Lowassa autathimini mwaka mmoja baada ya uchaguzi

Ni vizuri sana kujifariji,kisayansi watu walipoteza hela nyingi kama lowassa,wanashauriwa wawe wanatoa taarifa kama hizi kila tarehe 25 ya mwezi,ili kupunguza kasi ule ugonjwa unaoitwa Post election mental disorder!
 
Hivi kweli watu mlitegemea Lowassa ashinde mbele ya tume ya uchaguzi iliyoundwa na mwenyekiti wa CCM?

Huo ni umajinuni.
Na mbaya zaidi, bado wanazidi kujipa matumaini katika mazingira yale yale! Eti ''ni mwanzo wa uchaguzi mwingine''. Hawajiulizi iwapo uchaguzi wa meya wa Kinondoni au Zanzibar wenye wapiga kura wanaoeleweka na ambao upo simple and clear kabisa katika kudhibiti wizi unawashinda kudhibiti itakuwaje uchaguzi complex unaohusisha nchi nzima!
 
Kura yangu niliiweka mahala pema kabisa wala sikuwapa wahuni. Wanaofanya vituko kuendesha siri kali
 
Walau angejiita Waziri Mkuu wa Zamani badala ya kujiita Mstaafu. Fredrick Sumaye ndio PM mstaafu, Lowassa angejiita wa zamani Kama haipendezi kujiita Waziri Mkuu Mjiuzulu/Mfukuzwa.

Andiko la Lowassa linaonesha alikubali kura hazikutosha na anaona alieporwa ni Seif Sharif
 
Utumishi wa Umma sasa Kaa la Moto
 
Attachments

  • IMG-20161026-WA0018.jpg
    IMG-20161026-WA0018.jpg
    85 KB · Views: 39
JK ametulisha kasa na yeye sasa analionja joto la jiwe na anaisoma namba! Turudi ubaoni kuandaa Marais wetu kwa mfumo unaokubalika hata na system zetu za usalama! Lazima wapikwe waandaliwe wajue mambo ya kidunia....uchumi innovations na uzalendo pia! Tusiwape tu watu wa hovyo hovyo ma vyeo makubwa hasa kuto na mivutano na ajali za siasa.......
 
MWINYI: nchi inaendeshwa kama gari bovu
 
Huyu Mzee atulie kimya, alitapeli fikra za watu eti ''Mkishapiga kura nendeni nyumbani, kura zangu nitazilinda mwenyewe na haitoibwa hata moja''.

Baada ya uchaguzi ''Nimeshinda kwa zaidi ya 62% lakini kura zangu zimeibwa''....Kuna mambo mengine yanatia hasira sana.
 
Back
Top Bottom