Lowassa ndiyo kimbilio letu Watanzania kuelekea kwenye mafanikio

Pole u a gud 4nothing.KAWADANGANYE WAJINGA WENZIO.NAN HAJUI KUHUSU CITY WATER NA GARBEGE NYINGINE ULIZOANDIKA HAPO.GO TO HELL
 
Tanzania hatuna Waziri mkuu kama mtendaji wa serekali! bali ni kiranja ambaye anatimiza matakwa ya Rais ambaye ndiye mkuu wa nchi na mkuu wa Serekali. maamuzi yote anaamua Rais na kisha waziri Mkuu anayasimamia kwa hiyo hoja ya Lowasa na Rishmond haina mshiko maana wakweli wote wanajua alishashauri uvunjwe Rais akagoma, alishaurki mengi sana Rais akagoma amgefanyaje? na kama ufisadi orodha iliyotajwa ni kumi na moja why mnang'ang'ania watatu? wale tisa akiwemo Kikwete na na mkapa why mnawacha? wanaiba watu kumi na moja nyie mnasamehe tisa mnang'ang'ania watatu? hiyo maana ni moja moja tatizo lenu sio ufisadi but nani kaufanya? akifanya rafiki hamna shida na akifanya adui mnamng'ang'ania! hukumu na tabia kama hii haikwezi kuvumiliwa na waungwa au wakweli!
Tanzania kuna ufisadi mbaya kuliko Ricnmond? Uuzwaji wa loliondo uliofanywa na Mwinyi? ubinafsishaji uliofanywa na mkapa? mkataba wa IPTL uliofanywa na Kiwete? zote hizi mnaziacha na mmeshikilia tu Lowasa, Lowasa! kuna nini hapa?
Haya na huyu sita ufisadi alioufanya SIta kwenye mradi wa CDA? na TIC? huyu ndio mwizi anayejitahidi "kujifanya mtakatifu" mbele ya uma wa Tanzania.! sina masilahi na yoyote but napenda tu kuona hukumu ya haki! kama tunachukia wizi basi CCm hakuna anayefaa! ondoa wote tuweke CUF au Chadema!
 
Mkuu, hvyo hao jamaa zetu wa pande hyo ndio unaitumia kama sample? Ya jimbo, wilaya, mkoa au nchi??
Wapendwa tupanue tafakuri za masuala makuu ya ki-nchi na mustakabali wake badala ya kuendelea kulewa na huu ulevi wa flani bin flani.....
Bado anasafari kwenye michakato ya chama chake, kwanini tusiache historia imtetee....
Haya mabango yanaweza hata kumharibia!
Mkuu najua siyo sample haiwezi kuwa ndio inawakilish watu lakini pia jua kwamba JF haiwakilishi Watanzania. Pia ni vema akafahamu ya kwamba JF haiwakilishi watanzania hasa wakulima na wakwezi. Tunapeana na kubadilishana mawazo humu
 
All in all, nguvu ya Lowasa ndo kifo cha CCM, mark my words, LOWASA atakivunja chama nusu kwa nusu na kitakachofuatia na chama kushindwa au kupata ushindi dhaifu utakaokifanya kishindwe kuongoza serikali.

Let's wait and see....
 
Ingekuwa vizuri kama ungekaanayo hiyo siri yako moyoni kwa faida ya Chadema unaona sasa umeitoa.
 
lowasa na jk nani mwizi zaidi?mbona hata epa kinara ni jk hadi kutaka kum mwakyeke gavana.

hakuna aliye bora sijawahi kuona ubora unalinganishwa kwa maovu,ubora ulinganishwa kwa mazuri tu,hueleweki wote umewatuhumu sasa unataka kujua nani ni zaini katika tuhuma.post nyingine hazisaidii jamii zinapotosha,tujirekebishe tuweke mambo ya maana humu.
 
Lowassa, kafanya mengi kwa kipindi kifupi sana.

