Lowassa + Mtandao = Hakuna

nimesoma maoni ya wadau hapo juu ila hoja ya msingi ni kwamba EL sifa anazopewa na wapambe wake na na wale wanaomshabikia ni sifa ambazo hana kwa mfano kama ni mchapakazi amewahi kufanya nini katika muda wake wa utumishi?rekodi gani amewahi kuiweka inayoonekana,ukienda jimbo la Monduli ambalo amekuwa Mbunge wake kwa miaka 20 sasa bado linakabiliwa na matatizo chungu nzima,huduma duni za kijamii maji,zahanati,shule na mengineyo na mbaya zaidi kiwango cha umaskini kinatisha sasa hapo utajiuliza kipi tofauti alichofanya kusadia watu wake?jibu ni ziro! wengine wanasema anaweza kufanya maamuzi magumu lakini ukiangalia rekodi hakuna uamuzi wowote mgumu aliowahi kuufanya ndugu zangu tuwe wakweli Lowassa ni kiongozi mchovu tu kama walivyo wenzake wengi ndani ya CCM na kingine kibaya zaidi anautafuta Urais kwa mbinu zile zile za kimtandao zilizomwingiza madarakani JK ya ktumia magazeti,kuchafua wengine na na kutumiwa wapambe waliolipwa fedha mbinu zote hizo ni chafu na hazikubaliki katika demokrasia ya sasa.
 
mpeni lowasa nchi hapo atafanya kazi kuonyesha mzaniaye ndiye kumbe siye hehehehehehehe naota tu
 
Nilishutumiwa sana niliposema kwamba Lowassa ni zigo la mavi ambalo halibebeki na hata likibebeka halipokeleki. Wapambe wake ndani na nje ya JF wana upofu wa kushindwa kuona mwelekeo wa watanzania. Wameshajua kwamba wako hapa walipo kwa sababu ya ufisadi uliotamalaki na ambao sura yake ni Lowassa.

Leo porojo na propaganda za ajira kwa vijana anazojaribu kuzitumia kama kivuko zimeonekana wazi kwamba ni tatizo pana kuliko anavyolieleza na yeye katika utumishi wake wa miongo zaidi ya mitatu hajawahi kuonyesha juhudi zozote za kulikabili ili kujijengea imani ya kwamba anaweza kupambana nalo. Wamasai wake wa Monduli wamemkimbia na kuja kufanya kazi za ulinzi na ususi Dar es Salaam. Wana maliwato wake wanapaswa kuelewa kwamba mtu wao ni janga la Taifa machoni mwa watanzania.

Na inasikitisha zaid kuwa Lowassa si Mgeni wa Kashfa na yeye na Wapambe wake si wageni wa kudai kuwa Anaonewa.
Ingekuwa mara moja tungesema kweli, mara mbili tungesema Labda, Zaidi ya hapo inakuwa Tabia na Maumbile na hivyo viwili Havina Dawa kama ulivyosema hapo juu ni Saratini na Dawa yake ni ..............................!
 
Nilishutumiwa sana niliposema kwamba Lowassa ni zigo la mavi ambalo halibebeki na hata likibebeka halipokeleki. Wapambe wake ndani na nje ya JF wana upofu wa kushindwa kuona mwelekeo wa watanzania. Wameshajua kwamba wako hapa walipo kwa sababu ya ufisadi uliotamalaki na ambao sura yake ni Lowassa.

Leo porojo na propaganda za ajira kwa vijana anazojaribu kuzitumia kama kivuko zimeonekana wazi kwamba ni tatizo pana kuliko anavyolieleza na yeye katika utumishi wake wa miongo zaidi ya mitatu hajawahi kuonyesha juhudi zozote za kulikabili ili kujijengea imani ya kwamba anaweza kupambana nalo. Wamasai wake wa Monduli wamemkimbia na kuja kufanya kazi za ulinzi na ususi Dar es Salaam. Wana maliwato wake wanapaswa kuelewa kwamba mtu wao ni janga la Taifa machoni mwa watanzania.

Naamini kabisa hii thread inazidi kumwongezea umaarugu EL, kwa nini uandike kwa hasira namana hii, mwanzoni mwenyewe nilikuwa na msimamo wa hivi lakini nilibadilika baada ya kuona watu wanakwenda mbali sana katika kumnyoshea huyu mtu kidole ilihali vidole vingine vikiwalekea wao pia. Hata Yesu aliamua ugomvi kwa mwanamke aliyetuhumiwa mzinzi kwa kuwaambia watuhumu asiye na dhambi awe wa kwanza kumrushia yule mwanamke jiwe. Threads za hivi zinafanya watu watafute zaidi undani wa EL, na mwishowe wanagundua kuwa tuhuma dhidi yake zimekuuzwa sana. Hakika nawaambia mpaka sasa kasi ya wanaomwelekea EL inazidi kuwa kubwa, hivyo si ajabu hata yule aliyemfananisha EL na Zuma akawa sahihi! Ngoja tuone inavyoelekea! I am observing!
 
we are tired of jina la LOWASSA jamani,give us a brake.hasafishiki huyu mtu mnahangaika nini?
 
Ila jamani wanaJF,nani anaweza kuwa mkali ndani ya sisiemu zaidi yake?ila sijui atapitaje vizingiti vya mafisadi wenzake ambao wataona yeye ni tishio kwao,jamaa ni mwizi ila ana uwezo kukemea sio braza pinda shati tu

Dr. Pombe can do better than him. Kama tunabisha, tuwaweke wote wawili hapa tuchague pumbna na mchele.
 
mpeni lowasa nchi hapo atafanya kazi kuonyesha mzaniaye ndiye kumbe siye hehehehehehehe naota tu

He will take us 3 steps ahead (on the surface); but at the buttom, he will tak us 15 steps backwards (atakomba hazina yote, ataanzisha miradi ya kitapeli na mengine mengi).

Mfano mdogo tu: Ile Hotel na Nashela pale Boma Road, Morogoro mimejengwa kwenye kiwanja cha nani? mnakumbuka aple palikuwa na nini kabla ya ujenzi wa hotel ile?
 
Ila jamani wanaJF,nani anaweza kuwa mkali ndani ya sisiemu zaidi yake?ila sijui atapitaje vizingiti vya mafisadi wenzake ambao wataona yeye ni tishio kwao,jamaa ni mwizi ila ana uwezo kukemea sio braza pinda shati tu

Kwani lazima Rais atoke sisiem??? acha mawazo mgando
 
E.L Anastahili nishani ya ufisadi ulio tukuka! Maana naona ni karama aliyo jaaliwa ambayo ameitumia kwa kiwango cha juu kabisa.
 
Nilishutumiwa sana niliposema kwamba Lowassa ni zigo la mavi ambalo halibebeki na hata likibebeka halipokeleki. Wapambe wake ndani na nje ya JF wana upofu wa kushindwa kuona mwelekeo wa watanzania. Wameshajua kwamba wako hapa walipo kwa sababu ya ufisadi uliotamalaki na ambao sura yake ni Lowassa.

Leo porojo na propaganda za ajira kwa vijana anazojaribu kuzitumia kama kivuko zimeonekana wazi kwamba ni tatizo pana kuliko anavyolieleza na yeye katika utumishi wake wa miongo zaidi ya mitatu hajawahi kuonyesha juhudi zozote za kulikabili ili kujijengea imani ya kwamba anaweza kupambana nalo. Wamasai wake wa Monduli wamemkimbia na kuja kufanya kazi za ulinzi na ususi Dar es Salaam. Wana maliwato wake wanapaswa kuelewa kwamba mtu wao ni janga la Taifa machoni mwa watanzania.

Mbopo,

EL hauziki, mchafu, nguo zote zimechafuka, aliiba anaiba bado. Kule Igunga pia aliiba kura, hata ng'ombe kule kwao anaiba
Aliiba Richmond, akaiba wizara mbalimbali, Tamaa utajiri wake umejaa coz ya kuiba, hafai, tusimpe Urais, ataiuza Tanzania.
Huyu EL hata sasa na kunfi lake wanasuka mipango ya kuuza Kigamboni, Manzese, Magomeni, Ubungo.
Huyu hata magogoni atapauza tu tukimpa nafasi.
Nasikia ana majumba kama 10000 Uingereza pekee.

Hafai!

LOL
 
siku akisafishika na kuwa Raisi ndio siku nitakayo acha jadili siasa na kuwa mtazamaji

Mkuu
Tutakumissssssssssss!! Lakini naamini hilo halitatokea........Elimu kwa wananchi iongezeke kuwatabua viongozi wenye Tamaa mithili ya FISI.
 
Back
Top Bottom