Lowassa ndani ya Kigoma

safi sana Mh E.L
Hii nchi ni yako,najiandaa kukupigia kura 2015,kama hawatakuteua basi mimi sitopiga kura daima

Lowasa oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Tupungeze wivu na vinyongo, hata kama wewe mmoja humpendi wengi wakampenda basi unachotakiwa ni kufuata wengi.

Mwenye data za wizi wa Mh E. Lowassa alete hapa kama hakuna, Lowasa oyeeeeeee! 2015 vote for Lowassa.

Chaguo la Mungu hilo. Hakuna msafi hapa Duniani wooooote tu wachafu. Wewe ni mara ngapi umemwangalia mke wa mtu kwa jicho la mahaba? Huo ni uchafu mbaya sana kuliko wezi wa pesa, na wewe ni mara ngapi umemhusudu mume wa mtu?

Lowassa oyeeeee
 
watu weweeee........................................huyo ndo EL bana!
 
Hivi Lowasa ni nani mpaka atumie STK? Niliona msafara wake na mkuu wa mkoa kuelekea Lake Tanganyika Hotel na baadaye nilifika lake Tanganyika na kukuta wako kwenye kikao wakiwa special room . Niliambiwa waliwaita mashekhe na wachungaji ila sijajua walikuwa na mikakati ipi. Wafanyabiashara maalumu walikuwepo pia. Huyo ndo EL yangu macho!

Nasubiri internal strugle ya watz kulalamika tu si tiba ya matatizo tuliyonayo!
 
Kuna wakati huko nyuma niliuliza lakini hata Mzee Mwanakijiji alishindwa kunisaidia, Lowasa alijiuuzulu uwaziri Mkuu kwa kashfa ya Richmond ili amnusuru rafiki yake BoyZ to Men Mheshimiwa Jakaya Kikwete.

Kwa upeo wangu mdogo mtu akijiuzulu anakosa sifa ya kuwa mstaafu kwa hiyo Kama CCM wanamwita mstaafu ni kosa kubwa na Waziri wa fedha pamoja na Rais hawakupaswa kuidhinisha Edward Lowasa(MB) kulipwa mafao ya Waziri Mkuu mstaafu ambayo ni asilimia 80% ya Mshahara wa Waziri Mkuu anayeko madarakani.

Once tukijua hicho kiasi ndipo tukokotoe hizo gharama anazochangia makanisa na kipato chake Halali of course aliiba sana na anazo pesa nyingi no doubt, hii inanipa wakati mgumu pia na usafi wa haya makanisa ambayo siku hizi yameanza biashara na kwa kuwa yana wafuasi wengi ni jambo la hatari kwa mwanasiasa kukaa nyuma ya dini.

All the time religious extremism is a cancer "whether Muslim or Christian " misingi yake mikuu ni ubaguzi : sisi na wao: mwisho wa siku ni vita. Tumwogope mwanasiasa staili ya Lowasa na lazima aangushwe at any cost!
 
Ukitaka kufikia maendeleo unayoyatazamia inakubidi ujitolee sana, utengeneze njia na ujiwekee mikakati ya kukufikisha huko and you have to do that while the other people are sleeping. Jamaa wanamchana kwa maneno lakini anachanua, may be its time people you change tactics before its too late.
 
Kuna wakati huko nyuma niliuliza lakini hata Mzee Mwanakijiji alishindwa kunisaidia, Lowassa alijiuuzulu uwaziri Mkuu kwa kashfa ya Richmond ili amnusuru rafiki yake BoyZ to Men Mheshimiwa Jakaya Kikwete.

Kwa upeo wangu mdogo mtu akijiuzulu anakosa sifa ya kuwa mstaafu kwa hiyo Kama CCM wanamwita mstaafu ni kosa kubwa na Waziri wa fedha pamoja na Rais hawakupaswa kuidhinisha Edward Lowassa (MB) kulipwa mafao ya Waziri Mkuu mstaafu ambayo ni asilimia 80% ya Mshahara wa Waziri Mkuu anayeko madarakani. Once tukijua hicho kiasi ndipo tukokotoe hizo gharama anazochangia makanisa na kipato chake Halali of course aliiba sana na anazo pesa nyingi no doubt, hii inanipa wakati mgumu pia na usafi wa haya makanisa ambayo siku hizi yameanza biashara na kwa kuwa yana wafuasi wengi ni jambo la hatari kwa mwanasiasa kukaa nyuma ya dini.

