Lowassa: Tutachukua jimbo la Arusha kama uchaguzi ukirudiwa!

zubedayo_mchuzi said:
Kwani kama wa Tz tupo Milion 50,yeye akatoa mil 200,akagawa Tanzania nzima,yani kila mmoja akagawa mil 5 kwa kila mTZ HAITATOSHA HIYO FEDHA.na mkampigia kura.
Kama hizi ndizo hesabu alizotumia mamvi katika kuitabiria CCM ushindi, basi iko kazi.. zubedayo_mchuzi, kama elimu yako ya kata ndiyo hii, pole sana.
 
Last edited by a moderator:
Mamvi anaota..sisi ndo wapigakura wa arusha,hajakoma tu huko Arumeru kuweka watu wa kumsujudia,mwambie siasa za leo sio zile za kuchaguliana viongozi.
 
Lema leo ktk kampeni za udiwani kata ya daraja mbili amemjibu lowasa kwa kumuambia kwamba chadema ilimgaragaza mkwe wake pale arumeru(sioyi sumari) na hapa arusha ccm itapata kipigo cha mbwa mwizi tena akamshauri hapa arusha ccm imsimamishe Pamela Lowasa(mtoto wa lowasa)

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Sikujua kama Arumeru Mashariki iko mkoa wa Katavi. Labda wangeliamishia hilo jimbo Arusha na Lowassa kushiriki kwenye kampeni huku mkwe wake (Sioi sijui Sioyi) akiwa mgombea.....SISIEMU wangeshinda.
 
[h=5]Lowassa-Tutawaliza Chadema: MBUNGE wa Jimbo la Monduli mkoani Arusha, Edward Lowassa ametamba kuwa, endapo Mahakama itaamuru kufanyika kwa uchaguzi mdogo katika Jimbo la Arusha Mjini, hana shaka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitaibuka na ushindi wa kishindo[/h]
 
Lowasa akiongea kwenye uchaguzi wa mwenyekiti, amewapa Salamu Wapinzani kuwa uchaguzi ukirudiwa Arusha watalichukua jimbo Mapema iwezekanavyo. Chadema walitumia udhaifu wao kulichukua jimbo.

Wapinzani wanapata kichwa na Maandamano, mikutano mikubwa lakini hawaiwezi CCM, CCM ina nguvu ya Umma, angalia uchaguzi wa Viongozi tu nchi nzima ilitetemeka.

CCM ni chama chenye NGUVU KUBWA.

Source: Radio 5
Ni kweli MAGAMBA kina nguvu kubwa za kila aina: UFISADI unaoongozwa na yeye mwenyewe, POLIS, TUME ya UCHAGUZI, UCHAWI, WIZI, UMAFIA unaoongozwa na MWIGULU lakini.... Hakuna atakayemshinda MUNGU na NGUVU ya UMMA. "Vox populi est vox DEI"
 
Kwa hiyo matokeo ya rufaa? Ndio maana tuna sema mahakma ni ya chama
 
Lowasa akiongea kwenye uchaguzi wa mwenyekiti, amewapa Salamu Wapinzani kuwa uchaguzi ukirudiwa Arusha watalichukua jimbo Mapema iwezekanavyo. Chadema walitumia udhaifu wao kulichukua jimbo.

Wapinzani wanapata kichwa na Maandamano, mikutano mikubwa lakini hawaiwezi CCM, CCM ina nguvu ya Umma, angalia uchaguzi wa Viongozi tu nchi nzima ilitetemeka.

CCM ni chama chenye NGUVU KUBWA.

Source: Radio 5
NDIO ni kweli kabisa Lowasa. Nchi ilitetema kwa uchungu ikiogopa MAGAMBA wanapanga Safu Mpya ya "KUTUNYONYA DAMU" na kutuua kabisa. Hata HITLER alikuwa na Uchaguzi wa safu yake ambayo iliutetemesha ulimwengu!!!
 
Msimamizi wa uchaguzi alikuwa Prof.Maghembe,lakini kanuni zinataka mgombea wa nafasi ya uenyekiti ajiudhuru,baada ya kujiudhuru wajumbe huchagua M/kiti wa muda kuongoza mkutano huo,

Siyo "ajiudhuru" bali "ajiuzulu". Tafadhali fanya sahihisho hilo
 
Amejuaje kwamba lema hatashnd rufaa.

wanafahamu walichokifanya juu ya ubunge wa lema. Kwanza kabisha tambua kulikuwa na mswaada bunge juu ya waziri mkuu kulidanganya bunge na ushahidi pia uliambatanishwa.Pia tambua rais wako ilikuwa mbinde kufika arachuga,kwahiyo juhudi na lafu za kisiasa ziliitajika kuepusha balaa.
 
Back
Top Bottom