochezi wala tusiweke chumvi kwenye yale tunayoyazungumzia. Kama fact tuseme tu na tusiogope kusema" Ludovic Utouh, CAG mstaafu
#Nukuu

View attachment 2844336
MZEE WANGU UCHAWA UMEPITILIZA SIKU HIZI HAKUNA SERIKALI NI MTU KILA KITU ASANTE MTU ASANTE MTU MTU KATOA PESA WAKATI PESA NI ZA SERIKALI

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Mchengerwa ndio anaongoza kujikomba. Kila kitu tunashukuru Rais katoa pesa ya kujenga matundu ya choo. Dawa katiba mpya tu.
 
Hii tabia tunayoisikia ya tunamshukuru sana Mhe. Rais na hata kupiga magoti, this is not right (hii si sawa) kwa kuwa hatuwezi kumshukuru Rais.

Kwa kuwa Tanzania tuna culture (utamaduni) ya shukrani basi tuishukuru serikali na tusimshukuru mtu kwa kuwa hizi fedha na rasilimali ni fedha zetu sisi wananchi, sio matumizi yake ni matumizi ya fedha zetu wananchi na hivyo hatuwajibiki kumshukuru an individual (mtu).

Na siku hizi tumeanzisha tabia ya kujikomba na kujipendekeza nafikiri haitusaidii sana kwa kuwa haitupeleki mbele inaturudisha nyuma.

Pale kwenye ukweli tuseme ukweli, tusiwe wachochezi wala tusiweke chumvi kwenye yale tunayoyazungumzia. Kama fact tuseme tu na tusiogope kusema" Ludovic Utouh, CAG mstaafu
#Nukuu

View attachment 2844336
Mkuu pokea: 👍👌👏🙏💐🎁🎖️🏆
 
Mwaka 2020 hakukua na uchaguzi ulikuwepo uchafuzi.

Samia chini ya tume huru ya uchaguzi na bila upendeleo wa polisi na usalama wa taifa hashindi hata udiwani.

Hana ushawishi, hana sera, yupo hapo kwa ajali hata mtangulizi wake alipatikana kwa ajali tu.

Ndio maana anatumia mikakati mingi ya kuwalipa chawa kama nyie mumpigie mapambio mitandaoni.
Mkuu umenena ukweli! Ila yana mwisho!
 
Maisha magumu, watu wameamua kuwa machawa ili uwe upenyo wa kutafuta fursa.

Kwa sasa hatuna viongozi, tuna vibaraka wa mama kama wale wa Diamondi msanii.
 
Asitupangie hapa
Sisi ni lazima tumpongeze na kumtia moyo mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania kwa kuwa pasipo uzalendo wake basi angeweza kutapanya pesa hovyo kwa mambo yasiyo na tija kwa wananchi.lakini tunaona namna Rais wetu ambavyo amekuwa akitoa hela kupeleka katika kutoa na kusogeza huduma karibu na mtanzania. Kama anaumia sisi kumpongeza Rais wetu basi achukue Fomu agombee aone kama hajakosa kura hadi ya mtoto wake.
Mkuu Mwashambwa kwa heshima napenda nikuulize jambo na unijibu bila mipasho:

1. Toka tupate uhuru na kuungana kuna chama tofauti na CCM kimeongoza nchi hii?

2. Kumewahi kuwepo Rais na serikali kutoka upinzani mbali na serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar?

3. Kama ndivyo nani anastahili kubeba lawama za uongozi mbovu, maendeleo duni, umasikini wa kupitiliza, sera mbovu za uchumi, Sera ya kitumwa ya elimu na wizi wa mali ya umma?

4. Kwa miaka 62 sasa ni nani mhusika mkuu wa kutapanya pesa na mali ya umma, ni Rais wa CCM, serikali ya CCM au mwananchi???

5. Je, unaamini kwa miaka hiyo niliyotaja hapo juu, kuwa hatua za maendeleo (Kijamii, kiuchumi na kisiasa) tuliyo nayo sasa hivi; ya kuwa miongoni mwa nchi masikini duniani ni nafasi stahiki kwetu watanzania?
 
Jamaa hela ya rushwa imekata nini?

Hivi anadhani anaweza kupoozwa tena?
Aah wapiii imeisha hiyo avumilie tu
Hakuna teuzi tena hata atingishe matako wacha kiberiti
 
Back
Top Bottom