Lowassa: Tutachukua jimbo la Arusha kama uchaguzi ukirudiwa!

Mbaguzi huyoo amechinja ngombe ameenda kula na timu yake eti ya 2015 atangoja sana ubaguzi unammaliza huyooooooooooooo
 
Wape maneno,wape maneno babaaaa kwa hakika uchaguzi unavyoendlea ndani ya c.c.m nakubaliana na sofia simba kuwa we ndio mwanaume pekee ndan ya c.c.m,lowasaaaaa bhaaaaaaaassssss

Mh ! Mkuu, humo kwenye red kunaleta mashaka ! Sofia Simba anatambua kuwa Lowasa ni mwanaume pekee ? na wale wanaume wengine je ? Mfano mwenyekiti ... nk ?
 
watakula tu pesa zake na jimbo litabaki CDM. anyway pesa zake zinahitaji mlaji
 
Kutokana na kauli zilizotolewa na nd.lowassa pamoja na mh.jumanne maghembe kuwa wakazi wa arusha wajiandae kwa uchaguzi pamoja na kujihakikishia ushidi wa jimbo hilo inatoa picha gani kwa rufaa ambayo bado iko mahakama kuu?. Una pata picha gani kwa rufaa hii kuengelea kupigwa danadana bila sababu za msingi?.
 
Mkuu hata mimi nimewaona hao waheshimiwa katika habari ITV, wanazungumza kama vile kuna uchaguzi Arusha unakuja siku za karibuni!!!

But all in all bora huo uchaguzi uje tena mapema ili makamanda tufanye tufanye mazoezi ya kujiandaa kuchukua nchi 2015.
 
Hata mimi nimeshangazwa na hiyo habari, inaonekana mahakama imeshaingiliwa na mafisadi ndo maana wanajiandaa kwa uchaguzi.
 
Lowasa akiongea kwenye uchaguzi wa mwenyekiti, amewapa Salamu Wapinzani kuwa uchaguzi ukirudiwa Arusha watalichukua jimbo Mapema iwezekanavyo. Chadema walitumia udhaifu wao kulichukua jimbo.

Wapinzani wanapata kichwa na Maandamano, mikutano mikubwa lakini hawaiwezi CCM, CCM ina nguvu ya Umma, angalia uchaguzi wa Viongozi tu nchi nzima ilitetemeka.

CCM ni chama chenye NGUVU KUBWA.

Source: Radio 5

Eti Arusha siyo mji wa maandamano wa mikutano wananchi wamechoka na fujo za CDM.Mamvi kama kuna mkoa unaweza kuaibika ni Atown tena mjini.
 
Yaani hii mifisadi ya Tanzania inajisahau kama mavi ya asubuhi. Hili lizeee halisikii harufu ya ufisadi iliyotapaa kwenye mvi zake? Ngoja lije Arusha tulipige na mayai ndipo litajistukia. Likiingia A/Town tulizomeeeee tu tena sana litakimbia kama mbwa mwoga! Likileta zile pesa zetu lililotuibia tuzile kisawasawa ila tupige kura nyumbani.......malizia.
 
Back
Top Bottom