Lowassa: Hakuna kitu nilichofanya bila Kikwete Kujua

Haya sasa ngoja tuone hilo Gamba kama watalitosa.

Lishasema litafufua mfu aliyefichwa Marekani.
 
Binafsi sorry to say Lowasa sio kama ccm wengine wanavotuaminisha. Ana mapungufu ila sio yanayowafanya wengine walio madarakani kuwa wema. Na na washangaa wanaotaka ajitoe kana kwamba yeye ni hell.

Hafai kwa lolote. Yanayosemwa juu yake yote ni kweli, hajasingiziwa hata moja. Tena kuna mabaya zaidi yamfichwa. Mkimteua tu mmeumia
 
Binafsi sorry to say Lowasa sio kama ccm wengine wanavotuaminisha. Ana mapungufu ila sio yanayowafanya wengine walio madarakani kuwa wema. Na na washangaa wanaotaka ajitoe kana kwamba yeye ni hell.

Yule ni FISADI kama sio basi athibitishe mbele ya UMA
 
Tafakuri hii chokonozi ni washawasha na mtihani mzito uliomnyima M/kiti kutoa mahamuzi ya kukata jina la Lowassa katika hatua za mwanzo..na ukiona baba anatoa siri za ndani kwa majirani ujue ndani si salama tena
 
Kwa waliowahi kusikia from the horses mouth.ni wazi kabisa Lowassa hafiki popote kwenye hizi mbio zake.
Something went terribly wrong between these two 7 years ago,and the ridge between them has only gone wider.

The reason JK keeps Lowassa on the leash is the same reasoning sun tzu proposed to keep enemies closer in art of war.just to be able to control him.if you need to know how JK feels about Lowassa listen to Nape since the first day he was appointed in his current position.everything Nape says about Lowassa has 100% backing of his political godfather-JK.
 
Nape,
Makonda
 
GreaTthinkers,

Hii ni kutoka Chumba cha CC ya chama pale Dodoma
EL-Akanyanyuka na kusema"

Nani aliyenipigia simu afrika kusini kwamba rudi nchi iko gizani ni nani kama wewe?

Nani niliyekuwa nampelekea ripoti ya maendeleo ya mchakato kama siyo wewe?

Kwa nini mnaendelea kunizushia kuwa mie fisadi wakati nilikuwa natii agizo kutoka juu?

Nashindwa kuwa mvumilivu hivi mimi nikianza kuropoka mikataba yote tata nani atakeyebaki?

Mara Mkapa akasimama, Mw/kiti nadhani hili suala la kujivua magamba lisitishe kwanza.Baada ya hapo ishu zote za kujivua magamba zikasitishwa
Leo wanavuna walichopanda!
 
Kwa waliowahi kusikia from the horses mouth.ni wazi kabisa Lowassa hafiki popote kwenye hizi mbio zake.
Something went terribly wrong between these two 7 years ago,and the ridge between them has only gone wider.

The reason JK keeps Lowassa on the leash is the same reasoning sun tzu proposed to keep enemies closer in art of war.just to be able to control him.if you need to know how JK feels about Lowassa listen to Nape since the first day he was appointed in his current position.everything Nape says about Lowassa has 100% backing of his political godfather-JK.

Nape n makonda.
They are both backed up by white house muscles
 
Kwa waliowahi kusikia from the horses mouth.ni wazi kabisa Lowassa hafiki popote kwenye hizi mbio zake.
Something went terribly wrong between these two 7 years ago,and the ridge between them has only gone wider.

The reason JK keeps Lowassa on the leash is the same reasoning sun tzu proposed to keep enemies closer in art of war.just to be able to control him.if you need to know how JK feels about Lowassa listen to Nape since the first day he was appointed in his current position.everything Nape says about Lowassa has 100% backing of his political godfather-JK.
JK kigeugeu! Nape alitakiwa awe makini zaidi. Upepo unaweza kugeuka ikala kwake mazima.
 
The biggest enemy is your best friend.
Wote wezi hakuna wa kumnyoooshea kidole mwenzake hapa.
 
Kwahiyo kama mlifanya ujinga unataka tusema na ww tukupe ukuu wa nchi kama kikwete ende la
endelea kujidanganya
 
Hayo Ni maneno yaliyotamkwa 2012 wakati wa kuvua gamba.
Gamba lilikatikia na kuotesha mizizi na Leo hii haling'oleki
 
losawa sio mtu mzuri, kwa nn anajisafisha kwa kumuhusisha mwenyekiti?? boss wake. Wakati richmond wanasema ni kampuni feki na yy aliipigia debe ina maana boss wake ndo alimwambia afanye hivo. Utetezi wake wa kitoto na hadaa nyingi. Kaundiwa tume mbona kashindwa kujittetea bungeni akazidiwa akatangaza kuachia ngazii. Mzee mkapa alimaliza hiyo issue mana anamjua lowasa alikuwa anawapotezea muda na ghiliba zake ahahah
 
Anaye bisha bisha kwamba EL hakuyasema maneno hayo ni mbumbumbu na hapaswi kuwepo humu Janvini! Msipende pelekwa kama makapi! EL aliyasema hayo ktk vikao vyao!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom