Lowassa, Membe and Sitta: Unfit to Lead, Unprepared to Command

Guys lets think outside this box we're all in,suala si kupata kiongozi(Rais) toka CCM but the point is the next president of this republic ni lazima atoke nje ya mfumo wa sasa,nje ya CCM kama tunaitakia mema nchi hii na watu wake,na hili lazima lifanywe na wananchi wenyewe na sikukaa na kulalamika bila kuchukua hatua.

This is what we are going to do.
 
mzee mwanakijiji..Nafikiri MMM umeangalia zaidi wapi tupate an inspirational leader mithili ya nchi yenye vision ambayo imeharibiwa na janga fulani la kitaifa huku wananchi wake wakiwa wanahitaji inspirational leadership kwa kua wenyewe tayari wana uwezo mkubwa ila tu wamekua kwa muda sasa unisnpired na fatigued na siasa zinazoendeshwa na crop of leaders waliopo, (mithili ya Kenya labda au South Africa). Kimaendeleo wenzetu wamekwaa tu kisiki cha uongozi na wanahitaji inspirational leader, tanzania tunahitaji mengi zaidi ya kiongozi wa aina hii.

Tanzania do not need someone to cheer us up as if we were so great in the past but had stumbled and got stuck in the mud somewhere. No we dont need these people. Tunahitaji kiongozi atayekuja na dira ya kuipeleka tanzania mahali pake katika kipindi chake na kuacha project ikiendelea kwa kuweka misingi mizuri kwa wataomfuata.
Kwa maana nyingine mtu mwenye siasa kidogo, utekelezaji mwingi utaoiweka tanzania kwenye njia kuelekea a land of progress. Huyu si lazima awe colorful au maarufu siyo lazima awe inspirational directly kwa kuongea kwake wala muonekano wake bali kwa kazi yake anayoifanya kimya lakini kwa manufaa ya taifa ya muda mrefu (siyo kufurahisha watu na maamuzi ya muda mfupi).

Unachosema wewe kua Membe, Lowassa, na Sitta kwa sababu wanatoka CCM basi hawawezi kua viongozi wazuri, hili ni kosa la kimsingi bila kuacha ushabiki wa vyama kwani nani amekwambia CCM ni kama brotherhood ya siri ambayo members wake wote wanafuata misingi, kanuni na matendo ya kakikundi chao? au CCM imekua cult organization ambapo rushwa na uchafu mwingine unafuatwa bila ya kujiuliza? CCM ni chama cha siasa na kuna watu wenye uzalendo tofauti, itikadi binafsi tofauti, malengo tofauti, nia na dira ya nchi iende wapi tofauti na ndiyo maana hamna mtu mmoja mwenye utashi na nguvu kuliko wenzake ndani ya CCM zaidi ya kimamlaka tofauti na vyama vingine.

Tanzania hatuwezi na wala tusitegemee viongozi mitume, tanzania itafika pale inapotarajiwa kufika kwa mchango wa wananchi wenyewe ndani ya demokrasia yao wakishawishi namna ya viongozi wanaowataka na sera wanazozitaka. Kwa hitimisho hili Membe, Lowassa na Sitta na yeyote yule CCM anaweza kua Rais mzuri kwa sababu mazingira ya kisiasa yanabadilika na kua wazi zaidi, wananchi wanaongezeka upeo, na CCM siyo "dudu" moja baya lote au zuri lote na hapa bado tunaweza pata Kiongozi safi na makini atakayeinspire good elements within CCM kufanya kazi ya kizalendo kutupeleka mahali tunapostahili.
 