All the time religious extremism is a cancer "whether Muslim or Christian " misingi yake mikuu ni ubaguzi (sisi na wao) mwisho wa siku ni vita. Tumwogope mwanasiasa staili ya Lowassa na lazima aangushwe at any cost!
 
I have always been positive of this man.

Lowassa tukisema ukweli is very visionary, sifa ya kiongozi ni kuwacna maono, anayependa umoja, mwenye ujasiri katika kutoa maamuzi sahihi kwa wakati anayewajibika, mwadilifu, msikivu na mwenye majibu katika kuwaongoza watanzania, Lowassa kwa CCM, anakijua chama chake na historia yake,ndo maana kwa watu wasioelewa mambo wanalazimisha eti ajivue gamba kwa kuondoka sababu eti ametajwa tajwa Richmond, loooh.

Unajua kwa mwanasiasa yeyote makini lazima ujiulize unapotka kufukuza mtu ambaye anasupport kubwa kiasi hiki,na watu tumeona nini amelifanyia hili taifa unakua haueleweki. Jamani, mimi sijawahi kupewa hata kumi moja na huyu Mzee, tukiwaambia watu kuwa huyu jama hata kama mnasema ni tajiri, Lakini anazo sifa zisizo na mashaka katika kuongoza hili taifa
Mwizi aliyekubuhu hatujasahau bado labda atatawala kizazi hiki kikiisha kabisa kama yeye atakuwa ndie pekee kabaki mwizi
 
Siyo waziri mkuu staafu,ni waziri mkuu alijiuzulu!Huyu mzee kahamia makanisan sa hivi!kampeni zake zimekuwa makanisani!kwanini asialikwe mwingine kuchangisha?yeye ni kama nani!?

subiri 2015 ndo utamjua yeye ni nani
 
Mwizi aliyekubuhu hatujasahau bado labda atatawala kizazi hiki kikiisha kabisa kama yeye atakuwa ndie pekee kabaki mwizi

wizi upi alioufanya lowasa? richmod? big no. Weka wizi wa lowasa niujue
 
Tatizo la viongozi wetu ni kutokubali kushindwa,hivi kweli Lowassa ni mstaafu? mimi ninavyo fahamu maana ya neno mstaafu ni mtu aliyefanya kazi ya utumishi na kuimaliza kulingana na umri na kwa nafasi za kuteuliwa ni mtu aliyemaliza muda wake bila kujiudhuru kwa kashfa yeyote.
 
Jamani naomba msaada wenu wa jibu la swali hili.Hivi ni kweli kwamba Makanisa yote Tanzania yanamuona Edward Lowasa kwamba ndiyo National figure kiasi cha kumuhitaji katika hafla zao zote za fundraising?.
 
Lowassa Ndani Kigoma,

Mwache arudishe fedha yetu aliyoiba kupitia Richmond kwa maana haakuna njia nyingine ya kuzipata hizo fedha zetu kwa maana Gamba mkuu alisema amewasamehe waliokubali kurudisha kidogokidogo ndugu zangu Wakristo nao wanalishabikia hili na kumpa nafasi ya mstari wa mbele kiongozi ambaye siyo msafi mbele ya waumini kitendo cha makanisa kumpa nafasi ya kwanza kinatia mashaka mbona wakati wa Uongozi wake hatukumuona akichangia Harambeeeeeeeeeee hizi au pesa hazikuwapo ?????? lakini wacha twende tu kujakufikia ucchaguzi 2015 tutakuwa tumezipunguza kidogo kwa njia hiyo.

Mujwahuzia.
 
Acheni unafki,kama kweli ni majasiri wapondeni wanaomwalika au thibitisheni kuwa huwa anajialika,VIVA EL,Style unayotumia kujifanya mmegombana na jk ni nzuri as even JK alijifanya hapendwi na Mkapa ili apate kura za sympath za watanzania.
 
Hivi huwa anaendaga pia misikitini kuchangisha?? Au misikiti haihitaji harambee???
 
Atoe pesa ya kutosha kabisa kwani anaturudishia zile zile alizochukua mifukoni mwetu kupitia Richmond.
 
Ukitaka kufikia maendeleo unayoyatazamia inakubidi ujitolee sana, utengeneze njia na ujiwekee mikakati ya kukufikisha huko and you have to do that while the other people are sleeping. Jamaa wanamchana kwa maneno lakini anachanua, may be its time people you change tactics before its too late.

Mnamdanganya kuwa anachanua, ukweli ni kuwa kila anakokwenda wanaenda kumshangaa, na wengine kulichuna buzi. kumbuka buzi haliwi huzbandi, huwa linatoswa ene taim
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom