DAR si LAMU
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 2,928
- 544
...Under the belt hii!....yet himself (Mkapa) was not a PhD, and neither pursued nor accepted even an honorary one...
...Under the belt hii!....yet himself (Mkapa) was not a PhD, and neither pursued nor accepted even an honorary one...
...Unapoona viongozi wanatumia vitisho, badala ya ushawishi katika mambo ya muhimu kwa taifa kama hili, kaa chonjo hali si nzuri.Lakini Tatizo ni kwamba Viongozi wetu hawawekezi katika kuelimisha umma umuhimu wa sensa ili wananchi wajue faida zake kwa maisha yao, sana sana viongozi wetu ni kuwatisha na kuwachanganya tu wananchi juu ya zoezi hili kwa malengo ya kisiasa.
...Sijui Mhe. Sitta atakuwa na lipi la kusema katika topic kama hii, ukizingatia kwamba anatuhimiza kuzichangamkia fulsa zipatikanazo katika jumuiyah ya afrika mashariki.Mapungufu ya Uongozi miongoni mwa wanasiasa wetu pia yanajitokeza katika suala la usimamizi wa sekta ya elimu. Kama tunavyozidi kushuhudia, sekta ya elimu ni janga kubwa, ila worse, it is a timing bomb. Baada ya ujio wa soko huria na ulegezaji wa uchumi, sekta ya elimu nayo ikageuka kuwa bidhaa inayoshindaniwa kwa nguvu za soko.
...This will surely come to haunt us, big time, in the very near future.Lakini education administrators and policy makers hawajali kwani watoto wao hawasomi shule zinazokabiliwa na changamoto hizi.
...My friend, let me take you head on. Nionyeshe nchi maskini yenye demokrasia ya kweli?....ipi, Zambia? Ingawa inafahamika kwamba nchi hiyo is as far as poor africa can get in democracy.
...Ukweli ulio wazi ni kuwa, hata "wapinzani" wakichukua nchi there is not much they can change. Kwa kuwa, nchi ishavurugika kabisa, and we are nearing the state of anarchy. Sasa, itabidi wafanye kazi kubwa kuweka mambo sawa, na hiyo itatokana na vitu vikuu viwili. First, their political capital [how they are being trusted by the people, especially on reforms]. Second, how much economic health we'll be left with, to carry those -at times- costly reforms. For sure, as things stands, the last one will be the most challenging.
...Wakati mwingine, hakuna formula ya kupata demokrasia, maendeleo, n.k. iliyo rasmi kwa jamii fulani fulani. Nakubaliana nawe kwamba strong and somewhat independent institutions ni muhimu kwa demokrasia kushamiri, hata hivyo kuwa na demokrasia katika jamii fulani ni mchakato. Infact, kuzaliwa kwa demokrasia ndio huleta hizo taasisi huru na zenye nguvu.
...Now, lets be real. Katika hali kama ya kwetu kwasasa, unategemea kwamba tusipokuwa na vyama vya siasa na uchaguzi tutapata hizo taasisi? Labda utufahamishe, zitazaliwa vipi?
...Je, unafahamu kwamba ni vyama hivi vya siasa na uchaguzi at least ulio huru, ndio uliopelekea kufahamika, kufichuliwa, na kuchukuliwa -angalau- hatua dhidi ya uozo mwingi, na kuwafanya watendaji kukaa chonjo?
...Tuko pamoja! Ila, unafahamu kazi ya kuelimisha jamii inavyozidi kufanywa siku hadi siku, na watu kama HakiElimu?
...Vuta subira ndugu, kazi kama hizo huchukua miaka kadhaa kuonyesha mafanikio yeyote.
...Swali la msingi kabisa. Hata hivyo haimaanishi kwamba hamna mtu kwasasa atakayeweza kuongeza mapato ya nchi. Ukiweka mazingira rafiki ya uwekezaji -hasa wa ndani- , ukapunguza rushwa -hasa katika utoaji huduma na haki- , Ukawekeza katika miundo mbinu [nadhani inafahamika], utakuwa umewatendea haki sana waTanzania katika kuwakwamua kwenye tope la umasikini. Hatimae, wakichangamkia fulsa hiyo, utaongeza kipato cha nchi.
...Tusipoweza kujiuliza maswali haya na mengine mengi kama wananchi, basi, hatuna chetu na hakuna wa kumlalamikia.
Jambo lingine ni kwamba hizo tofauti ulizozieleza, kwa wananchi wengi hawajui au hawawezi kuzipambanua na kuzielewa, wangezielewa wangeweza kuwa makini katika kuchagua viongozi sio wanasiasa, hivyo kutokana na ujinga wa kutokujua elimu ya uraia kama hii, matokeo yake wamekuwa wakichagua wanasiasa tena kwa ushabiki bila kujua kufanya hivyo inagharimu maisha yake na taifa kwa ujumla. Mimi nashauri kwakweli bila kuwapatia elimu wananchi wetu wakajua umuhimu wa kuchagua viongozi sio wanasiasa, nina hakika Tanzania inaangamia... kibaya zaidi hata haki za msingi wanachi hawazijui kwahiyo ni vigumu kuzidai na wachache wanaozijua wamekuwa waoga kwakuwa walio madarakani wanafahamu kuwa ujinga wa wananchi ndio mtaji wao kuendelea kutawala, na hao wachache kudhibitiwa kwa vitisho hata kugharimu maisha yao.
Hasa ujinga ni mtaji mkubwa sana kwa wanasiasia wa Tanzania. Ndiyo maana siasa za hapa kwetu ni za ushabiki tu na kupewa vitu vidogo vidogo kama t-shirts, khanga na leso za CCM tena nisisahau mlo wa siku moja vinatosha kununua kura ya mwananchi fukara wa kila kitu. Aibu sana
...Hauko mbali na ukweli, na hiyo itakuwa katika miaka mitano ya kwanza -yatakayotokea baada ya hapo hatuyajui- na kama watakuwa na political capital ya kutosha kuweza kupata nafasi nyingine -ambapo dynamics za kisiasa zitakuwa zimebadilika- wanaweza kufanya kazi za maana zaidi.DAR si LAMU...ahsante mkuu, nafikiri hatuna tofauti kubwa hapa ya kimsingi. Nimependa sana hii concept yako ya political and economic capital. Wapinzani wakiingia na political capital kubwa watajaribu nafikiri kujenga nchi na kufanya siasa kidogo kwa sababu watakua na safe mandate ambayo haiwezi kuexpire haraka baada ya miaka 5 tu. Hapa hata yale maamuzi magumu ya muda mrefu watayachukua. economic capital hamna labda tuseme yaani changamoto za kiuchumi ni kubwa na nyingi mno na hii itawafanya wapinzani wakiingia wasiwe na muda na long term planning kwa sababu matumaini ya watu ni makubwa na hapa wataziba ziba viraka tu hapa na pale huku wakipiga siasa wanasubiri uchaguzi ufike. hapa ni tatizo.
...Kwanza, sidhani kama hizi nitakazozisema naweza kuziita "ideal indicators". Nadhani itabidi tukubaliane vitu vipi tuviite ideal indicators. Pili, itakuwa vema kama tutawa-held accountable kwa ahadi zao, ambazo ni nyingi. Huwa napata shida na ahadi kuwa nyingi, bila time frame ya kueleweka.Hivi, just out of curiosity, nini unadhani zitakuwa ideal indicators za kupima performance ya serikali ya Chadema? Na zitakuwa under what time frame?
2. Kiongozi ni mtu ambae hufanya maamuzi yanayolenga maslahi ya taifa au jamii inayomzunguka; Mwanasiasa hufanya maamuzi yanayokilinda chama chake, lakini hasa kuwaimarisha wanasiasa au makundi yaliyomfadhili/yaliyompa nafasi yake ya uongozi.
...Kwanza, sidhani kama hizi nitakazozisema naweza kuziita "ideal indicators". Nadhani itabidi tukubaliane vitu vipi tuviite ideal indicators. Pili, itakuwa vema kama tutawa-held accountable kwa ahadi zao, ambazo ni nyingi. Huwa napata shida na ahadi kuwa nyingi, bila time frame ya kueleweka.
...Tatu, nije kwenye indicators.
...Miaka mitano ya mwanzo, inabidi mfumuko wa bei ushuke -inaweza isiwe hivyo kutokana na external factors, au ukame, n.k.- ili tujue wanaweza kufanya kitu economy side. Hiyo mitano itakapokuwa inafikia ukingoni, tuweze ona matumizi ya serikali -wasteful/unnecessary spending- yamepungua. Hii isichanganywe na matumizi kuongezeka, development side. Kwa kuwa ahadi zao lazima wazitekeleze.
...Tusisahau, kupungua kwa ufisadi na rushwa. Baada ya miaka mitano itabidi tuone kitu cha maana kimefanyika.
...Elimu na Afya, lazima kuwe na some improvements, kama, kupanda kwa kiwango cha elimu, kukiendana sambamba na ubora wa mazingira ya kazi ya walimu. Likewise kwenye afya.
...Kama nilivyosema hii yote itatokana na waliyoahidi, lakini, muhimu pia hata vile ambavyo hawajaahidi na vinavyotusumbua kama jamii. I will not give anyone more than five years, to see if they are serious.
...My point here is, we should not expect wonders. Mambo kugeuka itachukua muda, more than five years, give or take, ndio tunaweza ona dalili zake.
...Nadhani unafahamu by now kwamba uchumi haujamshinda Barry. Back then it seems like it. It was just a matter of time. Mambo yalikuwa hovyo.Nakubaliana na wewe on most issues hapo juu; ila i find it very interesting kwa mfano Obama uchumi umemshinda kwa kiasi kikubwa kutokana na matatizo aliyoridhi toka kwa Bush na pia mwenendo wa global economy kwa ujumla lakini siasa za wenzetu wao hawatafuti visingizio kwamba bush this or bush that, na akifanya tu hivyo, he goes down the drain in november; inabidi na sisi tukomae na kufikia kiwango kama hiki - kwamba, fine, tumeiondoa CCM madarakani kwa mfano 2015, sasa 2020 mbona mambo yamekuwa ndivyo sivyo? Sasa hapo Chadema most likely itatumia vizuri sana utawala wa miaka 50 wa CCM au ujamaa au sijui kitu gani kama njia ya kukwepa lawama;
...Watanganyika hawawezi kuelewa, i mean most of them. Ni ukweli unaouma, kwamba hatujui tunastaili niniNa this is what will land defeat kwa Chadema in 2020 kwani wamejisahau kabisa kuelezea umma kwamba kwa mfano tunaomba miaka mitano, kumi to reconstruct, then miaka so and so to develop, huku wakiaminisha umma kwamba watakaofaidika na changes za 2015 ni watoto na wajukuu, cha kufanya wao kwa sasa ni kuendelea kuvumilia kama walivyovumilia kwa miaka 50 but this time kwa faida ya watoto na wajukuu zao na indicators to measure performance and progress ziwe wazi; ni muhimu chadema kuambia umma kwamba faida watakayoipata immediately after 2015 ni immediate stoppage ya madudu haya na haya na kwamba things wont get worse; otherwise muda unazidi kuyoyoma na Chadema isnt working on sustainability, ndio maana nashawishika sana kwamba CCM itarudi madarakani in 2020 if not before
Sijaelewa hoja hii, lakini kushindwa kwa Obama haina maana kwamba yeye ndiye wa kulaumiwa, bali he was and still is expected to make a difference, na kukaa mbali kabisa na hoja kwamba alipokea uchumi mbaya; ndio maana hata kwenye kampeni zake, ilikuwa nadra sana kwa timu yake kutumia hoja kwamba Bush ndiye wa kulaumiwa; Wenzetu wanaendesha siasa za kistaarabu na rational like - kama hauwezi, pisha wengine, tunajua nani aliharibu, lakini tunataka progress, sio excuses;...Nadhani unafahamu by now kwamba uchumi haujamshinda Barry. Back then it seems like it. It was just a matter of time. Mambo yalikuwa hovyo.
...Sidhani kama CCM itaondoka madarakani mwaka 2015, but CDM will make history, and Tanganyika's politics will be transformed.
Sidhani kama itaondoka, hasa kwa kuzingatia hoja yangu hapo juu; Lakini nakubaliana na wewe kwamba hali ikiwa mbaya zaidi, CCM will have to go and pave way for another party, CDM will not win the election, this is almost a fact and we all know why, who, and how;Pengine itaondoka, but CDM will not win the election. Another, newer one will.
...Watanganyika hawawezi kuelewa, i mean most of them. Ni ukweli unaouma, kwamba hatujui tunastaili nini
...Believe me on this one. Kama CCM watapoteza mwaka 2015, they will not come back. Watasambaratika.
Infact, watasambaratika kabla ya kushindwa, kama itakuwa wanashindwa mwaka 2015. KANU style.