Ludewa waanza kuchapana baada ya utapeli wa maji vijiji kumi vya bank ya dunia

Kwasababu Masaburi yako sio makubwa kama ya falcon ndio maana huelewi kwani hakieleweki nini ?? Kwamaba watu waliahidia maji vijiji kumi na kuchanga initial fund m 15 na mradi hakuna wanadai warudishiwe hela zao kwa mapigano huko ludewa!!!

nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiria, nini kilichokuvutia na kuanza kutukana.
 
Matokeo yapi ya watu wauane kwa sababu hakuna uongozi wakutolea maelezo matatizo yao??? au matokeo ya deo kwenye uchaguzi kushinda kwa kuhonga na kuwekea chuki watendaji wa halmashauri ya Ludewa??? Deo hana tofauti naaaaaaa........ kwa visasi na jazba hafai kuwa kiongozi wewe kama secretary wake naomba umueleze. Bye the mission wamechukua shule yao mwambie akajenge japo darasa moja pale port watoto hawana pakusomea.

..Mmh ebu declare kwanza mgongano wa kimaslahi katika hili, isiye ikawa na wewe yalikukuta, umeathiriwa au unahofu ya kukumbwa na hili; Francis Godwin ni mzee wa matukio daima: BREAKING NEWS..... BARAZA LA MADIWANI LUDEWA LAMSIMAMISHA KAZI AFISA UTUMISHI WA HALMASHAURI HIYO JUMA ALLY
 
Jamani issue hapa ni Maji waliochangishwa wana Ludewa yapo au hayapo,mengine mnayaleta ili kuikwepa hoja.kama watu walichanga kwa kuahidiwa watawezeshwa kupewa maji,yako wapi hayo maji?na kama hakuna ziko wapi hela zao?je watapata lini hela zao au maji?je mnawahakikishiaje?maana tayari wameonyesha hofu.
Tusiingize hoja zingine ili kukwepa hoja iliyoko mezani.
 
@Mchaga25 nimesoma post yako, nikapitia comment zako , unajibu comment kitoto, zimejaa majungu.
 
@Mchaga25 nimesoma post yako, nikapitia comment zako , unajibu comment kitoto, zimejaa majun.

Sasa me ndo na doubt uelewa wako kweli wewe ni mvivu kufikiri. Swala ni hatima ya mradi wa maji vijiji kumi na watu kupigana. M
 
Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, napita mie hakika ubunge gharama wacha yeye aende nnje ya nchi akatafute misaada kwa watu wake teh teh hehehheeeeeeee uchaguzi gharama bwana.....hehehehe atauza nini tena bila kusaka za wazungu za msaada teh teh fikra mgando tegemezi. Mfikishie salaam mwambie watu wanauana ndio hoja yangu ya msingi swala ni usanii wa miradi ya maji vijiji kumi full stop. hayo mengine mazungumzo baada ya habari. Mwambie kesi inaendelea ile ya kumfu................... hehehehe raha utamu

yani wewe unaonyesha wazi kama roho inakusokota na hata kujificha huwezi, usiseme mabaya ya Deo tuu ana mema yake kwa wana Ludewa kama huyajua waulize wana Ludewa,wewe ni sikio la kufaa.........
 
Mkuu mimi hoja yangu ya msingi ni maji lakini hili la visasi vya jamaa wewe kaa ludewa usiku mmoja tu utalipata
mchaga 25 mie ninapenda kuamini kuwa hoja yako ya hivi vijijiji 12 kukosa maji ni nzuri na ni ya msingi, kwani maji safi na salama ni jambo la lazima, hasa kwa karne hii ya leo ambapo tanzania tunasherehekea miaka 50 ya uhuru wetu.

Lakini pia mimi ninashaswishika kuamini kuwa unautumia mjadala huu vibaya kwa sababu zako binafsi, unazozijua weye, ili upate fursa ya kumshambulia mhe. filikunjombe. Kama una hoja juu ya huyo Deo wenu zimwage jukwaani katika thread nyingine na sisi wana ludewa tutakuunga mkono, bila hiyana.

