Labda niongeze kitu ambacho mm hajakisema, hata kama kungekuwa na Mgombea mzuri ndani ya CCM, hakuna mtanzania anayeweza kumwamini mgombea yo yote kutoka ccm tena, labda wachakachue tena, japo naona milango ya uchakachuaji ikijijfunga baada ya katiba mpya. Nina uhakika na hilo.
Mkuu Aweda;
Katiba mpya itakuwa tayari 2016, kwani katiba inawazuia kitu gani? Si mmekuwa mkishiriki chaguzi zote kwa kutumia katiba iliyopo msitafute visingizio, Mtikila aliawaambia maneno haya katiba zaidi ya miaka 15 iliyopita mulimuona chizi kwa sababu ya uchu wa pesa za ruzuku; mkuu katiba ipo poa tu wala hatuna haraka sana lazima tuijadili kwa kituo ili tupate katiba muafaka ili baadaye msije mkatutia gharama za kuunda tume nyingine. Vipi mkuu M4C sikukuona kwenye mnuso au ulikuwa Kateshi na Zitto kuimarisha uhai wa chama?
Chama
Gongo la mboto DSM