Lowassa kuwa mgeni rasmi harambe kanisa la KKKT Singida

Kuna jamaa hapo juu kasema yeye anawakubali katholic sababu hawaaliki mafisadi. Labda waliridhika kuwa EL siyo fisadi ndo maana walimwalika Mwanza akachangisha "200m."
 
Kuna jamaa hapo juu kasema yeye anawakubali katholic sababu hawaaliki mafisadi. Labda waliridhika kuwa EL siyo fisadi ndo maana walimwalika Mwanza akachangisha "200m."
 
ikiwa Lowasa ni fisadi(mwenye dhambi) je wewe ni mtakatifu? binafsi sioni ubaya Lowasa kuitwa kwenye harambee ya kuchangia kanisa kwasababu (1)yeye ni muumini wa kanisa hilo(KKKT) na kama anachangia harambee za ujenzi wa misikiti mahekaku nk ni kwasababu yeye ni sehemu ya jamii ya watanzania ambapo kuna watu wenye dini mbalimbali na wasio na dini (2)wenye afya hawahitaji tabibu bali walio wagonjwa
Kwa nini kila Lowassa akialikwa makasani Jamii inatahadharishwa???
Hapa ni lazima kuwe na hatia!!!
Kama lowasa kasema Suala la Richmond ni Kikwete na huyohuyo Lowassa aliwambia watanzani kuwa Kikwete ni rafiki yake na kwamba hawakukutana barabarani na hakuna wa kuwatenganisha sasa mimi nauliza ni nani anataka kumutenganisha kikwete na Lowassa kwenye suala la Richmond/Dowans??
 
Back
Top Bottom