What other alternatives are out there?!! Ccm has failed we all know that but i dont see any other party apart frm ccm whos ready to take power and form a government.. Is cdm the only alternative theres out there?!! So in other ways get rid of ccm and be ready to be governed by halima mdee zitto and mnyika right??!!

umesahau watu kama mchungaji msigwa, Lema wa darasa la saba n.k tatizo sisi watz waoga kuna watu wazuri sana ndani ya CCM kama huyu Muhongo n.k lakini kila wakipiga picha unafiki wetu wa kumsifia na kuwaamini mafisadi wachache wanavunjika moyo na kutaka kuongoza hii nchi na kubadilisha kabisa huu mfumo wa kinyonyaji ambao unaendana kabisa kinyume na katiba ya nchi yetu (kwa hiyo ni kitu rahisi kukipinga once mtu safi akiwa kwenye dola yaani huitaji nguvu za ziada kuumaliza ufisadi na uzembe mweingine serikalini)....ila tatizo ni sisi watz na unafiki wetu, media yetu na waandishi wetu uchwara, n.k viongozi wazuri wanaishia bungeni tu, wizarani tu, madarasani wanafundisha, au hata mitaani huku wajanja wachache kwa maslahi ya wachache wakipata URAIS
 
Mti usiozaa matunda hukatwa na kupandwa mwingine... Sio kukata matawi na kutegemea kwamba utatatoa matunda... Tutasubiri mpaka tuingie kaburini...

inategemea mti uko wapi kama bado unatoa kivuli ni bora usikatwe uachwe ili mazingira yaendelee kuwa angalau mazuri na hewa nzuri kuliko kuukata na kupanda mwingine huku kumbe tatizo ni udongo au eneo baada ya miaka 10 na wenyewe hautoi matunda huku mwenye mti umetaabika miaka 10 bila hata ya kivuli....
 
Hawa wazee wameongoza miaka yote hii na wamejisahau wakafanya uongozi kama ni sehemu ya kufanya kitu chochote wanachojisikia kufanya bila kupata madhara yoyote yale. Unless tupate mtu atakayeweza kufanya tofauti, hawa watatoana macho kwenye hayo makundi yao.

Ttaizo letu watanzania ni hili tunapokua vague na statement kama hizi ni hatari sana kwani na viongozi tunaowataka hawatajitokeza..tunaposema kitu tofauti tuna maana gani? kama sisi kwa wingi tukitaka huyu mtu tofauti je Lowassa, sitta na membe watakua na haki ya kusimama tu au kusimamishwa na chama chao japokua tunajua hawataleta hiko kitu tofauti au CCM sasa itaamka na kuweka huyu mtu anayeweza kuleta hiko tofauti...

viongozi tunaowataka tutawaleta sisi wenyewe katika ngazi zote kwa kusema kitu gani tunataka..kama ni mabadiliko bado tuko vuguvugu na hapa CDM hawatopita kwa sababu siku ya mwisho undecided wengi watapiga kura ya mazoea-kura ya CCM. lazime tuwe makini ili tupate viongozi makini kama jamii bila hivyo hamna kulalamika 2015
 
Mwanakijji,

You can't see nothing because of self inflicted blindness other than that we have good and clean members who can run this country with honor; your negativity will not achieve anything, don`t think that you can fool Tanzanians just because you can sit down and write such a dumb article, we are more cleaver than that Mwanakijiji; we know that you are working not for Tanzanians interests but for some corrupted machine within Chadema; your are too cheap man; you put yourself down this low just because you want to impress another man? How much they paid you? Shame on you; Remember I asked you if it was ethical for Mbowe to do business with Chadema while he is a chairman? Remember I asked you if it ethical for Mbowe to use backdoor to secure tender to supply Chadema equipments worth tshs 350 mil. What was your answer for those questions? where did you get the courage to write such a stupid article? Look deeply on the other side you will see the truth; you know what I am talking about! Man up!!!!!!!!!!

Chama
Gongo la mboto DSM

Ndugu Chama, Wewe mkali eeh!

I think the best thing we can do in JF is to present the best practices of tolerant politics. Hoja kwa hoja eeh! You may have a point in opposing MM's views but surely not calling his article 'stupid'. You've made very good points in your reaction but you have mingled them with derogatory insinuations which may render your response look to be more of character assassination rather than logical arguments against MM's article.

I would really desire JF members to reach that intellectual level of having opposite views on issues, not on principles but yet we are friends who can drink coffee together. This was supposedly to be a forum of critical thinkers who can demonstrate the best example of a tolerant society. The very president we are debating about might come from this forum as well. We then have to show the highest level of political maturity. Short of that JF will continue losing its credibility.

