LUBUVA: Walioshindwa kwenye uchaguzi waache kujitangaza kuwa walishinda

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), Jaji Damian Lubuva amewataka wanasiasa walioshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu waache kujitangaza kuwa walishinda, akisema wanapotosha wananchi.

Labda angewaambia wanaowaambia walioshindwa kuwa hawakushindwa ila waliibiwe ndio waache; maana hao ndio wanawapotosha wengine... Ila angewaambia tu kuwa wako huru kuweka matokeo yao ya majimbo yote tuone yakipingana na yale yaliyotangazwa na tume...
 
12669501_1036963763034748_5086680820693153584_n.jpg
 
Lubuva anaogopa kivuli chake.
Na bado dhambi ya kupotosha matokeo itamtesa mpaka kaburini.
 
Huyo Lubuva ni nani saa hii hadi atoe maonyo kwa marais wetu wa moyoni?
sasa mbona anaigizaigiza kila kitu kama rais wa kiukweli. si abaki mioyoyoni mwenu tu nyie nyumbu. rais akisimamishwa na wananchi safarini ahahutubie na yeye eti anaigiza kasimamishwa, rais akionana na wafanyabiashara na yeye anatembelewa na wale wamangi wa kariakoo. rais akikohoa na yeye anajifanya kukohoa. mpaka inaboa huu usanii wa huyo rais wenu. mfungieni mioyoyoni mwenu.. rais wa jmt ni john pombe magufuli.
 
Lubuva naye anazidi kutupandisha hasira.Dr.Shein umesikia alichosema Lubuva?
 
Ule msemo wa uzee mwisho chalinze una madhara makubwa sana, Siku hizi hakuna wazee wenye busara hata km kichwa chake chote kina ukoka mweupe, Na hii yote inatokana Na wawezee wenyewe kutojiheshimu, kujiona bado vijana Na hawahitaji kupewa heshima kulingana Na umri Wao, ovyooo kabisa


Najaribu kumuunganisha na Baba yako kwenye kauli hii.
 
Back
Top Bottom