Lowassa kama Mwenyekiti wa kamati ya Bunge Mambo ya nje amechangia kufikia hali mbaya ya kidiplomasia kwa kukaa kwake kimya.Hana mchango wala uwezo wowote.
Membe na Sitta wameshindwa katika wizara zao na kutoa maneno kama Talaka na kuoa.Wote hawana uwezo hata kidogo
Nimeona nirudishe thread hii ya Mwanakijiji
angalia Mbowe na slaa ni close friends wa Lowassa
sasa angalia usije gombana na mabwana zako hao, just informing you, maana umeshindwa kuwa wewe when it comes to issues za chadema