Wait a minute! It looks you two guys know each other very well, do we say familiarity breeds contempt? The answer to the question in bold and blue ink would be interesting to the public. We are probably supporters of certain political parties but as JF members, irrespective of our political inclinations we should hold politicians accountable to us on their current conducts. If our interest is to see another political party other than CCM taking over the leadership of this country then it has to come with a price. We would probably not want to see same frailties reflecting in the alternative party. If they don't demonstrate we need to ask them question and hold them to task. So if the facts in the question above are substantiated with credible evidences then we need answers. Politicians should not just take us for a ride just because we support them. They have to demonstrate they live their words and more importantly the principles.

Personally I do not agree with religio-tribal sentiments against anybody. A president has to come from us he/she will have his/her tribe, religion/faith or even an atheist. That doesn't make him/her qualify or disqualify to become a president. I prefer not to argue on the basis of religion, tribe or region. We all belong to one or even combination of all. I think the challenge for Tanzanians is to come up with a constitution which will safeguard interests of the people. The constitution which will provide means to deal with leadership crisis we have been experiencing in recent times. If we have a strong constitution less will matter on who becomes a president. We don't want a patronizing president, a president whom citizens feel that he/she is the solution of all their problems. We want a president who will stand for the people not for his/her family, for the country and for the constitution.

I am not sure whether this is the time to discuss people, I thought it is a time to discuss issues and qualities of the leaders we want to propel this nation to its glory (for those of us who believe there is glory here!) . We have seen 4 different presidents yet our country hasn’t moved at a pace we would all wish. What is wrong with us? Is it the president issue or the system of how we conduct the affairs our country (economic, political and social). What is it that the next president can do to change the course? What political system do we need to avoid being at a mercy of an individual’s will? If things haven’t worked for the last 50 years can we change the status quo and try completely new people and system? What is the transient, do we need smooth transition or completely a new force?
 
Ttaizo letu watanzania ni hili tunapokua vague na statement kama hizi ni hatari sana kwani na viongozi tunaowataka hawatajitokeza..tunaposema kitu tofauti tuna maana gani? kama sisi kwa wingi tukitaka huyu mtu tofauti je Lowassa, sitta na membe watakua na haki ya kusimama tu au kusimamishwa na chama chao japokua tunajua hawataleta hiko kitu tofauti au CCM sasa itaamka na kuweka huyu mtu anayeweza kuleta hiko tofauti...

viongozi tunaowataka tutawaleta sisi wenyewe katika ngazi zote kwa kusema kitu gani tunataka..kama ni mabadiliko bado tuko vuguvugu na hapa CDM hawatopita kwa sababu siku ya mwisho undecided wengi watapiga kura ya mazoea-kura ya CCM. lazime tuwe makini ili tupate viongozi makini kama jamii bila hivyo hamna kulalamika 2015

Ni kweli viongozi tunaowataka tutawaleta sisi wenyewe, lakini kuna watu wengine hawastahili kuwa viongozi ingawa kwa kimbelembele chao wako mbele kabisa. Sasa hivi tunaongozwa na opportunists zaidi ya watu wenye dhamira ya kweli ya kuongoza. Na hili si lakulalamika bali kufanyia kazi.
 
attachment.php

Ikulu ya Dar-es-Salaam

Our nation is looking for a new breed of leadership. A leadership that can and will inspire Tanzanians - young and old, men and women, educated and uneducated; of all creeds, of all colors and of all political persuasions - to look within themselves and find greatness that remains unchallenged, untapped and unleashed.

At a time like this where global balance of power in international affairs is shifting; where backward countries - once tormented by civil wars and internal wranglings are finding their rightful place in the community of modern nations Tanzania needs leaders who can stand as beacons of a better and prosperous nations. Leaders unchained from a corrupt mentality of a generation past who are willing to challenge the failed policies of the current ruling corrupt elite.

I do not see anyone from within the same ruling party whose failed polices and ideology of corruption have proved to be a generational catastrophe would stand today promising 'change' or 'better leadership'.

The structural depth of the corrupt mentality of the generation past is so embedded with the ruling elite to the extent that without a total dismantling of the party, a precise prosecution and punishment of corrupt figures within the party there would be no hope for any meaningful change from the same party.

My friends for quite sometimes now prominent figures within CCM namely former Speaker Samwel Sitta, former Premier Edward Lowassa and current Foreign Affairs Minister Benard Membe have tried to position themselves as potential candidates from within the ruling party for the presidency in 2015. The trio have - in so many occasions - tried to show themselves in myriad of ways as 'presidential materials' to contest the presidency against key opposition figures in much awaited General Elections in about three years from now.

The failures of the three individuals to show that they fully understand the fundamental flaws of their party; their failures to appreciate and come to the defense of human and civil rights in the country and more importantly their failures to challenge and criticize the actions of their government - to the point of resignations - lead me to believe that not only Lowassa, Membe and Sitta are not ready to lead our nation and indeed they are unfit to command. Not only have I taken this position against the three individuals - lest I be accused of favouring others - I DO NOT SEE anybody within the ruling party right now who can inspire Tanzania to greatness.

As I said about seven years ago that if Kikwete were to fail to inspire the nation during his tenure at Magogoni then there would be no other CCM candidate who do so in the near future.

The failures of Kikwete's administration coupled with the failures of his party's policies have destroyed any chance for another candidate from within the ruling party to be trusted with power. Kikwete who came to power with such fanfare and an overwhelming mandate has shown that leadership is more than good smiles, handsome faces, or vain promises.

It is about inspiring people, it is about being trusted, it is about bold decisions, indeed it is about improving people's welfare and more. None within the ruling party right now can claim such qualities. I MEAN NONE. If there is one somewhere then he/she is not in the parliament or government position of any sort. But for the three let me be on record -they are unfit to read and unprepared to command.

By. M. M.

Mkuu MKJJ,

I am sorry that I will have two sides on this! One disagree with you and the other agrees! Hii nchi inabidi tujionee huruma sisi na vizazi vyetu, kwani hatuna rais! (Najua wengi mapove yatawatoka kwenye hili, nawajulisha kuwa najua JK ni rais) Kwani Rais, anapswa kuwa wa kwanza kuwahakikishia wananchi wake usalama wkani yeye ni Commanding-in-Chief! Cha ajabu Malawi wameanza chokochoko Jk kalala usingizi wa pono! Hata kama ni delegation, ni ya aina gani ya kufikia hata kiasi hiki! Nchi inavamiwa yeye anapiga uvasco da gama tu!!! He is concentrating with his PR rather than the country's welfare!

Udhaifu wake umewafanya wengine watwae madaraka yake na kuonyesha ukakamavu, yaani kututoa katika aibu ya kukaa kimya kisa u-masikini!! Membe, Lowassa na Sitta at least wamewaamsha Malawi warudi mezani...
 
Lowassa would be a Prefect President, Sitta would be Vendetta President and Membe a Know-it-all President and we need none of that. This country needs a visionary President.
 
Kama 2005 Watanzania walimchagua JK kwa ushindi wa kishindo kutokana tuu na haiba yake kwa kumwangalia usoni, good looking na "sense of humour", then tukampima performance yake katika miaka mitano ile ya mwanzo, na 2010, tukamrudisha tena, nakuhakikishia bila shaka wala wasiwasi, Watanzania watamchagua mgombea yoyote atakayesimamishwa na CCM, be it EL, Membe, Sitta or whoever!, kwani Watanzania huwa wanachagua nini?.

Mimi kwa CCM, mgombea wangu ni EL, ila kufuatia afya yake kuwa inatia shaka kuhimili mikiki mikiki ya uchaguzi, the only

option ni Membe, hawa wafae wasifae kwa vigezo vyovyote vile, wakipita, wamepita!, kwani Watanzania wanataka rais
anayefaa au aliyepitishwa na chama chao walichokizoea tangu wapate uhuru?!.

Hii debate ni very healthy with ample time tulio nayo tutashuhudia step by elevetion ya watu hawa to the very top!.

