Lowassa: Hakuna kitu nilichofanya bila Kikwete Kujua

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,220
GreaTthinkers,

Hii ni kutoka Chumba cha CC ya chama pale Dodoma
EL-Akanyanyuka na kusema"

Nani aliyenipigia simu afrika kusini kwamba rudi nchi iko gizani ni nani kama wewe?

Nani niliyekuwa nampelekea ripoti ya maendeleo ya mchakato kama siyo wewe?

Kwa nini mnaendelea kunizushia kuwa mie fisadi wakati nilikuwa natii agizo kutoka juu?

Nashindwa kuwa mvumilivu hivi mimi nikianza kuropoka mikataba yote tata nani atakeyebaki?

Mara Mkapa akasimama, Mw/kiti nadhani hili suala la kujivua magamba lisitishe kwanza.Baada ya hapo ishu zote za kujivua magamba zikasitishwa
 
Hahahahahahahaha nani menunua nyama ? Nani menunua nyumba ? Nani menunua bia ? Shie sasa kwani we nakula mimi .
 
Mkapa aliona hili dongo la Lowassa linamgusa na yeye moja kwa moja (kwa ufisadi mbali mbali alioufanya akiwa madarakani) hivyo naye ingebidi afukuzwe toka magamba.

Akaona ni bora alipige chini kabla halijafika mbali.
 
Hakika Mi nahisi hawa mafìsadi itafikia siku ya siku watasemana mpaka!

MUNGU WETU ANAYESIKIA NA KUJIBU MAOMBI YA WATANZANIA KAWAFUNUE VINYWA YA HAWA MAPAPA WANAOTAKA KUTUZIKA WATANGANYIKA TUKIWA HAI NA SIJUI WAO WATAKAAJE WENYEWE!
 
Binafsi sorry to say Lowasa sio kama ccm wengine wanavotuaminisha. Ana mapungufu ila sio yanayowafanya wengine walio madarakani kuwa wema. Na na washangaa wanaotaka ajitoe kana kwamba yeye ni hell.
 
toa hearsay zako hapo ww unaamini aliyoyasema ndio ukweli? je unauhaka gani kuwa ndicho alichosema while cc inakaa closed meeting?

hivi watz mtaacha lini hizi barabara?
 
Mkapa aliona hili dongo la Lowassa linamgusa na yeye moja kwa moja (kwa ufisadi mbali mbali alioufanya akiwa madarakani) hivyo naye ingebidi afukuzwe toka magamba. Akaona ni bora alipige chini kabla halijafika mbali.

Nadhani ameficha aibu ya ugonjwa kwakujificha ndani watu wasione dalili za ugonjwa wake lakini siku akifa maiti lazima iagwe na historia ita somwa atleast kusema chanzo cha kifo ni ugonjwa na siyo ajali.
 
toa hearsay zako hapo ww unaamini aliyoyasema ndio ukweli? je unauhaka gani kuwa ndicho alichosema while cc inakaa closed meeting? hivi watz mtaacha lini hizi brabara?

kweli tumechoka na hizi he said she said zao..
na kwanini hizi habari wanazileta mafungu mafungu?mwanzoni tuliambiwa alichosema ni kwamba yeye alipiga simu tu kuulizia kama wauvunje mkataba ama la!sasa hizi nyingine hawa wanaozileta wanazitoa wapi?au kuna kikao kingine cha cc kilichoketi juzi na jana kimya kimya ndio lowassa karopoka hayo tena?kama hapana kwanini hatukusikia mapema kama ile issue ya kupiga simu tulivyoisikia?

wizi mtupu,lowassa hasafishiki,kama anasema jk pia ni mchafu kama yeye,na sisi tunamwambia hatutafuti rais mchafu wa kumrithi jk,tunataka mtu msafi aliurejeshe utakatifu wa ikulu ya nyerere!
 
Hivi kwa nini huu mzimu wa siasa huletwa chit cht wakati kuna jukwaa lake kabisa.

Mnatutesa bure wengine.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
toa hearsay zako hapo ww unaamini aliyoyasema ndio ukweli? je unauhaka gani kuwa ndicho alichosema while cc inakaa closed meeting? hivi watz mtaacha lini hizi brabara?
aliyoyasema yanawezekana yakawa c kweli ila lowasa alishawahi kuongea hayo maneno mpaka kwenye gazeti na redioni yalitolewa na kuongezea alisema' bila hekima za mzee mkapa kikwete usingekuwepo hapo ulipo' cyo rumours ila aliongea hayo maneno labda kuhusu ukweli ndo jambo la muhimu ila kuongea aliongea.
 
JF iendelee kudumu,

Maneno yote tuliyoyaandika yasomwe na watoto wetu na wajukuu pia.

madudu tupu hii ccm
 
kwa mujibu wa ripoti ya CAG-Malipo ya "ESCROW" kwa mara nyingine tena Mzee wa Tezi anahusika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom