Lowassa: Nimechoka kuzushiwa

Mimi nakumbuka SUmaye na Salim A. Salim walivyopigwa dongo. Ilikuwa shughuli kwelikweli. Ila kundi lile sasa ndiyo dhamu yao. Ukiwa kwenye nyumba ya kioyoo usirushie mawe walio nje.
 
Haiingii akilini watanzania kila kukicha wakuongelee wewe tu! Lazima sababu zipo Muheshimiwa Lowasa! Kweli nimeamini bora kuwa masikini na fukara lakini usingizi unapata kuliko kuwa na mapesa meengi kama hayo uliyonayo muheshimiwa Lowasa lakini huna raha kila kukicha ni wewe tu! Nakushauri baki hivyohivyo usiende mahakani kwakua utakua umewasha moto ambao hutaweza kuuzima. Pole sana LAIGWANANI SIASA MCHEZO MCHAFU!:argue:
 
Edo kuwa mpole kumbuka formula ya vita huwa wanaanza na silaa nyepesi kupima kabla hawajatumia walizodhamiria kuwa makini cku ukiweka mguu mahakamani Ndiyo watakapokumaliza kwa kutoa kila alipokuwa wamekidhamiria
 
Wakuu

Lets be fair and grown ups!!!

There were too many unnecessary rumors na hasa yale ya kusema kangangania wizara nne, sijui atakua PM etc

We cant build our country through rumors

ACID: The fact that it took so long for the President to announce his cabinet shows that there was something abnormal going on. May EL and his team were trying to force something.
 
Mimi nakumbuka SUmaye na Salim A. Salim walivyopigwa dongo. Ilikuwa shughuli kwelikweli. Ila kundi lile sasa ndiyo dhamu yao. Ukiwa kwenye nyumba ya kioyoo usirushie mawe walio nje.

Tena sana. yeye ni bingwa wa kuwachafua wenzake, hajali madhara wanayoyapata, lakini anaguswa kidogo tu, tayari keshang'aka. si atueleze basi kama ni uzushi kwamba nyumba ya balozi wetu sauzi ni yake, au ile ya new york ni ya nani? au kama hana nyumba uingereza, ama majumba yale ya aicc aliyoyanunua kule arusha, nasikia ana maghorofa kila kona dar, achilia mbali viwanja nchi nzima. au anadhani watanzania ni mazuzu eeeh? aende mahakamani akajivue nguo mwenyewe!!!!
 
Wakuu

Lets be fair and grown ups!!!

There were too many unnecessary rumors na hasa yale ya kusema kangangania wizara nne, sijui atakua PM etc

We cant build our country through rumors

Ndio siasa za nchi yetu hizi, kashfa nyingi zaidi zitaendelea kumuandama mpaka pale CCM itakapompata mgombea wake wa uraisi wa mwaka 2015, na kama mtu huyo hatakuwa Lowassa, huo ndio utakuwa mwisho wa Lowasa fisadi na kuzaliwa Lowasa Mzee aliyejitoa muhanga na kukubali kuharibiwa kwa heshima yake ndani ya jamii kwa ajili ya kukinusuru chama na serikali yake.

Kama atahitaji kashfa hizi zisimuandame zaidi kabla ya 2015, itambidi ajisogeze mbaali na mchakato wa kumtafuta raisi wa mwaka 2015, ata Sumaye analijua saaana hili.
 
kama amechoka ni bora aachane na siasa arudi monduli kuchunga ng'ombe maana hata watanzania wamemchoka hawahitaji kumuona
 
Jamani lowassa sio waziri mkuu mstaafu,naomba niliweke sawa hili,maaana mmekazania sana mstaafu mstaafu wa wapi?
 
Tena sana. yeye ni bingwa wa kuwachafua wenzake, hajali madhara wanayoyapata, lakini anaguswa kidogo tu, tayari keshang'aka. si atueleze basi kama ni uzushi kwamba nyumba ya balozi wetu sauzi ni yake, au ile ya new york ni ya nani? au kama hana nyumba uingereza, ama majumba yale ya aicc aliyoyanunua kule arusha, nasikia ana maghorofa kila kona dar, achilia mbali viwanja nchi nzima. au anadhani watanzania ni mazuzu eeeh? aende mahakamani akajivue nguo mwenyewe!!!!