Pasco.

pasco una matatizo wewe, ukisoma comments zako inaweza si kosa lako..this time watz wengi wanajua kinachowakabili juu ya hatma yao, ccm si chama tena cha kuaminiwa kutoa kiongozi thabiti! wala chenyewe hakiwezi tena kujiweka sawa kurekebisha hitilafu na udhaifu kilionao,kitafanya hivyo tu kama watakaa pembeni wafue nguo yao iwe safi, ukijua hilo wakati mwingine haina haja sana kuwa na wasi wasi juu ya yule atakayekuja...si lazima siku zote ukitaka kujenga kitu kizuri lazima uepuke kuharibu kilichopo, wakati mwingine ni sahihi zaidi kuharibu au kuvunja kabisa kilichopo ili uanze upya na kwa makini zaidi, mabadiliko yoyote kuelekea maendeleo ya tanzania njema ccm lazima wakae pembeni tu!
 
[SIZE=3 said:
Manumbu;4427313]Honestly speaking, but napata shida sana ku-grasp kwa namna yoyote ile kuwa Lowassa, Sitta, Membe mmoja wao kuwa Rais wa nchi hi[/SIZE]i.

Sijui kama ni mapungufu yangu ya kutafakari au ni obvious ukweli kuwa non of them can and is capable of presidency! ni mawazo yangu tu
Endeleeni kujifariji na majina ya wasiofaa, siku ya siku ikifika, kuna watu humu watakosa kabisa cha kusema, na kuishia kufunga midomo!. Nyie subirini tuu, kazi yangu ni kuendelea kukumbushia maneno ya kwenye vitabu vitakatifu,

"Jiwe walilolikataa Waashi, litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni"

Na kuna mtu aliambiwa " Wewe ni mwamba, na juu ya mwamba huu nitalijenga Taifa langu." Miongoni mwa hawa wanaotajwa kuwa hawafai, mmoja wao ni mwamba!.

Pasco
 
Mkuu Manumbu, may i ask you to be more honest to your self, kati ya hao watatu na JK, who is better?!. Kiukweli, they are all far better than him!. Kama JK tulimchagua na kumpatia second term, why not them?!. Kila siku huwa nawauliza kwani Watanzania, tunachagua nini?!.

Endeleeni kujifariji na majina ya wasiofaa, siku ya siku ikifiki, kuna watu humu watakosa kabisa cha kusema, na kuishia kufunga midomo!. Nyie subirini tuu, kazi yangu ni kuendelea kukumbushia mane ya kwenye vitabu vitakatifu,

"jIWE WALILOLIKATAA WAASHI, LITAFANYWA KUWA JIWE KUU LA PEMBENI!"

Na kuna mtu aliambiwa " WEWE NI MWAMBA, NA JUU YA MWAMBA HUU NITALIJENGA TAIFA LANGU"!. Miongoni mwa hawa wanaotajwa kuwa hawafai, mmoja wao ni mwamba!.

Pasco

Pasco, very interesting umeamua kuwa "mnajimu" wa nani ndiye rais ajaye....but good things in life come with the element of suprise. Who knows?
 
Mkuu Manumbu, may i ask you to be more honest to your self, kati ya hao watatu na JK, who is better?!. Kiukweli, they are all far better than him!. Kama JK tulimchagua na kumpatia second term, why not them?!. Kila siku huwa nawauliza kwani Watanzania, tunachagua nini?!.

Endeleeni kujifariji na majina ya wasiofaa, siku ya siku ikifiki, kuna watu humu watakosa kabisa cha kusema, na kuishia kufunga midomo!. Nyie subirini tuu, kazi yangu ni kuendelea kukumbushia mane ya kwenye vitabu vitakatifu,

"jIWE WALILOLIKATAA WAASHI, LITAFANYWA KUWA JIWE KUU LA PEMBENI!"

Na kuna mtu aliambiwa " WEWE NI MWAMBA, NA JUU YA MWAMBA HUU NITALIJENGA TAIFA LANGU"!. Miongoni mwa hawa wanaotajwa kuwa hawafai, mmoja wao ni mwamba!.