Kwanini ninashawishika kuamini kuwa na jambo limejificha nyuma ya thread yako:-
1. Umeanza kumtukana arabianfalcon bila sababu ya msingi. Na ndo maana tunakuomba utupe data zaidi kwani hatujakuelewa kwanini unamtukana arabianfalcon
2. Kwamba Filikunjombe aliuza kisima chake, hii haina uhusiano wowote na wananchi kukuosa maji, hapo kwanza mie nilidhani Filikunjombe ameuza petrol station ya halmashauri ya wilaya ya ludewa,
3. Kwamba mhe. Filikunjombe kwenda ulaya kutafuta misaada (kama kweli amekwenda kufanya hivyo) kwa ajili ya wana ludewa ni utegemezi mbovu wa kiongozi huyo, lakini unasahau kwamba hayo maji ya vijiji 12 ambayo wana ludewa wanayapigania mpaka inabidi watulizwe na FFU, na hayo maji ambayo wewe unayataka Filikunjombe ayafuatilie ni maji ya mradi wa Benki ya Dunia, huu kwako si utegemezi,
4. Kwamba Filikunjombe ana chuki na watumishi wa halmashauri ludewa, na kwamba unahitaji siku moja tu kujua mabaya ya Deo pale ludewa, unasahau kwamba unahitaji nusu saa tu kupata mazuri ya deo pale ludewa, na kama una hayo mabaya ya mhe. Deo yaweke jamvini ili na sisi tupate kuyaelewa,
5. Aliyefichua maovu ya wakuu wa Idara in Mwandishi wa Tanzania Daima, Francis Godwin, kwa kuandika kuwa Madiwani wa Ludewa wamemkataa, afisa utumishi wa Halmashauri hiyo ya wilaya, bwn. Juma Ally - kwa ufisadi wake, ndiyo mhe. Deo alikuwepo kwenye kile kikao, lakini waliomsimamisha kazi bwn. Juma Ally ni baraza la madiwani,
6. Mradi wa maji wa Benki ya Dunia, mbunge aliyepita alishindwa kuufuatilia hata kwa kupeleke maji popote, leo Filikunjombe amefuatilia na nyie wenyewe mnasema vijiji 2 vitapata maji ipi ni afadhali?
 
Amani ilishavunjwa long time tangu mafisadi waliposhika kasi na wala haukuanzia ludewa, hayo huko Ludewa ni matokeo tu ya amani kuvunjwa long time ago.

Uelewe kwamba Tz hamna amani ila kuna uvumilivu ambao watu wengi wamekuwa wakidhani ni amani.

Yakweli kabisa umenena mkuu wa TZ kwa uvumilivu tumejitahidi
 
wewe ni mtu wa ludewa ipi??? mbongo, manda, lupande, mlangali au lifue wanapokamatana uchawi kidogo
huna uhakika na unachokisema ndo maana thread yako imeshindwa kueleweka. Kwanza Ludewa hakuna kikosi cha Polisi cha FFU. Na pili katika vijiji vyote vya Ludewa hakuna hata kijiji kimoja kinachoitwa Lifue, hapo juu.
 
upo sahihi arabianfalcon, mhe deo filikunjombe amesafiri kikazi nje ya nchi, na kama nilimwelewa vema safari hii ina tija zaidi kwa wana ludewa. asante falcon kwa kutujuza.

safari ina tija gani kama hela za wana ludewa zimeliwa hata kama kaenda kuomba msaada sio 7bu yakufisadi
 
mchaga 25 mie ninapenda kuamini kuwa hoja yako ya hivi vijijiji 12 kukosa maji ni nzuri na ni ya msingi, kwani maji safi na salama ni jambo la lazima, hasa kwa karne hii ya leo ambapo tanzania tunasherehekea miaka 50 ya uhuru wetu.

Lakini pia mimi ninashaswishika kuamini kuwa unautumia mjadala huu vibaya kwa sababu zako binafsi, unazozijua weye, ili upate fursa ya kumshambulia mhe. filikunjombe. Kama una hoja juu ya huyo Deo wenu zimwage jukwaani katika thread nyingine na sisi wana ludewa tutakuunga mkono, bila hiyana.

Kwanini ninashawishika kuamini kuwa na jambo limejificha nyuma ya thread yako:-
1. Umeanza kumtukana arabianfalcon bila sababu ya msingi. Na ndo maana tunakuomba utupe data zaidi kwani hatujakuelewa kwanini unamtukana arabianfalcon
2. Kwamba Filikunjombe aliuza kisima chake, hii haina uhusiano wowote na wananchi kukuosa maji, hapo kwanza mie nilidhani Filikunjombe ameuza petrol station ya halmashauri ya wilaya ya ludewa,
3. Kwamba mhe. Filikunjombe kwenda ulaya kutafuta misaada (kama kweli amekwenda kufanya hivyo) kwa ajili ya wana ludewa ni utegemezi mbovu wa kiongozi huyo, lakini unasahau kwamba hayo maji ya vijiji 12 ambayo wana ludewa wanayapigania mpaka inabidi watulizwe na FFU, na hayo maji ambayo wewe unayataka Filikunjombe ayafuatilie ni maji ya mradi wa Benki ya Dunia, huu kwako si utegemezi,
4. Kwamba Filikunjombe ana chuki na watumishi wa halmashauri ludewa, na kwamba unahitaji siku moja tu kujua mabaya ya Deo pale ludewa, unasahau kwamba unahitaji nusu saa tu kupata mazuri ya deo pale ludewa, na kama una hayo mabaya ya mhe. Deo yaweke jamvini ili na sisi tupate kuyaelewa,
5. Aliyefichua maovu ya wakuu wa Idara in Mwandishi wa Tanzania Daima, Francis Godwin, kwa kuandika kuwa Madiwani wa Ludewa wamemkataa, afisa utumishi wa Halmashauri hiyo ya wilaya, bwn. Juma Ally - kwa ufisadi wake, ndiyo mhe. Deo alikuwepo kwenye kile kikao, lakini waliomsimamisha kazi bwn. Juma Ally ni baraza la madiwani,
6. Mradi wa maji wa Benki ya Dunia, mbunge aliyepita alishindwa kuufuatilia hata kwa kupeleke maji popote, leo Filikunjombe amefuatilia na nyie wenyewe mnasema vijiji 2 vitapata maji ipi ni afadhali?

Asante kwa uelewa. Hayo mengine 2015 itaamua. Haha ludewa ludewa the sleeping giant.
 
Kama kala hela yenu yafaa mumgadafe iwe fundisho kwa mafisadi wenzake
 
Hii ni hoja ya kipumbavu, kwani mbunge wenu anayeitwa filiku Njombe ni wa Njombe? Ebu tuondoleeni upangwa wenu hapa nyie majuha.

jina Filikunjombe linatokana na story hii,baba yake mbunge wa Ludewa alikuwa anamiliki duka, na wafanyabiashara wa Ludewa wanategemea kununua bidhaa za jumla toka Njombe, sasa baba wa mbunge Deo alipokuwa anaulizwa bidhaa fulani ambayo anakuwa ameishiwa anasema vikonjombe neno hilo kwa kipangwa ni filikunjombe, sasa kutokana na baba yake kulitamka neno hilo watu wakamwita filikunjombe, ila mb Deo ni mzaliwa na mwenyeji wa Ludewa, kwalihenzi uve va kwina? Wilya mahenzi?
 
Haha ludewa ludewa the sleeping giant.
its true ludewa is a sleeping giant ndo maana mnayafanya hayo mnayoyataka, mnapohamishiwa ludewa kuja kufanya kazi huwa mnalalamika, eti ludewa ni kubaya, mkishafika ludewa kuondoka hamtaki, leo tumebaini ni kwa nini, kumbe ni kwa sababu ludewa is a sleeping giant! Aliyelala usimwamshe.
 
Nyie watu wa Ludewa vipi? Mmeamua kuja kuchafuana jamii forum. Mnajua mnachokifanya? Hamna wazazi kwenu? Can't you guys control yourself? Jamvi hili ni kwa mambo yenye tija. Small minds discuss people, medium minds events
 
Back
Top Bottom