Hili la nyumba kumpangishia balozi south africa si ndio ile ishu iliyomstua baba wa taifa ?
 
Huyu lowasa ana bahati mbaya sana, kiukweli kuna viongozi walio madarakani na waliostaafu waliofanya maovu makubwa na kuingiza tanzania kwenye umasikini wa kutupwa na kufanya nchi isiwe na maendeleo kabisa ila hawatajwi kama lowasa, nafikiri hawa viongozi wengine wezi wanafanya kampeni ya kumchafua ili wao wasigundulike maovu yao.Inasikitisha mtu mmoja kushambuliwa tu wakati wezi ni mengi. Mfano shida ya umeme na maji toka awamu ya tatu mpaka leo wameshindwa kuipatia ufumbuzi pamoja na kuwepo mito,maziwa na gesi lakini hakuna lolote limefanyika
 
Hii ndo shida ya makanjanja wa bongo na wahariri wao, hivi mtu aliye jiuzuru kwa makosa yake ni Mstaafu? Kama sikosei tunao mawaziri wakuu wastaafu watano tu ambao ni SAS, Warioba, Malecela, Msuya na Sumaye, huyu Laiboni ni mharifu tu wala siyo mstaafu!

Kwa hiyo jina gani linamfaa rafiki! Waziri Mkuu mstaafishwa? Waziri Mkuu mfukuzwa, Waziri Mkuu mtimliwa, au?
 
Huyu lowasa ana bahati mbaya sana, kiukweli kuna viongozi walio madarakani na waliostaafu waliofanya maovu makubwa na kuingiza tanzania kwenye umasikini wa kutupwa na kufanya nchi isiwe na maendeleo kabisa ila hawatajwi kama lowasa, nafikiri hawa viongozi wengine wezi wanafanya kampeni ya kumchafua ili wao wasigundulike maovu yao.Inasikitisha mtu mmoja kushambuliwa tu wakati wezi ni mengi. Mfano shida ya umeme na maji toka awamu ya tatu mpaka leo wameshindwa kuipatia ufumbuzi pamoja na kuwepo mito,maziwa na gesi lakini hakuna lolote limefanyika

Mi Lowasa nampenda, maana altaka kutuletea mvua ya kutengeneza. Unakumbuka?
 
Number 1 EL Wacha Wizi.

2. Rudisha mpunga uliowaibia walipa kodi kwa hiari yako

3. Hakikisha makampuni ambayo una hisa zako yanalipa kodi kwa mujibu wa sheria

4. Usijiingize kwenye siasa tena labda kama unataka usifanye biashara tena au kujihusisha na kampuni yoyote ile

5. Jiuzulu kwenye nyadhifa zote za uongozi wa Chama Cha Majamabazi

6. Waombe radhi Watanzania kwa Wizi wako.

7. washughulikie wananchi wa Monduli wewe kama mbunge wao kuinua maisha yao.
 
Ndio siasa za nchi yetu hizi, kashfa nyingi zaidi zitaendelea kumuandama mpaka pale CCM itakapompata mgombea wake wa uraisi wa mwaka 2015, na kama mtu huyo hatakuwa Lowassa, huo ndio utakuwa mwisho wa Lowasa fisadi na kuzaliwa Lowasa Mzee aliyejitoa muhanga na kukubali kuharibiwa kwa heshima yake ndani ya jamii kwa ajili ya kukinusuru chama na serikali yake.

Kama atahitaji kashfa hizi zisimuandame zaidi kabla ya 2015, itambidi ajisogeze mbaali na mchakato wa kumtafuta raisi wa mwaka 2015, ata Sumaye analijua saaana hili.
si alisema hawakuokotana barabarani? sasa hizi habari zinatoka wapi? white hse au mambo ya nje?
na bado watamwendea mlingotini labda sheikh awe upande wake? lakini sheikh ana bei yake na mapenzi yakhe, anaweza kuwa hayuko upande wake, mimi nafikiri angetulia kama Sumaye alivyo tulia kama vile hayupo, au hata yeye mwenyewe alivyo tulia baada ya mchachato 1995, mpaka pale BWM alivyo mkumbuka.
 
Back
Top Bottom