Pasco

Two wrongs do not make it right....
since when JK amekuwa ndo kipimo cha 'Rais bora anaefaa'??????
 
attachment.php

Ikulu ya Dar-es-Salaam

Our nation is looking for a new breed of leadership. A leadership that can and will inspire Tanzanians - young and old, men and women, educated and uneducated; of all creeds, of all colors and of all political persuasions - to look within themselves and find greatness that remains unchallenged, untapped and unleashed.

At a time like this where global balance of power in international affairs is shifting; where backward countries - once tormented by civil wars and internal wranglings are finding their rightful place in the community of modern nations Tanzania needs leaders who can stand as beacons of a better and prosperous nations. Leaders unchained from a corrupt mentality of a generation past who are willing to challenge the failed policies of the current ruling corrupt elite.

I do not see anyone from within the same ruling party whose failed polices and ideology of corruption have proved to be a generational catastrophe would stand today promising 'change' or 'better leadership'.

The structural depth of the corrupt mentality of the generation past is so embedded with the ruling elite to the extent that without a total dismantling of the party, a precise prosecution and punishment of corrupt figures within the party there would be no hope for any meaningful change from the same party.

My friends for quite sometimes now prominent figures within CCM namely former Speaker Samwel Sitta, former Premier Edward Lowassa and current Foreign Affairs Minister Benard Membe have tried to position themselves as potential candidates from within the ruling party for the presidency in 2015. The trio have - in so many occasions - tried to show themselves in myriad of ways as 'presidential materials' to contest the presidency against key opposition figures in much awaited General Elections in about three years from now.

The failures of the three individuals to show that they fully understand the fundamental flaws of their party; their failures to appreciate and come to the defense of human and civil rights in the country and more importantly their failures to challenge and criticize the actions of their government - to the point of resignations - lead me to believe that not only Lowassa, Membe and Sitta are not ready to lead our nation and indeed they are unfit to command. Not only have I taken this position against the three individuals - lest I be accused of favouring others - I DO NOT SEE anybody within the ruling party right now who can inspire Tanzania to greatness.

As I said about seven years ago that if Kikwete were to fail to inspire the nation during his tenure at Magogoni then there would be no other CCM candidate who do so in the near future.

The failures of Kikwete's administration coupled with the failures of his party's policies have destroyed any chance for another candidate from within the ruling party to be trusted with power. Kikwete who came to power with such fanfare and an overwhelming mandate has shown that leadership is more than good smiles, handsome faces, or vain promises.

It is about inspiring people, it is about being trusted, it is about bold decisions, indeed it is about improving people's welfare and more. None within the ruling party right now can claim such qualities. I MEAN NONE. If there is one somewhere then he/she is not in the parliament or government position of any sort. But for the three let me be on record -they are unfit to read and unprepared to command.

By. M. M.

My heart sinks whenever i am reminded of the huge disarray of Tanzanians regarding elections.

Tanzanians are so disillusioned. When some of the sensible people were warning of JK's incompetence the other time, some loud mouths came here with incoherent, tribalistic and warped up arguments na zaidi kutegemea anyejua kuhonga zaidi

When will we stop all this madness?? Since 1995 we've been applying sentiments with our votes and we've always lost! As at this moment I know blockheads who are yet unconvinced, they still want their tribes men or pay-masters in there.

I thus doubt if nation is redeemable.

In the nationalistic spirit, we shouldn't care where the candidates should come from. Let's be credible for ones and vote credible people.

My thoughts:

- I do not believe Democracy is the best tool for governance but we do not have a choice so we have to make the best of it.
- It is difficult for a single person to bring a significant positive change in Tanzania.
- majority of us are nominating people that they they feel are likely to win because of regions they come from, instead of who they believe with good governance by insisting we have parties with practical manifestos. we should insist on a better system rather than individuals that may lead for a maximum 10 years and we start another ' somersault' again.

So i will prefer a topic like "WHICH PARTY SHOULD BE VOTED FOR IN 2015" for instance. I believe we're ready for this but we have to move towards our desired destination before we get there.

Kama 2005 Watanzania walimchagua JK kwa ushindi wa kishindo kutokana tuu na haiba yake kwa kumwangalia usoni, good looking na "sense of humour", then tukampima performance yake katika miaka mitano ile ya mwanzo, na 2010, tukamrudisha tena, nakuhakikishia bila shaka wala wasiwasi, Watanzania watamchagua mgombea yoyote atakayesimamishwa na CCM, be it EL, Membe, Sitta or whoever!, kwani Watanzania huwa wanachagua nini?.

Mimi kwa CCM, mgombea wangu ni EL, ila kufuatia afya yake kuwa inatia shaka kuhimili mikiki mikiki ya uchaguzi, the only option ni Membe, hawa wafae wasifae kwa vigezo vyovyote vile, wakipita, wamepita!, kwani Watanzania wanataka rais anayefaa au aliyepitishwa na chama chao walichokizoea tangu wapate uhuru?!.

Hii debate ni very healthy with ample time tulio nayo tutashuhudia step by elevetion ya watu hawa to the very top!.

Pasco.

Haya ni mapungufu ya kutuingiza kwenye mfumo wa vyama vingi bila kuwafundisha wananchi juu ya itikadi.Hii demokrasia tuliyoiga ni noma kweli kweli

Ni kweli mwaka 2005 'Tanzanians voted for beauty not for duty'.Tusipoacha demokrasia hii ya kizuzu ya kuangalia watu usoni tutaendelea kuwa taifa la ovyo beyond recovery
 
Na hiyo ndio point kubwa kuliko zote, kila mtu analalamikia kiongozi, huyu mara CCM ndio wametufikisha hapa bila kutambua kwamba CCM ni watz na viongozi wa CCM ndio reflection yetu sisi, Lowasa, Kikwete & Co. hawana tofauti yoyote kwa kitabia kwa jinsi walivyolelewa na mtz yoyote wa kawaida vivyo hivyo wapinzani, na mimi maoni yangu huwa ni kwamba hata tuchukue Katiba ya nchi gani sijui New Zealand bado baada ya miaka 50 tutarudi hapa labda kitachobadilika wazungu watakuwa wameleta mfumo mwingine wa kulalamika badala ya JF na kuanza kulalamika tena!

Mfano mzuri Zambia angalia walishangilia humu raisi Sata alikuja na ahadi kibao mwisho wa siku wananchi wa Zambia wameshaanza kumgwaya, wachina bado wanaloot shaba yao, wafanyakazi bado wananyonywa na sababu ni kwamba walifikiri kama sisi kwamba tatizo letu ni chama au fulani au mtu bila kujua kwamba wao wenyewe ndio tatizo na utamaduni wao!

Mwiso utamaduni wetu hauwezi kutoa kiongozi tunaeyemuota labda asiwe kazaliwa, kulelewa na kukulia hapa kwetu!

You've said It All!
Nimesema mara kadhaa huko nyuma bila ya watanzania kubadilika kimatendo na kujenga utu,uwadilifu na weledi endelevu kwamba ufisadi ,uchu wa kujilimbikizia mali kwa njia zisizo halali ni uadui kwa taifa na vizazi vyake, basi tusahau kumpata mkombozi ktk Taifa hili ,iwe Kutoka CCM,CHADEMA.NCCR,CUT .TLP N.K
Kwasababu watanzania walio wengi wameoza.Kila mtu anataka kazi nzuri siyo imuwezeshe kujituma kwa maarifa na ufanisi Ili kuleta maendeleo kwa taifa na kuongeza tija kwa watanzania wenzake bali anataka apate nafasi ya michongo kwa ajili yake.Adui mkubwa wa watanzania na Tanzania yao ni watanzania wenyewe na si chama kwani hao hao ndiyo wanaounda vyama,hao hao ndiyo waliopo kwenye nafasi mbali mbali ktk serikali na utumishi wa umma,hao hao ndiyo wasiofikiria kuleta tija au kufanya maamuzi bora kwa faida ya watanzania na nchi yao kwa ujumla,Hao hao ndiyo kina sisi ambao tunajiita ccm,chadema,maofisa ugavi,madaktari ,walimu,polisi,wajeshi,maafisa utumishi.wahasibu n.k List goes on and on, you name 'em!
 
