Lyangalo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2009
- 679
- 234
Kujiuzulu kwa lowasa kunatokana na mojawapo kati ya mambo haya:
kwanza viongozi wetu wengi hawajui management and deligation of powa. ni aibu kwa waziri mkuu kuvunja sheria. na ni rahisi kwa wahuni kukuingiza mkenge kwani watu wanacheza na crisis na kukuingiza kingi.
pili staili ya uongozi ya lowassa kufokea watu hazarani kulijenga chuki na watendaji wengine (chukulia mfano wa mkuu wa wilaya ya nyamagana mwanza) alimwabia lowassa asimfundishe kazi hazalani yote haya yanasababisha watu wejenge chuki nae.
tatu bungeni alikuwa anawapelekesha wabunge wenzake si kwenye vikao vya wabunge wa ccm na si bungeni kwahiyo walipopata opportunity na kupumua wakapumua nae.
Halafu, yale maamuzi yalikujuuzuru alikurupuka, si unajua viongozi wengi wa tz wanawaza kwa kutumia feeling (hisia) zaidi kuruko ubongo.
hou ndo mchango wangu, nawakirisha