Nimeamua kufungua moyo kwa kukaribisha Mh. EDWARD NGOYAI LOWASSA Chadema!
Lowassa si fisadi kama anavyozungumziwa.
KAMA KUNA MTU ANA USHAHIDI KUHUSU UFISADI WA LOWASSA, AUTOE!
Ripoti ilimtaja Lowassa katika kashfa ya Richmond, lakini cha ajabu hiki hiki Chama Cha Mapinduzi kilichoshika dola, mpaka leo kimeshindwa kumpeleka mahakamani.
UCHAFU WAKE UPO WAPI?
Kama sababu ni kutoka CCM, tuambiane ni Chama gani cha Upinzani mpaka sasa hakina mwanachama aliyetoka CCM?
CUF wapo viongozi akiwemo Katibu Mkuu.
ACT-WAZALENDO Mwenyekiti na wanachama wengine.
NCCR-MAGEUZI wapo vilevile.
Kwanini kuwe na shaka kwa Lowassa kuhamia CHADEMA?