Lowassa hakuonewa; alichelewa kujiuzulu! -

Lowassa asingeweza kujitetea siku ripoti ilipotoka. He was not read for that. He was caught by surprise! Ndio maana alitumia kijisababu cha natural justice at the same time baada ya siku chache akaanza kuzunguka huku na huko kujitetea (Mnakumbuka alivyopokelewa jimboni kwake alipokwenda kujitetea? Mnakumbuka pia interview yake TBC?)

angeweza kama angetaka ndugu yangu. Sheria za Bunge zinampa Waziri Mkuu nafasi ya kwanza ya kuzungumza Bungeni. Kama asingehamaki angewezakutoa hoja ya kuomba bunge liahirishwe japo kwa siku moja ili yeye na serikali yake waandae majibu yao. Hakutaka kufanya hivyo. Alizira. alisema "Wanautaka Uwaziri Mkuu".. !
 
Mkuu mwanakijiji
nguvu unayotumika kumsafisha unadhani inaweza kuzuilika?? kwani nadhani tutaona mengi kuelekea 2010 ila la kusafisha EL linafanyika kwa tahadhari kubwa na speed kali kweli.

Kwani Salva alishakata undugu na white head????

ndiyo sababu ya kuandika hii; na wakiendelea I'll use the nuclear option at my disposal.
 
Hivi lowasa alijiuzulu kwa hiyari yake au alisukumwa na jk kwa ajili g. Bush alikuwa anakuja, na mweshimiwa alikuwa under pressure from ambassador wa uk, us kuhusu richmond + corruption kwa ujumla

semilong.. nadhani alijiuzulu to sabotage JK na ule ugeni.
 
Kinyume chake akampa ujiko zaidi...

exactly.. kwa sababu alitarajia sana kuwa JK angetetereka. Halafu hakuna kitu kilichomuumiza zaidi kama TBC walipolazimishwa kukatishwa mahojiano yake naye. Unaweza kuyaona mahojiano hayo kwenye youtube.com/mwanakijiji
 
Laiti kama Lowasa angegoma kujiuzuru au kuchukua uamuzi wowote si angeendelea kupeta kama Hosea na tusinge mfanya chochote.
 
Sure Mr Lowassa hakuonewa hata kidogo..but mwenyewe alikuwa kiburi au alisuburi kuona what will go on....!!!Big up Mzee Mwanakijiji..
 
Pasco and Bongolander i dont think your brains does function properly, hivi Lowasa hiyo comeback yake itakuwa ya aina gani, kuna haja ya kuwavisha Watanzania cop faces au jamaa aje na sura nyingine na nywele zake zibadilike rangi na kuwa nyeusi and then Tanzanians will forget this cop, to my understanding Lowassa is done unless he better go forward and ask Tanzanians an apology for his blunders and miseries, hata siku hiyo atayoomba msamaha wengi tutajiuliza kama hiyo apology is a blasphemy or what, lakini am sure 100% kama alivosema MJ the guy is an history now.

MJ big up man, watu wengi watanzania pamoja na kusoma sheria lakini bado inawashinda tafsri, kwa sababu kwa alichofanya Lowassa it is a suicide if not death penalty kwa nchi nyingine. Ametufilisi sana huyu jamaa na watu wake.
 
Back
Top Bottom