Hivi hiyo picha ya IKULU ya mwaka gani? anyway Sitta,Lowasa na Membi walichokifanya ni kumtikisa Joyce, then mazungumzo ndio yaanze... wametutolea aibu. ofcourse ni maskini lakini Jeuri!! Well done Membe,Sitta, Lowasa go on

Umenena vema mkuu!...walichokifanya hao wakina Lowasa, sitta na membe ni kama "gun boat diplomacy"! ambayo ni aina ya diplomasia kama ilivyo mazungumzo ya mezani...na ni jambo la kawaida sana kwa mujibu wa nadharia ya "realism" ambayo imeegama ktk "power politics" inayotanabaisha kwamba "mkwara' unajibiwa kwa "mkwara" na siyo kufyata mkia kirahisi since "international relations and diplomacy is like a game"!...mathalani waweza kumsikia bondia Francis Cheka akipigana mkwara na Maugo then finally kinaeleweka mezani ama ulingoni!
 
Tuletee Shehe mwenye dhamira ya kweli na uwezi wa kutuongoza kwa haki, ujasiri, unyenyekevu, hekima na weredi uliotukuka uone kama hatutamuunga mkono.
sisi tunachohitaji ni kiongozi atakayetuokoa na kutuongoza kwa ustawi, hao watu wawazao dini na ukabila hawapo kwenye fikra zetu.tuwaache na biblia na misahafu yao, taifa linazama wao wanaleta stori za ahera ambapo hata hawana uhakika kama papo.mateka wa fikra.
 
hata kama unaamini ni majasiri wewe huoni kuna ushindani fulani kwenye matamko yao,kama kwenye kutoa matamko wanagombania si watatuvurugia nchi hawa.kwa kweli tanzania haiko salama.
 
Two wrongs do not make it right....
since when JK amekuwa ndo kipimo cha 'Rais bora anaefaa'??????
Mkuu The (big) Boss, kama asiyenasifa amekuwa na amefaa, how about hawa wenye sifa zaidi ya aliyepo?!. Kwani Watanzania tunatafuta rais bora?!. Watanzania tunapokea tuu chochote tunachopewa na chama chetu pendwa tulichokizoea!. Kama asiyefgaa kafaa, how about wanaofaa zaidi ya asiye faa, si ni watafaa zaidi?!.
 
Kama 2005 Watanzania walimchagua JK kwa ushindi wa kishindo kutokana tuu na haiba yake kwa kumwangalia usoni, good looking na "sense of humour", then tukampima performance yake katika miaka mitano ile ya mwanzo, na 2010, tukamrudisha tena, nakuhakikishia bila shaka wala wasiwasi, Watanzania watamchagua mgombea yoyote atakayesimamishwa na CCM, be it EL, Membe, Sitta or whoever!, kwani Watanzania huwa wanachagua nini?.

Mimi kwa CCM, mgombea wangu ni EL, ila kufuatia afya yake kuwa inatia shaka kuhimili mikiki mikiki ya uchaguzi, the only option ni Membe, hawa wafae wasifae kwa vigezo vyovyote vile, wakipita, wamepita!, kwani Watanzania wanataka rais anayefaa au aliyepitishwa na chama chao walichokizoea tangu wapate uhuru?!.

Hii debate ni very healthy with ample time tulio nayo tutashuhudia step by elevetion ya watu hawa to the very top!.

Pasco.
sitaki kusema moja kwa moja kama kura huwa zinaibwa lakini ni nani anayeweza kutuaminisha kwa dhati kama uchaguzi huendeshwa kwa haki wakati mmojawapo wa washindani ndio anayeteua wasimamizi, na wakati huo huo msimamizi anajua kabisa kuanguka kwa anayemteua ndio mwisho wa kibarua chake pia.hili nalo ni la kujadili hasa kwa kipindi hiki ambacho joto la uchaguzi litakuwa juu kuliko kipindi chochote.
 
Back
Top Bottom