Shule za sekondari mwaka 2005 kulikuwa na shule 1.202 zilizojengwa tangu Uhuru ambapo leo hii kuna jumla ya shule 2.171.

Lile lengo la kuwa na sekondari moja kwa kila kata limetimia ambapo pia kuna baadhi ya kata zina shule zaidi ya moja.
 
Duh! Eti fisadi Lowassa ndio kimbilio la Watanzania!!!!....Kipi alichowahi kukifanya alipokuwa madarakani hadi awe kimbilio la Watanzania!? :juggle: labda wale mafisadi wenzie akina Rostam & Co.
 
Jana nilikuwa kwenye vijiwe vya vijana fulani hivi wa maeneo ya hapa dar. Kulikuwa na vijana kama kumi hivi nikajichanganya nao wakaninunulia tangawizi nikawa nakunywa. Gumzo likawa kuhusu uongozi wa nchi hii: vijana wakawa wanabadilishana mawazo kuhusu rais ajaye. Nilishangaa sana kwani vijana saba kati ya wale kumi walisema kwamba nchi hii anatakiwa Lowassa kwa kuwa anaweza kusimamia mambo. Wakasema Lowassa aliwaletea maji watu wa shinyanga. Nikawaambia mbona Lowassa ana kashfa basi mmoja wao akaniuliza hivi nchi hii nani si mwizi? Nikanyamaza kimya nikanywa tangawizi yangu nikaondoka kwenda kunywa Jack Daniels zangu. Sikuwa na jibu nikawaahidi nitarudi leo!

Lowasa ni Kimbilio la watu wanaofikiri kupitia masaburi kama wewe. kwa watu makini hafai hata ujumbe wa mtaa
 
siku huyu fisadi na RA wakifa Tanzania nzima itakuwa sherehe ya kuachana na mafisadi
 
Mods ondoeni hizi post zisizokuwa na maana humu jamvini kama mlivyofanya ile ilokuwa ikimkandia El
 
Pamoja na hayo yote na mengine mengi mazuri,kwa nini hakuuvunja ule mkataba wa richmond? Tungeepukana na haya madhira ya kupanda bei vitu na maisha kwa ujumla kuwa juu.
 
Jana nilikuwa kwenye vijiwe vya vijana fulani hivi wa maeneo ya hapa dar. Kulikuwa na vijana kama kumi hivi nikajichanganya nao wakaninunulia tangawizi nikawa nakunywa. Gumzo likawa kuhusu uongozi wa nchi hii: vijana wakawa wanabadilishana mawazo kuhusu rais ajaye. Nilishangaa sana kwani vijana saba kati ya wale kumi walisema kwamba nchi hii anatakiwa Lowassa kwa kuwa anaweza kusimamia mambo. Wakasema Lowassa aliwaletea maji watu wa shinyanga. Nikawaambia mbona Lowassa ana kashfa basi mmoja wao akaniuliza hivi nchi hii nani si mwizi? Nikanyamaza kimya nikanywa tangawizi yangu nikaondoka kwenda kunywa Jack Daniels zangu. Sikuwa na jibu nikawaahidi nitarudi leo!

usirudi hao saba ni vichaa
 
Lowasa ni Kimbilio la watu wanaofikiri kupitia masaburi kama wewe. kwa watu makini hafai hata ujumbe wa mtaa
Mkuu jaribu kuwa muungwana kama wewe uko makini. Onyesha umakini wako na si kuonyesha umasikini wako wa mawazo. Toa hoja na si kutukana watu.
 
usirudi hao saba ni vichaa
Mimi niliwaona ni watanzania tu wa kawaida wanakunywa tangawizi yao. Sikuona chembe za ukichaa wao. Itabidi nirudi kujibu swali japokuwa hakuna hata mmoja aliyenisaidia kupata jawabu
 
Naona umetoa povu la kutosha... Haya Sasa taratibu tuambie CCM nani anafaaa na kutamanika, YAANI EL ni afadahali ktk kundi la potelea mbali. Means ni mwenye Chongo katikati ya vipofu
 
Back
Top Bottom